Search results

  1. N

    Kwa Hotelia yeyote na anayependa kafanya kazi ya hotel porini!

    ok ngoja tufanyie kazi tunao hitaji
  2. N

    Ofisi ya CHADEMA kata ya Ruaha yavamiwa

    Ofisi ya CHADEMA kata ya Ruaha wilaya ya Kilosa imevamiwa na kuharibiwa vitu katika ofisi hiyo na baadhi ya vitu inasemekana havijapatikana hadi sasa, pia inasemekana kuwa jeshi la polisi ndio wamefanya hivyo.
  3. N

    Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj

    Hizo ni mbio za uraisi 2015 kama hujui...!
  4. N

    Hivi jamani mambo haya tanapa hadi lini.......?

    Hifadhi ya taifa ya mikumi ilitangaza nafasi kadhaa za askari wanyama pori kwa wenyeji wa mikumi na vijiji vinavyo izunguka hifadhi hiyo kama ujirani mwema kupitia kwa afisa mtendaji wa kijiji cha mikumi, na wanakijiji wengi walipeleka maombi yao kupitia kwa mtendaji wa kijiji na sifa walizo...
Back
Top Bottom