Eti ni waisrael 144, 000 tu!!!!!! Braza biblia ni msitu mnene haisomwi kama gazeti. Ukisoma mwanzo 13-18 utakuta Mungu anamwambia Ibrahimu uzao wako utakuwa kama mchanga na nyota mbinguni. Mtu akiweza kuhesabu mchanga bac ataweza kuhesabu hata idadi ya uzao wako. Unachotakiwa kufanya ni kidoma...
Kuna dada anaitwa Joyce emmanuel yesse kapoteza vitambulisho vyake vimeokotwa maeneo ya posta. Kuna kitambulisho cha chuo ardhi university anasoma environmental science and technology pia kitambulisho cha uraia na vitambulisho viwili vya bima ya afya. Kwa yeyote anayemfahamu amwambie afike...
Wanawadanganya watu wanaojaa kwenye mikutano, kama ndivyo mrema angekuwa rais 1995. Ukweli ni kwamba kuwa chama kikuu cha upinzani si kazi ndogo, tambua kuwa kuna watanzania wasiojua hata uwepo wa act. Lakini yote heri kazen buti ss watazamaji tupo na tutashuhudia
Wewe ni msomi wa aina gani usiyeweza kujenga hoja bila kuandika matusi, ukitaka watu wakuelewe jenga hoja ueleweke. Sasa ww unaandika matusi ndiyo maana wenzako wanasema unatumia ID fake, huwezi andika matusi hayo kama unafahamika kwa kuwa ndugu zako watakushangaa
Hakika ww unastahili kwenda milembe, ivi unafikiri mtu aliyeelimika anapimwa kwa cv. Unachokiandika hapa kinathinitisha utahira wako hata kama ww ni prof.
Hatuwataki wanaoabudu matambiko. Kwenye tukio mhimu kama hili unakaribisha watu wa matambiko? Hakika huku ni kukosa matumaini. Hatutaki rais wa wachawi tanzania
Kwa kweli wabunge wanatakiwa kuwa makini sana na kauli zao hasa katika kipindi hiki. Liziwan hakutakiwa kuweka msimamo wake hadharani wakati anatambua kabisa baba yake ni rais. Hii inaleta maana kuwa huo ndio msimamo wa baba yake. Upepo wa kisiasa hubadirika hivyo ni vizuri kuwa na uangalifu wa...
Nimesoma post nyingi sana hapa jf za kumkubali na kumkataa mh. Lowasa. Ila cha ajabu wanaomkataa lowasa hawasemi ni nani hasa anaweza kuchaguliwa ndani ya ccm mwenye uwezo wa kuchuana na upinzani. Inaonekana maji yamewakaa shingoni hawana la kusema. Sasa tuwe wawazi semeni sasa nani ni mbadala...
Hapa ni kupotezeana mda tu, hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kuleta mambo ya kidini kwenye selikali isiyokuwa na dini, labda awe kama pinda na wenzake. LAKINI MIMI NAWAAMBIENI KWELI HAKUNA MAHAKAMA YA KADHI ITAKAYO PITISHWA NA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA KUWA NAAMINI...
Ninakubaliana nawe miamia, kama selikali wamuamua kujichangaja na kuanza kushughulika na mambo ya dini kinyume na katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 77 ni vyema sasa wakashughulika na mambo ya dini zote, hata waluther, anglican nk watadai mahakama zao, lakini naamini Mungu hataruhusu hili...
Qualified opinion is not equal to adverse opinion, mleta maada kama hujui hati chafu kaa kimya. Kwa taarifa yako hiyo ni hati yenye mashaka. Rekebisha heading haraka sana acha kupotosha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.