Search results

  1. T

    Bibi harusi atoweka siku saa chache kabla ya harusi

    Wakuu leo ilikuwa ni siku ya harusi ya aliekuwa mchungaji wangu. Lakini katka hali ya kushangaza,, Bibi harusi hajaja kwenye ukumbi wa harusi. Yaani sendoff imefanyika kwao jana alafu leo siku ya harusi mwanamke ameingia mitini. Cm inapigwa hapokei. Maandalizi yote yalikuwa tayari yamefanyika...
  2. T

    Je, umepitia changamoto katika maisha yako, lakini baadae ukaona si changamoto bali ndio maisha yako halisi

    Unajua kuna tofauti kati ya kukata tamaa na kukubali matokeo. Katika maisha unaweza ukazaliwa mzima kabisa yaani sio mlemavu wa kiungo chochote cha mwili, na ukaona mtu aliyezaliwa mlemavu labda ni kama ana wakati mgumu kidogo maishani tofauti na wewe kumbe sivyo. Sasa kuna wakati mtu unapitia...
  3. T

    Usioe mke tu, oa mama wa watoto wako

    Kuoa na kuanzisha familia ni moja ya hatua muhimu zaidi kwa kijana. Kwa kua ni hatua muhimu zaidi basi umakini zaidi unahitajika hasa katika kuchagua mwenza sahihi wa kuanza naye safari hiyo muhimu. USITUMIE HISIA, TUMIA AKILI Katika kuchagua aina ya mwenza unaemuhitaji tumia zaidi akili...
  4. T

    Mzazi wekeza kiroho kwa watoto wako

    Karibuni kila mzazi anafanya kila awezalo kuwekeza kwa watoto wake kielimu,kiuchumi ,kijamii kiimani na wengine kisiasa. Hilo ni jambo jema na muhimu sana. Lakini, wengi wanasahau kuwekezo KIROHO _kuwekeza katika matendo mema Hii leo kuna watu wengi wanahaingaka sana maishani kwa sababu...
Back
Top Bottom