kifurushi cha clouds plus kiilipoanza kilikuwa ni kama kinaoneshwa kama channel za nyumbani nyingine (nilivyoelewa mimi) ghafla msimu wa fiesta ulipoanza kikaanza kulipiwa kipekee - sh.3,000 ndio ukipate. Najaribu kuwaza mwenyewe, ndivyo kitakavyokuwa siku zote au msimu wa fiesta ukiisha...
Tatizo nikichukulia waajiriwa, hakuna mtu anaweza kukukopesha lets say 10m kwa mapatano ya kumlipa kidogo kidogo kwa miaka mfano mitano kwa dhamana ya mshahara. Hapo ndipo wengi wetu tunajikuta tunaingia kwenye mitego ya benki ili walau tuweze kujikwamua kwa kujenga au kuanzisha biashara, etc...
kiukweli wanashangaza. wiki iliyopita nikiwa nimeshajiunga kifurushi cha chuo wakanitumia sms kwamba nimepokea sekunde 200 za kupiga mtandao wowote kwa saa 24 na kwamba nitalipa sh350 nitapoongeza salio. leo nimeongeza salio wamenikata 350/= !!!!!! ukipiga 100 inaita hadi unachoka.
Mpaka kufikia hatua hiyo ya uchumba ina maana wazazi wa pande mbili zote wanayo taarifa ya mahusiano yenu. Inakuwaje kuja kuomba ushauri mtandaoni badala ya kuwashirikisha wao maana huko ndo ingekuwa sehemu muafaka. hayo ni maoni yangu tu mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.