Search results

  1. Mwigamba son

    Huku mwanza majina ya watu walioomba ukarani wa sensa bado hayajabandikwa

    kwa mujibu wa tangazo la nbs mwisho wa kuwasilisha fomu za maombi ya kazi ya muda ya sensa ilikuwa ni tarehe 25/7/2012 kali ya mwaka ni pale nilipofika ofisi ya jiji mwanza na kukuta tangazo lililopambwa kwa nembo ya sensa 2012 likiwa limeambatana na tangazo lifuatalo '' kwa wale walioomba kazi...
  2. Mwigamba son

    kuitwa kwenye usaili sekretarieti ya ajira tar 27

    1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/C/19 27 Julai, 2012 KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya...
  3. Mwigamba son

    shukrani kwa national bureau of statistics (NBS) kwa kukubali kuwapa fursa vijana wasio na ajira

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inakamilisha maandalizi ya kufanya Sensa ya Watu na Makazi ambayo itafanyika tarehe 26 Agosti, 2012. Ili kufanikisha Sensa hii, Serikali inatangaza nafasi za kazi za muda za MAKARANI NA MAKARANI WAANDAMIZI WA SENSA kwa Watanzania wenye nia na sifa...
  4. Mwigamba son

    shukrani kwa national bureau of statistics (NBS) kwa kukubali kuwapa fursa vijana wasio na ajira

    wao wanatakiwa kuthibitisha wale wasio na ajira kwa kugonga muhuri wa mtendaji wa kata unachotakiwa pakua fomu kwenye tovuti ya national bureau of statistics ijaze kisha ipeleke kwa mtendaji wa kata aweze kukutambua mwisho iwasilishe kwa mwenyekiti wa sensa wilaya au wa halmashauri
  5. Mwigamba son

    shukrani kwa national bureau of statistics (NBS) kwa kukubali kuwapa fursa vijana wasio na ajira

    mara nyingi ofisi za watendaji zinakuwa pamoja na ofisi za madiwani wakikusumbua peleka lalamiko lako kwa diwani kwa vyovyote atakutetea
  6. Mwigamba son

    shukrani kwa national bureau of statistics (NBS) kwa kukubali kuwapa fursa vijana wasio na ajira

    Nakushukuru mkurugenzi mkuu wa NBS kwa uamuzi wako wa busara kwa kuwaruhusu vijana waliohitimu kidato cha nne na kuendelea, kutuma maombi ya kazi ya muda kama makarani wa sensa katika zoezi la sensa kama ilivyotangazwa katika website yenu. Mimi kama kijana nliyehitimu chuo na sina kazi nimepata...
  7. Mwigamba son

    je chadema mna habari kuwa radio za taifa TBC TAIFA/TBC FM hazirushi matangazo ya bungeni?

    Ili cdm muweze kueleweka vijijini ni lazima matangazo ya bunge yarushwe kupitia radio na hasa zile za taifa kinachotokea kwa sasa ni kwamba matangazo haya hayarushwi redioni na kama tujuavyo vivjijini hakuna umeme na hata ukiwepo wenye uwezo wa kumiliki tv ni wachache hivyo kundi kubwa linakuwa...
  8. Mwigamba son

    Kweli mh Pinda umetangaza kuwapa kazi ya sensa walimu na watumishi wa umma?

    si kweli kwamba vijana ni watovu wa nidhamu kazini Ngoswe alikuwa ni mdhaifu wa mapenzi na mlimbukeni wa mapenzi kijana wa leo anafaham mapenzi ni nini na hachanganyi kazi na mapenzi na ndio maana wanaimudu mitandao ya mapenzi mikubwa bila wenzi wao kujua wanachofanya ni kuheshimu ratiba na...
  9. Mwigamba son

    Kweli mh Pinda umetangaza kuwapa kazi ya sensa walimu na watumishi wa umma?

