Search results

  1. dormant accont

    Wanaopinga uwepo wa Mungu ni wakaidi

    We mleta mada, Unatumia kuran alafu unasema ni uthibitisho toka kwa Mungu. Mungu gani hana muda na watanzania hadi watu toka nje ya nchi yetu ndio waje waseme eti jamani kuna mungu alafu wewe utegemee sisi tupokee tu hicho kitabu kilichoingizwa nchini kwetu eti kwasababu tusipokipokea tutaitwa...
  2. dormant accont

    Feminists wote duniani ni wanawake wanaotumika kisiasa

    Nasema hivi baada ya kuona nafasi za wanawake zinapokonywa na USA na nafasi hizo wanakabidhiwa wanaume waliokata uume huku feminists wanaokuwaga mstari wa mbele kwenye kila nchi kupigania usawa wa kijinsia wakiwa kimya. Mwaka huu 2022, gazeti la USA today lilimtaja mwanaume aliyekatwa uume...
  3. dormant accont

    Guinness Smooth hii Bia tam!!

    Hujaizoea tu! Ni tamu sana😏
  4. dormant accont

    Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

    Kuona illusion sio hadi uwe umelewa. Inatokea. Ni hali ya kawaida inayotokea mara chache kwenye maisha yako. Na ikitokea sio rahisi kugundua kama ni illusion au ni reality. Hivyo, wala usuogope. Mda wa illusion wewe ubongo wako unapokea kama reality Wala sisemi unadanganya, ila uone kuwa ni...
  5. dormant accont

    Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

    Maagent wote nliokutana nao wameshindwa kuniletea jini wa kike wa futi 5.8.
  6. dormant accont

    Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

    Uliona kitu inawezekana, ila ukapata illusion labda kutokana na woga au tu mwanga ukaakisi vibaya kwasababu ilikua ni giza ikawa rahisi kupata illusion. Hatukatai kwamba uliona mchawi, ila ilikua ni illusion na wala hakuwa mchawi kweli.
  7. dormant accont

    Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

    Ubaya wa historia kuhusu wakoloni huwezi kuthibitisha kwamba wamissionary walikua na nia njema. Utanipa tu story na wewe ulizodanganywa. Wewe unathibitisha vipi yesu alitoa hayo maagizo zaidi tu ya kusimuliwa hadithi na kupewa biblia ambazo ni madai ( claims) ya watu kuwa ni neno la Mungu. Yani...
  8. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Ingawa hayupo sahihi. Maana waislamu wana shahada. Ukisema tumezaliwa waislamu unamaanisha hakuna ulazima wa shahada. Kwamba hata ukimuabudu Krishna na kutomkubali Allah bado wewe ni muislamu tu kitu ambacho si kweli kutokana na mafundisho ya uislamu.
  9. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Labda waislamu wanazaliwa bila dhambi, hivyo hawahitaji kubatizwa. Ila hizi dini🙂
  10. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Sawa! Ingawa ukweli upo wazi, Tanzania uislamu tumeupokea. Haukuanzia Tanzania. Sasa sijui unataka evidence gani kuthibitisha kwamba uislamu haukuanzia Tanzania. Ila, anyway. Kasome zaidi ya kitabu kimoja. Usiiweke akili yako kwenye boksi kwamba kuna kitabu kimoja cha dini na kung'ang'ania dini...
  11. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Huh! Sasa unataka kusema watanzania uislamu tumeutoa wapi sasa. Au unataka evidence ipi 😃
  12. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Jina lake! Dah, mimi kweli nikalili majina ya watu walioleta dini yako, sina kipaumbele na hicho kitu. Ni watu nje ya Tanzania yetu ndio wakwanza kuwa waislamu. Tumepata dini toka kwao. Majina ya waislamu nje ya nchi yetu yakariri wewe ukipenda.
  13. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Hao ambao Tanzania imepata kujua dini kupitia wao. Hao walioleta dini nchini kwetu.
  14. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Huelewi chochote kuhusu fizikia. Hii ni kazi ya walimu wako, mimi unanichosha tu kufundisha maada ni nini. Wala Allah hajasema chochote kile. Hayo ni maandishi tu ya watu wakidai Allah kasema nini. Wewe huna uwezo wa kuthibitisha kama huyo Allah yupo na kama kweli alikuambia yeye yupo mmoja...
  15. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Na kingine, jiulize ujiulizavyo utagota tu kwenye swali moja kubwa ambalo haijalishi utatoa jibu gani huwezi kuthibitisha. Wote tutafika hapa: je kama kuna Allah alitokea wapi na kama aliweza kuwepo kwanini wasiwepo wengine kama huyo Allah unaeambiwa yupo? Na mimi ntagotea hapa, space na...
  16. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    We jamaa, una elimu gani? Maada asili yake ni atoms. Atoms hazina mwisho. . Hapa naona tutakesha. Hii ni elimu ya darasani, naona huna. Napoteza muda wangu kufundisha vitu vya shule ya msingi.
  17. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Unaniambia maada imeumbwa bila kunipa uthibitisho iliunbwa lini na wapi. Wewe ni theorist asiejielewa kama ni theorist 🙂
  18. dormant accont

    Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

    Natamani yanikute jamani, mbona sina bahati. Nataka jini mmoja wa kike futi 5.8 jamani 🥺
  19. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Wewe ni theorist, huelewi tu kama ni theorist. Creation ni theory ile. Huna uwezo wa kuithibithisha. Mr. theorist asiejielewa kama ni theorist 🙂
Back
Top Bottom