Search results

  1. M

    Nawaunga Mkono Madaktari

    nikiwa na uchungu mwingi moyoni NAUNGA MKONO HOJA bila madaktari kugoma tena ile kisawasawa serikali haitawatendea haki hence watatuhudumia ovyo ovyo mwisho wa siku COMPLICATED matatizo ya afya hayataisha
  2. M

    CCK imepata usajili, tuwape hongera!

    chama cha HAMAD na SITTA
  3. M

    Kumbe Dr Asha Rose Migiro ni chaguo la Kikwete!

    Huyu mama amefukuzwa kazi baada ya kushindwa kudeliver
  4. M

    Rais Kikwete akutana na uongozi wa NCCR Mageuzi - Ikulu

    Cuf wataenda lini????????
  5. M

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    kiti cha uzini ni kwa WAZINZI
  6. M

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Kumsimamisha DR kutaadhiri mahusiano kati vijana na DR ndani ya chama
  7. M

    Wabunge wa zamani walikuwa hamnazo kabisa!

    sorry kwa kubadili sredi Katika Bunge la Tanzania tokea lianzishwe halijawai kuwa na kilaza anayemzidi LUSINDE kwa ukulaza Mama mzazi wa LUSINDE nadhani anajiskia aibu kila huyu mwanao anaposhika kipaza sauti
  8. M

    Usha flirt naye sana

    kwani hapo mlipokutana ni ofisini???unakunjua uso kwa furaha kesho yake ofisini uso wa mbuzi kama kawa
  9. M

    Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

    at least once in my life hata kama ni babu
  10. M

    From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

    hamshangai kwa sababu hamjawai kupata dozi za nje ya dar!!! hakika a 20 minutes dozi ya nje ya dar is equivalent to 20hrs dozi ya dar........
  11. M

    From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

    otherwise wanaume wa dar wawe wanaenda kuishi mikoani atleast for miezi mitatu ili wawarutubishe warudipo dar
  12. M

    Kupombeka na aibu ya mwanamke...!

    mwanamkee mlevi ni tatizo lisilobebeka. wanawake walevi wengi wao wameshafanyiwa mchezo mchafu mwili wa mwanamkee haustahili kabisa kuingizwa mipombe
  13. M

    Kuolewa SIO bahati...USIBAHATISHE!

    Lizzy kuolewa ni bahati ila is not pre-determined i.e umeanza uhusiana kama mchicha umekuwa na sasa mnataka kuoana (mmbuyu)
  14. M

    From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

    Mimi ndiye Marytina haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  15. M

    From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

    mwanaume anakula zege wiki nzima!!!!!!!!! loh
  16. M

    From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

    yaan hata kama nguo umeinunua jana Nairobi MWANAUME wa Dar hutakawia kumsikia akisema, huo mvao kama ule wa demu wake mjomba wangu wa Sinza anayefanya kazi NMB.mwanaume anajua mivao ya wanawake kuliko hata demu wake
  17. M

    From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

    tatizo la vijana wa dar ni stori makers tu, mara ikishindikana ntamtuma Muddy aende Commorro ila huyu anayetaka kumtuma Muddy commoro kila siku anakubeep.
  18. M

    From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

    Kaka usiwaambie ukweli, wasifie kuwa wanajua kukariri mashairi ya nyimbo za marekani wanaume wa dar ovyo kabisa wanaishi maisha ya kuigiza (movies)
  19. M

    From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

    mbona mikoani hawashangai najipitia mtaa kwa mtaa, uchochoro kwa uchochoro hawa wa dar hawana issues zaidi ya kuwalinganisha wanawake wawaonao mabarabarani
Back
Top Bottom