Search results

  1. L

    contribution of NGOs in assisting vulnerable children

    jamani aliyewahi kufanya research kuhusiana na iyo title tuwasiliane inbox
  2. L

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    mama kikwete ana NGO's yake inahusika na wanawake wenye virusi vya ukimwi awa watu wanakuwa na vigezo vya kuingia chuo kama wengine ila wenyewe wanapewa mkopo asilimia mia na vyuo vyote tanzania wapo
  3. L

    Natafuta mke wa kuoa:

    kiukweli una kurupuka kisa kulea mtoto kazi ndo muwe mnatuheshimu ata ivo nakuombea heri kutafuta uyo mke ningekuwa mm ndo wewe ningekuwa na subira sasa ivi utapata wa kukutesea mwanao
  4. L

    Namuitaji mke wa mkataba

    maziiiiitooooooo
  5. L

    Hill View Hotel ya Mbeya ni Mali ya Nani

    kweli kabisa haina hadhi ya five star ila jamaa kajitahidi
  6. L

    Mtoto wa miaka mitatu achomwa moto, kisha alazimishwa kula kinyesi chake (Majengo, jijini Mbeya)

    nimesikia uyu mtoto kaungua sana kwenye mkono imebidi mkono mmoja akatwe kesho nitaenda kumuona inaumiza
  7. L

    Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

    niko tofauti mi niko mbeya ila c mzaliwa wa uku kiukweli wanawake wa mbeya wamejaliwa shepu hips na nyuma usiseme na asilimia kubwa wako ivo ila kwa sura kawaida sana
  8. L

    Kina dada mmezidi kuwa maji mara moja dah

    mapenzi uwazi jamani kuzungushana ilikuwa zamani mi ukinifuata nikakupenda nakubali kikubwa kupima ukimwi na kibaya wanaokubali wanaume wakati wapo kwenye mahusiano
  9. L

    wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

    samahani kama nitakuudhi unasema hujapata mnaoendana na wao ujue wenye status kama yako wameona huwafai tatizo umekuwa mchaguaji sana ata ukitongoza wewe inaonyesha hamtadumu miaka 27 hujaona mtu alafu ukute elimu yenyewe degree tu sifa nyingi kwa ushauri tafuta mwanaume ambaye sio tegemezi yani...
  10. L

    Diet ya mdalasini, asali na limao inapunguza kilo ngapi kwa wiki?

    nashukuru sana kwa ushauri ngoja nipime uzito then nianze
  11. L

    msaada wapendwa

    asanteni kwa mawazo uyu msichana nadhani anaitaji psychologist coz yupo confused jana kanambia yuko tayari kutafuta yoyote amuoe kiukweli mi nashindwa sasa
  12. L

    msaada wapendwa

    rafiki zangu nashukuru kwa msaada wenu rafiki angu kwa sasa kaona asitoe mimba na anafuatilia ada anajaribu kuongea na uongozi wa chuo aone itakuwaje
  13. L

    msaada wapendwa

    kiukweli yeye anakazania kwanza atoe mimba maana hajuiafanyaje mwanaume kaama na mkoa kiukweli kachanganyikiwa kikubwa ni ushauri kwao anashindwa kurudi na mimba nipo nae ninapokaa
  14. L

    msaada wapendwa

    nina rafiki angu nasoma nae chuo ndo tunaingia mwaka wa tatu anatokea familia ya kawaida ila wazazi wake waliweza kumlipia ada mwaka wa kwanza then wakashindwa akapata mwanaume akamlipia ada mwaka wa pili juzi juzi kamtumia msg kuwa ameoa na hamtaki na uyu dada ana mimba changa mwanaume...
  15. L

    Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

    wa kyela wana dharau usipime wivu usio wa mana na wanaume wengi hawajatahiriwa na wana mila ngumu mi mnyaki sikushauri japo c wote ila wengi hatari umalaya ndo mmmmh
  16. L

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    umri wangu na mwili haviendani kwa asili mi ni mnene ila sasaivi nimezidi nisaidie
Back
Top Bottom