Nina rafik yang ambae hayumo umu. Na mm ndie mtu ambae huwa tunashare siri na kushauriana. Jamaa ni mtu safi na smart kila wakati, hivi karibun amepata tatizo ambalo halielewi. Ananiambia anajishangaa sasa ivi kwapa lake 1 ndilo linalotoa harufu na wakati lingne halitoi na ata ikitoka ni kwa...
Uyo jamaa yako atakua careless. Kwa mwanaume ka unae m2 unaempenda real na mkawa wazi kwenye mambo yenu, lazima aweze kuona wen una shida b4 hujasema. Embu mpe yo fully environment u live atambue uwezekano wako wa kupata hela upo down so he can pick u up. Bt ka una wazazi waambie 2 direct jamaa...
Kumuacha sjui vip nashindwa huwa inakua ngumu bt wat i used to do kumuoneshea bt huwa anielewi sjui. Ina maana msg haijaeleweka o haisomeki. Ok sitafupisha wkt mwingne
No, sio ivo. Awali mambo yalikua tofaut na ss ivi na tatizo namna ya kumuacha ndio inakua kazi bt huwa namuoneshea bt sjui anielewi o vp> siko ivo my dada
Jaman mm sjui kupenda alaf ninae m2, nais kwa kweli ananipenda, nipo nae 2 yrs now. Huwa ata sina ata hali ya wivu kwake na zaidi nimekua nikitaman wengne zaidi ata ya yy. Na hii yote ndio chanzo cha migogoro ye2. Yan ata kujifoji kua nampenda nshindwa. Help
This show zea is netwrk inside iran zat aid all this. And supported by native who are another side ov america n israel. Tho both two reject 2 b responsible of zat man.
Kwa case ka iyo wala ata hutakiwi kuvuta mda sn kujb. Cz ndio ka unakua unampa maHop flan things wl b okey. Bila kupoteza mda sn toka a2me request yake ni bora u2mie yo wisdom mtel ata u have another 1 na ni ngum kumkubalia. Zat all.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.