Search results

  1. The Sunk Cost Fallacy

    Ufisadi wa Kutisha Awamu ya 5 'Mbunge adai Afisa Masuuli wa Loliondo DC alitokomea na Mil.341 huku akimziba DC mdomo kwa mil.90'

    Wakuu niwape hongera kwa kuchapa Kazi.. Mbunge wa Loliondo akijadili taarifa ya Laac na Pac Bungeni amenukuliwa akisema Afisa Masuuli wa Halmashauri ya Loliondo alikwapua pesa za Umma zaidi ya mil.341 zilizotolewa na Tanesco kwa ajili ya Fidia kwa wananchi na kutokomea nazo kusikojulikana...
  2. The Sunk Cost Fallacy

    DRC 'Rais Felix Tshisekedi Ataka Vijana Waunde Vikundi vya Kupambana na Rwanda'

    Wakuu habari.. Hali inazidi kuwa Tete Kati ya DR Congo na Rwanda baada ya Rais Felix Tshisekedi kuwataka Vijana waji mobilise kwenye Vikundi kwa ajili ya mapambano na Rwanda.. Source: BBC👇
  3. The Sunk Cost Fallacy

    Uingereza kuikopesha Tanzania Shilingi Bil.980 za TEHAMA

    Wakuu habari za michakato.. Serikali ya Tanzania imepanga kukopa Shilingi Bilioni 980 kwa ajili ya mradi wa kuendeleza sekta ya TEHAMA.. Makubaliano hayo yalifikiwa Nchini Uingereza na Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba. Ikumbukwe Wiki iliyopita Waziri Mkuu alikuwa Korea Kusini ambako...
  4. The Sunk Cost Fallacy

    Ileje: Mbolea ya Ruzuku yakamatwa Ikitoroshwa Kwenda Malawi. Bashe Umejipangaje kwa hujuma hii?

    Wakati wakulima wakiendelea kuhaha na kukesha Mijini wakisubiria Mbolea ya Ruzuku,Huko Wilayani Ileje Serikali imekamata magari 2 yakitorosha mbolea ya Ruzuku na kwenda kuuza Nchi ya Malawi.. Kwa mujibu wa mashuhuda gari moja ilishavuka Nchi jirani na kutokomea kusikojulikana.. Wito kwa...
  5. The Sunk Cost Fallacy

    Mzee atangaza kutoa Ofa ya Kuozesha wake zake, Mabachela changamkieni fursa huku

    Wana MMU hongereni na Kazi.. Kwa wale Mabachela Sugu,pitieni huku kuna ofa ya kupata mke kutoka kwa Mzee.. Bei ya makabishiano ni maelewano,watakaowahi watapata punguzo👇
  6. The Sunk Cost Fallacy

    Hivi suala la kugawa vishkwambi linahitaji sherehe kweli?

    Moja kwa Moja kwenye mada. Sipingi kutolewa Vishikwambi ila naona sio sawa kuweka sherehe jambo la kutoa maelekezo na maagizo tu. Kila kitu viongozi wanataka kongamano hafla nk,vya nini hivyo? Kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi wa ugawaji...
  7. The Sunk Cost Fallacy

    Mbunge amuomba Rais Samia amteue kuwa Waziri wa TAMISEMI ili akomeshe wizi unaofanywa na Watumishi

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. Kwanini watumishi wa Serikali ya Tanzania hawaogopi hela ya umma? [...] Wanaokula hela ni wale wale [...] Nimuombe Mama aniteue Waziri wa TAMISEMI hata siku moja." Nini maoni yako? 👇
  8. The Sunk Cost Fallacy

    Maajabu ya Sensa 2022 'Mkoa wa Manyara- Wanaume ni Wengi Kuliko Wanawake,Yale Mambo Yetu Huko Ikoje Sasa?

    Moja kwa Moja kwenye mada.. Wakati matokeo ya jumla ya sensa yanaonyesha Wanawake ni wengi Kuliko Wanaume na Mikoa yote ikonhivyo ila kwa Mkoa wa Manyara ni Kinyume.. Matokeo ya Sensa Yameonesha Mkoa wa Manyara una Wanaume wengi kuliko Wanawake. Wanaume 954,879, Wanawake 937,623, wanaume...
  9. The Sunk Cost Fallacy

    Matokeo ya Sensa yameonesha watu wameacha kukimbilia kuhamia Dar

    Moja kwa Moja kwenye mada. Kwa matokeo ya sensa yaliyotangazwa leo, share ya idadi ya watu wa Dar imepungua kutoka 10.3% mwaka 2012 hadi 8.7% mwaka 2022. Tafrisi yake ni kwamba licha ya ongezeko kubwa la Idadi ya watu Tanzania ila wengi wameamua kubaki mikoani badala ya kushoboka kwa...
  10. The Sunk Cost Fallacy

    Kwa kuzingatia uzoefu wa awali, sitoshangaa CHADEMA wakipinga na kutoyatambua matokeo ya Sensa

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Kwa kuzingatia itikadi ya CHADEMA kupinga kila kitu kiwe kizuri au kibaya wao hupinga tuu, sitoshangaa CHADEMA kuitisha mkutano na waandishi wa habari ya kutoa matamko ya kupinga matokeo ya sensa.😁😁😁😁 CHADEMA👇
  11. The Sunk Cost Fallacy

    NBS ilikadiria Tanzania tutakuwa Mil.61.3, Actual figures ni Mil.61.7. Kuna Haja gani Kutumia Mabilioni kufanya Sensa?

