Search results

  1. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Nadhani nimeeleza kidogo, kwa sasa uwanja haupo plain - mfano, mwenyekiti wa CCM (kila 5 years ni mgombea pia) anateua waamuzi (Tume). Kuidhoofisha kunalenga kufanya level plainfield kwa vyama vyote ili wananchi waweze kuchagua wamtakae. However; sina attachment yoyote na maneno (heading)...
  2. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Shukrani sana kaka. Follow up question, je inawezekana ku-accelerate hili la Mataga mfano?
  3. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Mie ni Mtanzania kabisa na sijawahi kupita jeshi lolote (iwe mgambo au JKT). Nimeomba kupata mbinu za kuidhoofisha na baadae kuishinda CCM, CCM sio serikali ni chama tu cha siasa kama kilivyo TLP & Jahazi Asilia. Unaweza kunisaidia mbinu gani vyama vya upinzani vitumie ili kuishinda CCM?
  4. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Shukrani sana, nakubaliana nawe kabisa. Mara ya mwisho walipofanya hivi 2015 walipata kura milioni 6 na wabunge kibao, ndio kura nyingi zaidi kuwahi kupatikana.
  5. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Kaka mkubwa kuwa na polisi rafiki ni kosa? ambao wakitumwa wawapige au wasaidie kuingiza kura feki kwenye vituo wakatae ni "Third Columnists"?
  6. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Nimetoa mfano tu wa mawazo yangu, je wewe unadhani tutumie mbinu gani? iwe ngumu au laini.
  7. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Post yangu inaomba michango ya nini kifanyike? ACT ni chama kimojawapo, wana haki ya kutumia mbinu wanayoona inawafaa. Vipi kwa vyama na wadau wengine, je wao watumie mbinu gani?
  8. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Shukrani sana kwa mchango wako. Umesema 1. elimu ndio suluhisho na 2. CCM inarudisha nyuma elimu kwa makusudi; Je tutumie mbinu gani kakabiliana na hili?
  9. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Post yangu inaomba michango ya watu, ungeweza tu kusema katiba mpya bila kusema nazuga watu.
  10. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    1. Ume- assume mimi ni middle class, tena nikifanya kazi kwenye AC - hii haina msaada wowote kwenye kupata katiba wala kwenye hoja iliyoko mezani. 2. Ushauri wako wa kuzungumza na wananchi ndio nilichofanya kupata maoni yao. Je ungependa mjadala kama huo ufanyike wapi?
  11. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Nadhani hii ni changamot kubwa tuliyonayo, mtu anasema tu Katiba Mpya, hatutaki kufikiria njia mbadala. I hope tutapata michanganuo zaidi.
  12. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Shukrani sana, just a follow up kwa option ya 1. Je inawezekana ku-accelerate huo utengano? mfano - kuongeza nyufa kati ya makundi ya kijamii na CCM?
  13. Third Eye

    Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Habari za asubuhi wanajamvi. Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la...
  14. Third Eye

    Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

    ahsgvdVGLdsvmnvkj
  15. Third Eye

    Tetesi: Prof Kabudi anaweza kuwa next president of Tanzania 2025

    Kwa uandishi huu, huna siri zozote zaidi ya hisia tu. Japo si mbaya!
  16. Third Eye

    Kifo cha Filikunjombe, Uvamizi LHRC: Tuhuma nzito zaelekezwa kwa January...

    Habari za mchana! Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na tuhuma nzito kutoka kwa watumiaji nguli wa Mtandao wa Twitter hapa Tanzania. Japo hajasema ni January nani, lakini tuhuma hizi ni nzito sana. Mtazamo wako ukoje kwenye hili? Pengine kuna mafaili zaidi yako humu yatafunguliwa...
  17. Third Eye

    Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Si kazi ya waziri wa fedha kufatilia vitu kama vinatumika ipasavyo ama lah. Kazi yake yeye ni mtoza ushuru na ndio anachofanya. Tukizoea kufanya vitu bila kufata taratibu kwa kisingizio cha msaada tutakuwa tunapigwa kila siku. Hivi unajua hata organisation iliyotoa hivo vitu? kweli watoe kontena...
  18. Third Eye

    Ushemeji jamani umenichosha

    Mafisi bwana, eti makalio mabichi. Kuna yaliyokauka...au mengine yameiva?
  19. Third Eye

    Ni vyema sasa wale 'Team Waokota makapi' wakawahi kufanya usajili wao haraka wa hawa Wachezaji

    Mamlaka na falme nyingi huangushwa na kiburi na ugomvi toka ndani. Sisemi msiwaadhibu wakikosea, lakini kuna ubinadamu. Kuwacheka na kuwakebehi eti wazururaji sio poa na ni hatari, unadhani wote uliowataja wanajua faultlines ngapi za CCM? unapoongeza idadi ya maadui kwenye chama chako mwenyewe...
  20. Third Eye

    Hivyo ndivyo wauza mihogo barabarani wanavyojiuza Dar

    Hahhahaaa umeona kuwa story imeishia njiani? atuambie na utamu wake basi.
Back
Top Bottom