Search results

  1. survivor03

    Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

    Naomba nitumie link ya app yao. Nilikuwa nayo nikaifuta by mistake Kuhusu password naona bora ungewasiliana nao kwa whatsapp namba zao zimo humo kwenye app
  2. survivor03

    Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

    Kiongozi naomba nitumie link yake
  3. survivor03

    Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

    Poa bro naomba mawasiliano yake jamaa na mimi anipatie na application yake niko tayari kulipia hiyo 3k tafadhali sana
  4. survivor03

    Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

    Habari wakuu kwema.. Nilikuwa naulizia hii App ya J football tv nahitaji, anayejua naomba nijulishe kuipata Shukran
  5. survivor03

    Nauza cd za ps4 bei poa sana

    Red dead redemption 2 kwa 55k Assassin's creed black flag kwa 30k Nicheki 0736673673 Whatsapp 0687672672
  6. survivor03

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Habari kiongozi mimi nahitaji hiyo simu bei ya mwisho unauzaje?
  7. survivor03

    Wauza smartphone tukutane hapa

    nahitaji simu samsung A20s au a21s used aliyekuwa nayo anicheki
  8. survivor03

    Tatizo: Smart tv kuonyesha mistari kwenye screen

    Habari wakuu naomba mwenye kujua kuweza kulitatua hili tatizo la smart tv yangu ya tcl 55" kuonyesha vimstari vidogo kimlalo (horizontal) Vimstari vipokwa chini na kidogo kwa kati je hili linaweza kusababishwa na hitilafu upande wa cable za umeme?
  9. survivor03

    Gari linachelewa kuchanganya napotaka kuondoka naombeni ushauri

    Bado sijaipeleka kwa fundi nipo safari nikirudi ndio nitaishughulikia in shaa Allah
  10. survivor03

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Kwa sasa tupo halotel.. mkirekebisha bando mtujulishe turudi, msichelewe sana tusije kuwasahau.
  11. survivor03

    Kuunganisha smart TV (TCL) na Smartphone Samsung

    Na kwenye simu tcast inatoa option hizo tu.. haina screen mirroring
  12. survivor03

    Kuunganisha smart TV (TCL) na Smartphone Samsung

    Hivyo ndio inavyoonyesha kwenye tv huwa naunganisha kwa mobile hotspot.. inaunga internet na pia hiyo tcast
  13. survivor03

    Kuunganisha smart TV (TCL) na Smartphone Samsung

    Una connect kupitia nini? Hotspot au? Maana nikibonyeza kwenye simu yangu smart view lazima uizime hotspot.. ikizima hotspot haijiunganishi na smart view. Natumia hotspot kuunganisha na internet pamoja na T-cast ambayo inanipa option ya ku view files tu kutoka kwenye simu kama videos, audio na...
  14. survivor03

    Kuunganisha smart TV (TCL) na Smartphone Samsung

    Kiongozi.. TCL MODEL:LED55P6000US
  15. survivor03

    Car4Sale 2005 Toyota IST inauzwa

    6.5ml unachukua hiyo DC?
  16. survivor03

    INAUZWA Mi TV Box S inauzwa

    Mimi nina smart tv je kinaweza kufanya tv iwe ya android ina google playstore? Na ina internal gb ngapi nikitaka kudownload apps na vitu vingine? Weka na picha..
  17. survivor03

    Kuunganisha smart TV (TCL) na Smartphone Samsung

    Natumia TCL SMART TV 4K ina option ya T-cast tu haina screen mirror sasa kila nikijaribu nipate screen mirror ndio nafail hapo... nimejaribu smart view inazingua haiconnect sijui kama kuna njia nyengine tena?
  18. survivor03

    Kuunganisha smart TV (TCL) na Smartphone Samsung

    Simu yangu inayo smart view lakini tatizo hai connect kupata screen mirror kwenye TCL SMART TV yangu mpaka nitumie option ya T-Cast ambayo haitoi screen mirror
Back
Top Bottom