    Wakuu habari za kazi. Mwezi July Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS Ilikadiria idadi ya watu Tanzania itakuwa Milioni 61.3 na Matokeo rasmi ya Sensa yaliyotangazwa na Rais baada ya sensa ni watu Milioni 61.7, tofauti ni watu laki 4 tu. Swali kulikuwa na haja gani ya kutumia zaidi ya Bil.400 za...
  12. The Sunk Cost Fallacy

    Kwa mara nyingine Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Kusini zimetengwa kwenye ufadhili wa masomo ya ubobezi wa kitabibu

    Bila kuchoshana, Juzi hapo Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alitangaza ufadhili wa fani za kibingwa kwa watalamu wa Hospitali za Rufaa za Kanda na Taifa. Katika ufadhili huo unaoitwa Samia Health Specialisation, hospitali zote za kanda zimepata ufadhili wa kuwa bobezi kwenye baadhi ya fani. Cha...
  13. The Sunk Cost Fallacy

    Unakuta mtu mzima eti anahoji kasi ya Ujenzi wa 'Filling Stations', Mbona hawahoji ongezeko hili kubwa la ununuzi wa Magari?

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. Kumekuwa na watu wazima na wavivu wa kufikiria eti wanaji Kasi kubwa ya ujenzi wa vituo vya mafuta Nchini kwa kuita utitiri. Lakini haonhao watu wanashindwa kuelewa kwamba kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kununua magari,mitambo nk kwa ajili ya shughuli...
  14. The Sunk Cost Fallacy

    Raia Mwema: Mawaziri wamzunguka Rais, wWajipanga kwa Urais kwa kusaka pesa ughaibuni' Je ni nani hao?

    Gazeti la Raia Mwema linaripoti kuwepo kwa Mawaziri wanaomzunguka Rais Samia.. Inasemekana kuna Mawaziri wanajipanga kwa Urais wa 2025 kwa Kusaka Pesa za kampeni Ughaibuni.. Ni vyema tukawatambua Hawa Mawaziri ni kina nani maana Alianza RC Chalamila kwa kusema kuna Wateuliwa wanatamani Kiti...
  15. The Sunk Cost Fallacy

    Mbeya ni namba 3 kuchangia Pato la Taifa ila haipo kwenye 10 bora mapato ya TRA. Hii kiuchumi imekaaje?

    Habari ndugu wadau. Kuna jambo la kuelimishana hapa kwa wabobezi wa Masuala ya Uchumi. Inakuaje Mkoa wa Mbeya ambao uko namba 3 Kuchangia Pato la Taifa yaani GDP na pia iko namba 4 Kwa kuwa na watu wenye kipato cha juu yaani Per Capita Income yet makusanyo yake ya TRA ni only Bil.69 kwa Mwaka...
  16. The Sunk Cost Fallacy

    Wakati Waziri Makamba akiandaa mjadala wa Kitaifa kuhusu nishati salama, Jafo analalamika nchi ikizidi kuwa jangwa

    Itifaki imezingatiwa.. Wakatu Waziri wa Nishati, January Makamba Akiandaa Kongamano la kujadili policy intervention ya kuwa na Nishati Salama ya kupikia ili kuokoa vifo vya Wanamama na watoto zaidi ya 35,000 kwa mwaka, Waziri wa Mazingira Suleiman Jafo analalamika kwenye mikutano huku Nchi...
  17. The Sunk Cost Fallacy

    Rais Felix Tshisekedi na Ujumbe wake ni warefu kupita wote waliokuwa kwenye gwaride

    Hello! Picha hapa chini zinaongea. Jamani Watanzania tujitahidi kuzingatia lishe kwenye vyakula vyetu maana ukiangalia hapo Chini Rais wa DRC na Ujumbe wake ndio warefu kuzidi Askari wetu wote waliokuwa kwenye Gwaride.. Pamoja na utofauti wa Genes ila msosi ni muhimu, udumavu wa mwili na...
  18. The Sunk Cost Fallacy

    Licha ya Mikwara ya Umoja wa Ulaya,Ujenzi wa Bomba la Mafuta la EACOP Unaendelea. Hongera Uganda na Tanzania

    Habari za kazi wadau.. Leo nawapa habari njema,Licha ya Mikwara ya Bunge la Umoja wa Ulaya Kuzuia Ujenzi wa Bomba la EACOP lakini ni kwamba wamepuuzwa na ujenzi unaendelea na uko kwenye hatua mbalimbali.. Hongera Sana Tanzania na Uganda kwa kuziba maskini Kwa mabeberu uchwara,Hawa Wazungu ni...
  19. The Sunk Cost Fallacy

    Wale tunaopenda wanawake weusi tukutane hapa tuwape sifa zao

    Habari za jukwaani wana MMU, Leo napenda ku declare interest kwamba kiukweli huwa napenda sana wanawake weusi iwe ni maji ya kunde au weusi kabisa real black beauty A.K.A mama Afrika. Wanawake weusi wana sifa za kipekee kushinda weupe kama ifuatavyo; 1. Akiwa mzuri anakuwa mzuri na mrembo...
  20. The Sunk Cost Fallacy

    Putin na Russia jiandaeni kisaikolojia, Boris Johnson anarudi

    Putin alishangilia Sana baada ya Boris kujiuzulu ila sasa kabla ya fungate kuisha Borsi huyooo Anarudi kuwa PM.. Putin na Pro Russia wameanza kuziba vizibo. Update.. Mods futa Uzi Li Boris Limeshajitoa huko👇
Back
Top Bottom