Search results

  1. h120

    RYZEN 5 Custom built PC

    Hapana hiyo motherboard ni AM4 socket inabidi utafute MOBO zenye AM5 socket. Hata memory zinatumia tofauti, AM4 zinatumia DDR4 wakati AM5 zinaenda na DDR5.
  2. h120

    RYZEN 5 Custom built PC

    Hapana mkuu, naitumia kwasasa.
  3. h120

    Nyanya imekuwa bidhaa adimu Tanzania sababu ni waarabu kununua mashambani na kusafirisha nje

    Kwa hiyo nchi kupata fedha ya kigeni tafsiri yako ni mpaka mkulima apewe Dollar bill au Pound? Kama walikuja na hiyo pesa ya madafu toka arabia wakampa mkulima basi nakubaliana nawewe. Ila kama ujio wao au wateja wao waliopo nje kwa namna yeyote wametuma fedha basi kuna conversion ilifanyika...
  4. h120

    Nyanya imekuwa bidhaa adimu Tanzania sababu ni waarabu kununua mashambani na kusafirisha nje

    Acha tupate fedha za kigeni, ungekua na hoja kama ungehamasisha watu wachangamkie fursa hiyo na walime nyanya kwa wingi.
  5. h120

    RYZEN 5 Custom built PC

    Yes ina support,ndio uzuri wa AMD motherboard socket zina support processor za gen nyingi tofauti na intel kila generation inabidi ununue motherboard mpya, kwa amd unabadili tu processor.
  6. h120

    Unakumbuka mtaji wa biashara yako uliupata wapi?

    Chuo 2m Project za wanafunzi 13 tu 😁
  7. h120

    6 Months experience na TTCL Fiber

    Ping kwa TTCL kwangu huwa inachezea hapa 12ms Ila kumbuka hii ni shared connection sio dedicated, kwa hiyo idadi ya customers inaweza pia affect ping speed.
  8. h120

    Naomba kushauriwa, kukosolewa, na kuelekezwa

    Usiige mtu. kama nafsi inakataa usilazimishe utaishia pabaya. Binafsi siwezi kukaa sehemu ya rushwa itanishinda.
  9. h120

    Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

    Status itabadilika chap kutoka baba kuwa mubaba 😂
  10. h120

    Taarifa ya Kiintelijensia: Magonjwa 10 yatakayosababisha kifo cha TTCL

    Kwa uelewa wangu mimi changamoto zote ulizozungumzia hapo ni summary tu ya matatizo na mapungufu ya mashirika na taasisi zote za serikali.
  11. h120

    Kenya, vyanzo vichache vya Umeme, wana matumizi Makubwa, hawana Mgao kama sisi

    Vyanzo kutoka mitandaoni As of june 2022 kenya electricity capacity imefikia 3074MW Kwa Tanzania report za mwaka 2021 zinaonyesha tulikua na uzalishaji wa 1605MW sijui takwimu halisi kwasasa zinasomekaje. Ninachojua vipaumbele vyetu kwenye mambo ya msingi ni hafifu sana. Hili tatizo lipo...
  12. h120

    Biashara yako ikuvuka steji mpaka kuwa na bodi wanaweza kukuondoa hata kama umeanzisha wewe

    Bora hata huko kwenye kampuni unaondolewa lakini unabaki hai, Kwenye partnership biashara ikiwa kubwa sana na kwa bahati mbaya ukawa umeungana na mtu mwenye tamaa kuliko utu, jiandae kwenda na maji, unaimbiwa parapanda mapemaa.
  13. h120

    Kuna haja gani ya Serikali kujenga majengo makubwa katika stendi za mabasi ilihali yanakosa watumiaji?

    Katika miradi mikubwa huwa tunakadiria miaka 20, 50 hata 100 mbele. Kila siku mnalalamika shida ya maji dsm, na miundo mbinu mingine? Unapojenga mradi unatakiwa uwe future proof walau kwa miongo kadhaa. Leo unajenga barabara ndogo baada ya miaka 3, traffic inakua kubwa mnaingia gharama ya...
  14. h120

    Google wanataka kunipotezea kusuhu refund

    Anaweza kupokea awasiliane na wahusika kama ni bank au mitandao ya simu. Kwa case za refunds, pesa hurudi ila haziingii moja kwa moja mpaka uwasiliane nao uwape taarifa za hizo refunds kisha wana release.
  15. h120

    Google wanataka kunipotezea kusuhu refund

    Umelipia kwa kutumia nini? Virtual card? au card za bank?
  16. h120

    3D Printers, Design, 3D Scanning, and other related technology special thread.

    Project; CNC touch probe holder Touch probe CAD model 3D printed holder Application 🤙🤙🤙✊
  17. h120

    Je, ni sahihi kumshirikisha kila kitu mkeo/mpenzi wako?

    Ukitaka uhuru baki single.
Back
Top Bottom