Search results

  1. P

    Ni jambo gani akifanya mpenzi/mke/mume wako unamuacha

    Kupeleka puchi nje.... Sitaki hata kusikia maana yalinikuta hayo, nikapiga chini mpk leo anatapatapa.
  2. P

    Naombeni ushauri jinsi ya kumsahau

    Tupo wengi njoo kwangu.... Nitakupenda hata kama una sura kama gimbi.
  3. P

    Nimemtongoza demu juzi, leo nimeambiwa simu imepotea

    Wakuchunwa aiseeee Nunua upewe puchi baba.
  4. P

    Simuelewi huyu msichana

    Jembe vipi bana? Yaani kusoma hujui na picha nayo huoni? Chukua hatua jembe tayari huyo ni wewe tuu aisee.
  5. P

    Kushafanya mapenzi na mwanamke mara ngapi huwa unaacha kutumia condom?

    Kazi ipo.....falsafa yangu mimi ninayoishi hayo ni hivi.. Usitembee peku njia usizozijua. Upo hapo?
  6. P

    Lips zake zimenichanganya

    Shindwa shetani shindwa shetani........... Toka kajitose baharii.........
  7. P

    Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

    Huyu tina cute ni mpuuzi sn, eti kuchuna mwenzio alafu baadaye nduki. Ndoo maana mmelaaniwa tangu mkiwa tumboni.....
  8. P

    Kubembeleza mpenzi kila wakati

    Unaangalia na unayembembeleza anaeleweka au umemkwaza kweli, au anataka kukufanya fisi mkunga.
  9. P

    Mjamzito atembea kilomita 100 kujinusuru kipigo cha mumewe

    Huyu jamaa kwanini asingepelekwa gender, ana mimba kisha unampigwa... Fisi mkunga huyo ajielewi.
  10. P

    Wanaume: Piga Ua, wanawake uliosoma nao wameshazeeka

    Ni ukweli kabisa ndio maana mtu unashauriwa uoe mwanamke unayemzidi yapo miaka kumi, hii itakuepusha kuchepuka aisee, wanazeeka sana mapema hawa wanawake hasa akikosa matunzo utamkimbia.
  11. P

    Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    Kaka wanasema thamani ya kondoo ni mkia, huonagi mtu akienda kununua kondoo anashika kwanza mkia, bei inaendana na mkia baba.
  12. P

    Msaada wa mawazo

    Kwanza jamaa ni jembe, napenda wanaume wenye msimamo ambao hawayumbishwi ukisema no ni no. Mimi sipendi watu waongo akishaaribu protocol zangu basi imepita, jamaa achane naye huyu mwanamke ni tapeli tuu atakuja kumsumbua.
  13. P

    Aisee,kuachwa na mpenzi huku bado unampenda,kusikie tu kwa mwenzio

    Ni hivi ina maumivu kweli.., but uwe mvumilivu. Siku zote mapenzi hayalazimishi, ongopa mtu ambaye ajui dhamani ya machozi yako. Sanuka kaka,
  14. P

    Katiba bado ina bikira.

    Wana jf. Mimi fikira zangu zinaakisi kwamba rasimu ya katiba bado ina ubikira, Katiba imekuwa na itikadi za kivyama mimi falsafa yangu naona hakuna chama ambacho kiko loyal kwenye suala la katiba.
  15. P

    Asiyetaka aliyowasilisha Warioba arudishe kadi CCM

    Mi naona logic ni kuvua makoti ya vyama, ili tuweze kuijadili katiba. Lakini hawa mafedhuli waelewe kwamba hatutaki katiba ya vyama bali katiba ya wananchi.... Waelewe hilo kabisa waache hii dhambi itawatafuna.
  16. P

    TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Hii mada ni ya kipumbavu.... Are you out of your mind? Jitahidi uwe critical kidogo.
  17. P

    Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Mmmh bolingo atika pasi na mokili, papa na mama yo nani boye? Balaa tupu
  18. P

    Kwa nini uruhusu mkeo au mumeo kudochwa au kudocha nje?

    Wana jf haya maswala ni kuomba mungu kiukweli hali ni ngumu, kati ya sababu kuu inayosababisha kuchepuka ni kutojitambua.
  19. P

    Je, ni lazima umpe mwanamke pesa ili uoneshe kuwa unamjali, na unaitambua thamani yake?

    Hii mada ni nzuri sana, mapenzi siku zote huwezi ukayapima kwa pesa. Siku ukimwona mpenzi wako anashobokea pesa tuu ndio stimulus kwake ili akupende hayo sio mapenzi. Jiulize ukiishiwa itakuwaje?
Back
Top Bottom