Search results

  1. jchofachogenda

    Jahazi lipo hewani sasa bila Efrahim kabadiiiiii.

    Nitakikumbuka daima kile kibwagizo chake cha "kuzimu hakuna bia" kama kuna mtu anacho akiweke hapa! Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  2. jchofachogenda

    Jamani naombeni mnisaidie hata kazi za ndani kwa hapa DSM

    Mimi nadhani hii dhana ya kama sio jinsia yako haiwezekani kulala pamoja mpaka awe mume au mke sidhani kama ina maana sana kwa jinsi dunia ilivyobadilika. Nimeshuhudia na kuhadithiwa pia watu wa jinsia tofauti waki-share chumba kimoja na ambao sio wapenzi bila matatizo yoyote. Kwenye semina na...
  3. jchofachogenda

    Jamani naombeni mnisaidie hata kazi za ndani kwa hapa DSM

    Huu ushauri mzuri sana nadhani angeufanyia kazi! Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  4. jchofachogenda

    MATOKEO YA SIMBA VS GSOURE (FUATILIA HAPA MLIO MBALI NA TV)

    Tupe hiyo link mkuu ukiacha ile app ya Azam maana naona wameifunga kwa muda. Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  5. jchofachogenda

    MATOKEO YA SIMBA VS GSOURE (FUATILIA HAPA MLIO MBALI NA TV)

    Mwenye link ya mechi hii aiweke hapa maana nipo mbali na maeneo ya home na Azam TV app inazingua. Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  6. jchofachogenda

    Kwa wanaotafuta wenza wa ndoto zao: Unachotakiwa kuzingatia kwenye mapenzi ya mtandaoni na kuwa salama

    Huu hapa ninaosimulia ni mkasa wa kweli kabisa! Kuna jamaa namfahamu yeye ni mpenda pombe na vimwana ila kiuchumi anajiweza. Kuna Dem mmoja alimpenda sana alitaka kumgegeda ila tatizo Dem ni mlokole anataka ndoa tena aolewe na mlokole mwenzie na si vinginevyo. Jamaa ni Muislam ingawa ndio wale...
  7. jchofachogenda

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huo wimbo hata mimi nautafuta sana, naomba mdau utuwekee tule raha! Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  8. jchofachogenda

    Umewahi piga/pigwa chabo katika faragha

    Nimeua nini tena mkuu? Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  9. jchofachogenda

    Umewahi piga/pigwa chabo katika faragha

    Ahahahaha nadhani haujapitia post za wengine ambao walikuwa ni the best kuliko mimi. Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  10. jchofachogenda

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nipe hakuna tatizo, tuma kwenye PM sio vizuri namba ya simu kuiweka hadharani. Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  11. jchofachogenda

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ninazo ila natumia app sina PC hivyo siwezi kutuma, kama upo tayari nitumie namba yako ya WhatsApp ukiniambia na majina ya nyimbo ambazo unazitaka. Nitumie kupitia PM. Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  12. jchofachogenda

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Chande ya Tamtam ninao ila nashindwa kuuweka humu JF, kuna siku niliomba kuelekezwa nikaambiwa ni mpaka utumie PC ndio inawezekana na sio simu. Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  13. jchofachogenda

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Habari wadau, mimi natafuta album nzima ya Mchiriku/Mnanda ya Eleven stars inayoitwa Upele Ing'wa ulole. Kwa mwenye nayo tafadhali aiweke! Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  14. jchofachogenda

    Kituko cha utotoni ambacho uwezi sahau mpaka leo

    Ahahahaha hii kali Amevunja zege ili ibaki nondo peke yake akauze chuma chakavu!!!! Usipoyapangia maisha nini cha kufanya yenyewe yatakupangia wewe nini cha kufanya.
  15. jchofachogenda

    Umewahi piga/pigwa chabo katika faragha

    Kipindi nipo kwenye umri wa kubarehe nilikuwa napiga chabo sana kwa kuwa nyumba yetu ilikuwa imepakana na Guest house tena zile za uswazi muda wote full kubiduana maana walikuwa na huduma ya short time. Nilikuwa na wenzangu wawili ila mimi ndio nilikuwa master planer yaani hata mazingira ya...
  16. jchofachogenda

    Mchiriku: Hisani Musical Club (Gari Kubwa)

    Thanks, nitafanya hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. jchofachogenda

    Mchiriku: Hisani Musical Club (Gari Kubwa)

    Ok nimekuelewa mdau nitafanya hivyo siku nikiwa na PC Sent using Jamii Forums mobile app
  18. jchofachogenda

    Mchiriku: Hisani Musical Club (Gari Kubwa)

    Wadau ninazo nyimbo nyingi za Mchiriku ila nimeshindwa kuzi-attach humu. Kama kuna mdau ataweza kunielekeza itakuwa vizuri zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. jchofachogenda

    Mnaoenda kununua vitu Zanzibar na kuleta Bara kuweni makini, kodi yake si ya kitoto

    Mimi nipo huku Zanzibar nimehamishiwa kikazi na kampuni ilioniajiri, huwa napokea bidhaa za kampuni na muda mwingine nawasaidia watu kutoa mizigo yao. Utaratibu wa huku Zanzibar ni kwamba mzigo ukitoka bara watahitaji risiti au invoice ya mzigo. TRA ipo huku na wanatoza kodi 5% ya thamani ya...
  20. jchofachogenda

    D.B.COOPER( mtekaji wa ndege aina ya Boeing mwaka 71) : Ushahidi mpya wapatikana

    Kama njia za kiutaalam na kisayansi zimeshindwa kumpata wangetumia njia za nguvu za giza! Wangekuja huku Africa na wangewachukua waganga kumi bora wa Africa mbona angepatikana tu huyo D.B. Cooper ! Tena katika hao vigagula kumi wawili wangetoka Tanzania, mmoja Pemba mwingine Sumbawanga...
Back
Top Bottom