    Ama kweli mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho atanyang'anywa hata kile kidogo alichonacho hivi karibuni mh Pinda wakati akisoma bajeti ya wizara yake alisema zoezi la sensa litafanywa na walim pamoja na watumishi wengine wa umma.Jambo hili naona kama ni mwiba mkali kwa vijana waliotoka...
  10. Mwigamba son

    Mwigulu tena ndio usiongope kabisaa katika suala la elimu kwamba ccm imewekeza ni uwongo mkuuu

    sisi yatima tuliofiwa na mzazi/wazazi/watoto maskini ccm imetufungia fursa ya kupata elimu ya juu kwa kutunyima mikopo ya elimu ya juu kwa kigezo cha mature age na equivalent ina niuma sana nina first class diploma in accountancy mzumbe walinipa admission ya kuendelea na degree lakin bodi ya...
  11. Mwigamba son

    Tume ya ajira na sharti la kuthibitisha vyeti kwa mawakili na mahakimu

    ndugu yangu uko sawa kabisa. Naona matajiri na watoto wao ndio wenye nafasi katika nchi hii na si masikini elfu 25 ya kucertify nakala 10 ama elfu 10 ni pesa nyingi sana kwa m2 aliyemaliza chuo na yuko mtaani. mimi mwenyewe kuna wakati hata ile 2600 ya kutuma barua za maombi ya kazi kwa njia ya...
  12. Mwigamba son

    JAMANI WAPENDWA NA HIZI TUKOSE(KAZI ZAIDI YA 2000 SECREATERIETI YA AJIRA)tarehe 25 www.ajira.go.tz

    kama ni mpango wa Mungu tutapata habari mbaya ni kwa vyuo vya umma ambavyo bila sababu za msingi huchelewesha utoaji wa vyeti na kuwanyima fursa wahitimu wao kwa kuchelewesha vyet na hasa CBE
  13. Mwigamba son

    Surupwenye la Mkapa JK halimtoshi

    Ndugu wana JF wakati JK anafanya kampeni za urais mwaka 2005 nilivutiwa na mwonekano wake pamoja na kauli mbiu yake ya maisha bora kwa kila mtanzania. Nilikuwa na imani kubwa na ile kauli mbiu japo kisera Mbowe alionekana kumzidi JK namna ya kuzinadi. Ni mtangulizi wake Mkapa ndiye...
  14. Mwigamba son

    Wanahitajika afisa masoko (9)

    mkuu bila shaka source ya tangazo hilo itakuwa ni kwenye mstimu wa umeme. Mambo ya msingi kwa muombaji ni pamoja na kuwa na leso na usafiri unaotumika mara nyingi ni uleule uliotumika kwenye azimio la Arusha
  15. Mwigamba son

    Ninasumbuliwa na (tinea fungal infection) dawa za hospitali zimeshindwa kunitibu nisaidieni

    vipimo kutoka bugando hospital .tinea manuum,tinea unguiuum,& tinea pedis . dawa nilizopewa ni ketokonazole,fluconazole,terbenafine,grisiofluvin, v2 plus,whitefield,sonaderm,hydrocortisone,sulphur,....usp injection yellowish in colour 7 enjections for a week dose, ipo sehemu za juu za vidole...
  16. Mwigamba son

    Ninasumbuliwa na (tinea fungal infection) dawa za hospitali zimeshindwa kunitibu nisaidieni

    nafikili mimi nizaidi yako kwa maana zilianza mikononi na miguuni sehemu ya ngozi ya juu karibu na kucha na sasa zinaendelea kushambulia kucha za mikononi na miguuni pamoja na viganja. Pole ila na imani ipo siku vitakwisha na tutasahau maswahibu haya. siku njema
  17. Mwigamba son

    Ninasumbuliwa na (tinea fungal infection) dawa za hospitali zimeshindwa kunitibu nisaidieni

    niko mza vipimo nimevipata kutoka bugando hospital. baada ya blood culture, skin scrapping, stool test, urinary test na vdrl dawa nilizoandikiwa na matabibu ni ketokonazole, fluconazole,turbenafine,grisiofluvin,whitefield,sonaderm,v2 plus, usp injection,hydrocortison na si lazima panapo...
Back
Top Bottom