Search results

  1. LuisMkinga

    Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    tangawizi ipo wapi?
  2. LuisMkinga

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Unaukizwa swali Why unalala wakati mimi nakusimulia story au nakuboa? Au story anakuambia ubuyu wa mtu ambaye umesahau wakati alikusimulia juzi anaaza kumind as if ni kitu muhimu, na mwisho wa story unaukizwa umeelew mume wangu mbona huuzuniki hahahah, jamani story yote hii unashangaa, Kusahau...
  3. LuisMkinga

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Yeye mwendo kaumaliza. Tumebakiza sisi, Tujililie sisi na nafasi zetu. Wanywaji tunywe. Wakimbiaji tukimbie. Wajanabi tufuate ushauri wake. Kifo ni kifo na hakina huruma
  4. LuisMkinga

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Itasaidia. Maana tunaweza zika watu. Kuna mshua Jana nimekutana naye anasema anasikia furaha kesho simba anafungwa za kutosha. Nikamwambia mkifungwa je, akasema naweza kufa kwa pressure
  5. LuisMkinga

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Yani comment 1m na waliosoma 39M. Mwanziwha Uzi apewe Zawadi aisee
  6. LuisMkinga

    Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

    Kama ni samaki hapo atakuwa ameshaanza kukauka. Mimi naona kuanzia 0 mpaka 19. Ukikaza Uzi mwanzo mwisho utamfikisha sehemu
  7. LuisMkinga

    Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Mbona mimi Sina taarifa. Mbona unaaga Hadi jf
  8. LuisMkinga

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Sam na samia Suluhu na suluhisho Suluhu na suluha
  9. LuisMkinga

    Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

    Mweee, acha kumsimanga mwenzako umsifie Kawa kama dolphin
  10. LuisMkinga

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mimi nimesoma huu Uzi baada ya matokeo mabaya ya simba na mashujaa. Mungu awabariki mliotusaidia kufunguka kiroho. Nina swali. Unaweza ukafanya biashara kama ya bar na Bado ukawa na mawasiliano na roho upande wa Nuru. Mfano umerithi biashara ya bar kutoka kwa wazazi wako, au umeajiriwa kwenye...
  11. LuisMkinga

    Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

    Na mambo mengine hayasimuliki.
  12. LuisMkinga

    Arusha: Makonda akutana na Mwamposa na kufanyiwa maombi

    Kama Makond.a ni mchawi basi mchawi kweli kweli maana wakinga wengi hawachoki msema na kumfuatilia. Aliyemteua amefanikiwa
  13. LuisMkinga

    Arusha: Makonda akutana na Mwamposa na kufanyiwa maombi

    Kama Makond.a ni mchawi basi mchawi kweli kweli maana wakinga wengi hawachoki msema na kumfuatilia. Aliyemteua amefanikiwa
  14. LuisMkinga

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    TANGAZO lolote tukipata kuhusu mambo ya utajiri unatakiwa uwe na uelewa mzuri juu ya kinachotangazwa otherwise wewe ndo utakuwa unawapa watu utajiri. Utajiri sio kitu Cha kitoto
  15. LuisMkinga

    Breakup ya kwanza ilikuaje?

    💔 yangu wale washenzu wa deci pale mabibo ndo inayoniuma zaidi. Haya mashimo ya utamu tunaawashiana taa na kupigiana honi kama magari road.
  16. LuisMkinga

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Nilijuta. Ila Bora hisa kuliko shamba. Shamba ukilimega linataka pale ulipopaendeleza. Kule ambako ni pori labda umwe umezungukwa na wanapohitaji kutanua mashamba yao.
  17. LuisMkinga

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Naungana na wewe. Kijana tumshuri na atumie mifuko kama Sehemu ya kuhifadhia hela.kuliko kuweka benk ambapo haimletei faida hata kidogo. Akitunza hela kwa mwaka huu anunue shamba mwakani anunue kiwanja. Na vile vyake vingine aweke utt Ili hata ikitokea dharula anaweza akauza Sehemu ya vipande...
  18. LuisMkinga

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Samahani umeshawahi kuuza shamba ukiwa na dharula? Pesa ya chap chap Huwa unapewa nusu ya uliyoitangaza.
Back
Top Bottom