Search results

  1. Tetty

    African accounting conference hears stirring calls to fight corruption

    Wahasibu na maauditor wenzangu.Dada na kaka zangu,je twaweza kusema HAPANA kwenye wizi wa mali za umma,Fedha za Umma,Rushwa na ufisadi? Hebu tuiangalie hii article kama chakula cha leo cha UBONGO wetu. Karibuni nyote African accounting conference hears stirring calls to fight corruption...
  2. Tetty

    Watafuta kazi na rushwa iliyo kithiri

    Ningependa kuwafahamisha nudgu zangu wanao kataa kuwa hakuna rushwa kwenye mshirika yetu haya hayajalishi ni ya kimataifa au la. Nimefanya application ys nafasi moja ya kazi on line (Brightmonday) yenye job ID 71305,leo nimekuta kwenye in box yangu mtu kaniandikia meseji ikisema kuwa nimmwambia...
  3. Tetty

    Sheria ya ubakaji hasa kwa watoto walio chini ya miaka mitano

    Ninaishi kwenye mazingira ya kijijini na kuna incidence imetokea na kwa maelezo ya jamii niliyonayo wanaona kwa mtoto au mtu mzima kubakwa ni kitendo cha aibu na kwenye jumuia hii mtoto/binti anatengwa na kuonekana hafai na ili kuficha siri wazazi wa muadhirika na kijana/mwanaume aliyebaka...
Back
Top Bottom