Search results

  1. MzungukoMnangani

    Rais Magufuli apinga uzazi wa mpango, asema wananchi wanapotoshwa

    Kuna kipindi alisema watu wafyatue tu watoto,Ummy(Waziri wa afya) akadai rais alikuwa anatania sasa kwa hii kauli ya rais sijui waziri atakuja na majibu gani
  2. MzungukoMnangani

    Nina shida na nyoka mkubwa aliye hai aina ya Koboko ( Black Mamba )

    Mimi ninao nipe mawasiliano yako au njoo pm.
  3. MzungukoMnangani

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Chief hii ni model gani ya Sony? Ni mpya ili tufunge mahesabu
  4. MzungukoMnangani

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Wakuu inahitajika brandy new smart tv ya inch32 iwe Sumsung,LG au Sony,bajeti iliyopo ni laki5
  5. MzungukoMnangani

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Namba 35 if im not mistaken
  6. MzungukoMnangani

    Clouds TV sasa kupatikana DSTV

    Ni kweli ila itaanza rasmi kesho alhamisi kuptia chanel 249
  7. MzungukoMnangani

    Kinana: Magufuli akishinda ataunda Baraza la Mawaziri dogo

    Leo ndo wanakumbuka kubana matumizi ya serikali khaaaaa
  8. MzungukoMnangani

    Maoni yako: Hali ya Tanzania baada ya uchaguzi

    Jei key na timu yake waachie nchi kwa amani kabsaaa
  9. MzungukoMnangani

    Kupiga kura kwenye karatasi ya kura (Kunja karatasi kwa nje): Asante Mbowe

    Basi sawa tumekupata mzee wa anga freeman aikael mbowe
  10. MzungukoMnangani

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Hii movie naona imeingia episode ya pili sasa ngoja niendelee kuifatilia
  11. MzungukoMnangani

    Ushauri: Kabla sijamdhuru baba yangu, kamtuma mdogo wangu kanichukulia gari langu

    Learned brothr unaomba ushauri kwa issue ndogo hivi
  12. MzungukoMnangani

    TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    So sad kwakweli i can remember salam aliyoianzisha pale jangwani...moto moto motoo motooooooo upumzike kwa aman mzee wetu
  13. MzungukoMnangani

    Nauza iPhone 5s

    Nakupa elfu50 njoo PM
  14. MzungukoMnangani

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    C'mon mr! bado tunahitaji mchango wako ili tuzidi kujifunza
  15. MzungukoMnangani

    Elections 2015 Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Magufuli

    Me ni man,usipende kukurupuka bwa mdogo
  16. MzungukoMnangani

    Elections 2015 Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Magufuli

    Hivi uyo boya mnayemuita #FieldMarshall# alishawahi kupitia hata mgambo?
  17. MzungukoMnangani

    Gia ya Yusuf Manji kuelekea kuwania umeya wa jiji

    Ntafurah sana wapiga kura wa mb/kuu wakimchinja kweny sanduku la kura
  18. MzungukoMnangani

    Professor Jay (Joseph Haule) amekamatwa na amenyimwa dhamana

    Sorry Kamanda naona heading na content kama vinapishana hivi ila all in all ccm waache kufinya haki ya mtu dhamana ni haki ya kikatiba
Back
Top Bottom