Search results

  1. Dkt Guston

    Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

    Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka...
  2. Dkt Guston

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuweka hizi (voda, tigo, Airtel, HALOPESA) Kama njia ya malipo kwenye website

    Habari Wana Tech Kuna start up yangu nimeanzisha nahitaji kwa mtu anayejua namna ya kuweka hizi (voda,tigo, Airtel,HALOPESA as gateway) Kama njia ya malipo kwenye website , sababu WordPress Kuna Plugin za PayPal na stripe ambapo kwa paypal waTanzania wengi hawana Nahitaji kutumia njia hizi...
  3. Dkt Guston

    Changamoto ya wateja imekuwa kikwazo kikubwa

    Habari wana Jamii Forums, Changamoto iliyopo mtaani sasa hivi ni tatizo la kupata wateja na kuongeza mauzo kwenye biashara limekua ni swala gumu sana, jobless wengi wanaanzisha Biashara na zianishia kufa kwa kukosa wateja au kukosa mbinu za kufanya mauzo. Njia mojawapo ya kujihakikishia...
  4. Dkt Guston

    Ni lazima uchawi ili kuongeza mauzo na wateja kwenye biashara?

    Habari wana jamii forum Changamoto iliyopo mtaani sasa hivi ni tatizo la kupata wateja na kuongeza mauzo kwenye biashara limekua ni swala gumu sana , jobless wengi wanaanzisha Biashara na zianishia kufa kwa kukosa wateja au kukosa mbinu za kufanya mauzo Njia mojawapo ya kujihakikishia unakuwa...
  5. Dkt Guston

    Usihangaike tena kuhusu kutangaza na kufanya biashara yako mtandaoni, mkombozi wako amefika

    Huwa nasema kama hujui Kulipia Matangazo FB na Instagram na wewe ni mfanya biashara unayetaka Mafanikio Makubwa Mtandaoni. Kitendo Cha kutojua Kufanya hicho kitakukwamisha sana kupiga Hatua Mtandaoni. Najua unapata Wateja wachache WhatsApp groups. Tatizo la WhatsApp groups ni kwamba Wateja...
  6. Dkt Guston

    Wahenga walisema " risk nothing, gain nothing" bado unakwama wapi?

    "Sasa ninaingiza kipato kizuri baada ya kusoma kitabu chako cha "MAUZO BOOSTER" nimeweza kupata mauzo endelevu na wateja ndani ya wiki moja na nusu" Hii ni moja kati ya shuhuda niliyopokea na ninaendelea kupokea kila siku kutoka kwa watu waliosoma kitabu changu cha MAUZO BOOSTER na bado...
  7. Dkt Guston

    Usihangaike tena kutafuta wateja, mkombozi wako alekutembelea

    Njia mojawapo ya kujihakikishia unakuwa mtu mwenye amani katika biashara yako ni kua na wateja na mauzo mengi kila siku. Donald Muller aliwahi kusema "Biashara bila mauzo ,nikujilisha upepo" Kuna watu wengi wanakata tamaa kwenye biashara zao sababu hawana wateja, licha pia ya kua na wateja...
  8. Dkt Guston

    Unashindwa kufanikiwa kwenye biashara, sababu unaogopa kuwekeza

    Njia mojawapo ya kujihakikishia unakuwa mtu mwenye amani katika biashara yako ni kua na wateja na mauzo mengi kila siku. Donald Muller aliwahi kusema "Biashara bila mauzo ,nikujilisha upepo" Kuna watu wengi wanakata tamaa kwenye biashara zao sababu hawana wateja, licha pia ya kua na wateja...
  9. Dkt Guston

    Jifunze mbinu hii itabadilisha biashara yako moja kwa moja

    JIFUNZE MBINU HII ITABADILISHA BIASHARA YAKO MAZIMA Hata Kama umeshajiribu kila njia ya kuongeza Mauzo na umefeli...basi hiki unachoenda kukiona ndani ya sekunde 10 zijazo kitabadilisha kila kitu katika biashara yako Ukweli ni kwamba[emoji1313] Kuwashawishi watu Kununua bidhaa/huduma yako sio...
  10. Dkt Guston

    Jaribio la kwanza nimekosa visa ya Marekani, Waafrika tunabaguliwa

    Habari wana JF Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya Marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nimeshatumia gharama tayari zimeenda bure, nimeambiwa nijipange niombe upya. Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya Marekani
  11. Dkt Guston

    Naomba kujuzwa kuhusu biashara hii yenye utajiri

    Habari wana JamiiForums Naomba kujuzwa na kupewa muongozo kuhusu biashara hii ya kusafirisha bidhaa kutoka Tanzania kwenda Marekani, Canada, England na South Africa Naomba kupewa muongozo jinsi ya kusafirisha bidhaa kutoka Tanzania kwenda nchi hizi bidhaa zitachukua muda gani hadi kuwafikia...
  12. Dkt Guston

    Naomba kujuzwa jinsi ya kupata visa ya kusafiria kwenda Marekani

    Habari wana jamii forums Naomba kwa anayefahamu au aliewahi kwenda marekani,jinsi ya kupata visa,utaratibu wa kufata na inachukua mda gani hadi kufika ukapatiwa visa yako ya kusafilia Nampango mwezi wa nne kwenda marekani lakini nme google sijapata utaratibu mzuri kwa anayefahamu naomba...
  13. Dkt Guston

    Naomba kujuzwa kuhusu amazon FBA

    Habari wana JF Naomba kama kuna mtu alishawahi kufanya hii biashara anijuze kidogo hapa Tanzania onakuaje hadi kufanya shipping
  14. Dkt Guston

    Hii ndio sababu forex trading inaonekana ni utapeli kwa jamii

    Habari wana jamii forums Kuna baadhi ya watu wanaifanya fx industry kuonekana kama ni kitu scam,kumbe ni wajinga baadhi ambao ni walala hoi wanaifanya hii game ionekane ni wizi,wanajifanya ni mamentor wakati ni wachoma account wazuri,wauza signal za bukubuku,wana ibia watu hela wakijifanya ma...
Back
Top Bottom