Pole sana,watu hawakunyimwa forms,hakukuwa na polisi wa kuua watu bali UVCCM waliowekwa na baadhi ya wabunge wa CCM.
Pamoja na mapungufu ya mwaka 2015,lakini ya sasa yamewavua nguo,na ukumbue mwaka 2015 99% ya wakurugenzi walikuwa professionals siyo MAKADA wa UVCCM.
Pole sana nilitegemea...
Pole sana.Ninakuone huruma maana kwa sasa CCM iko uchi kabisa.Mbaya zaidi wenye akili ndani ya CCM ni hawa:
"Serikali ya chama changu @ccm_tanzania haiwezi kukwepa lawama kwa namna yoyote ile kufuatia kupigwa risasi kwa binti ambaye hakuwa na hatia hata kidogo. Nimeshindwa kula, kulala nafsi...
Pole sana,tena pole kweli maana mnywa damu haiishi kunywa ya mtoto wa jirani kuna siku atakunywa ya mtoto wake mwenyewe.
Watu kama nyie ni wa kudharau kama alivyodharauliwa 'Mnyeti'
Nani alikwambia?Mbowe ndiye aliyeenda kuzichukua mlikuwa wapi msizitoe mapema?Hata kama unakipenda hicho chama cha mauaji lakini ikifika mahali wamekosea wasahihishe,hakuna Nchi ya CCM,Tanzania yetu sote pamoja na wanachama wa vyama vya siasa au wasio na vyama vya siasa.
CCM uuaji jadi...
Unauhakika hawakwenda?Au mliamua kuweka masikio kwa Pamba?Mahaba yamezidi kwa CCM uongozi wa Chadema ulifuatilia sana sana form lakini Kada wa CCM alikataa kutoa,na hata hiyo siku ya mwisho hakutoa zote.Ni aibu sana kama NEC ilishindwa kuingilia kwa maana walijua CHADEMA watakasirika halafu...
Tunawashikilia Askari 6 ambao wametumia Silaha za moto katika Uchaguzi huu mdogo,"-Mambosasa. #MillardAyoUPDATES
"Tendo lililompata Binti ni la bahati mbaya sana, kwani wale Wawili waliojeruhiwa walikuwa eneo la tukio,"-Kamanda Mambosasa #MillardAyoUPDATES
Kuna mtu alisema na...
Tunawashikilia Askari 6 ambao wametumia Silaha za moto katika Uchaguzi huu mdogo,"-Mambosasa. #MillardAyoUPDATES
"Tendo lililompata Binti ni la bahati mbaya sana, kwani wale Wawili waliojeruhiwa walikuwa eneo la tukio,"-Kamanda Mambosasa #MillardAyoUPDATES
Kuna mtu alisema na...
Kuna nafasi za uteuzi zimebaki ?.Hata wakati wa JKN walikuwepo wapumbavu kama nyie waliowashabikia wakoloni weupe,sioni tofauti na wewe unayeshabikia wakoloni weusi.Tofauti yenu ni rangi tu tabia zenu Nafuu ya wakoloni weupe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.