Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao.
Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM.
Ni makao makuu...
Sitakujibu maana unauliza kwa kunijaribu
Kwa akili yako ya kawaida tu kulikuwa na uchaguzi 2020? Au unazungumzia uharamia wa Rafiki yako aliyetangulia mbele ya haki?
Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano tarehe 8 March ikiwa ni kilele Cha Siku ya Wanawake Duniani.
Macho na masikio ya Watanzania leo yanaelekezwa katika mji maarufu wa Moshi mkoani Kilimanjaro.
Chama kikuu Cha Chadema chenye wafuasi takribani Milioni 10 nchini kupitia Baraza lake la Wanawake...
Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano,
Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
Wapangwa kuzunguka mkoa nzima kutengeneza habari za kumsifu
Salam Wana Jamvi..
Wiki kadhaa toka ripoti kuhusu pembejeo feki zikiwa zinamwagwa Kama njugu huko Mtwara kuzima skendo hiyo na kuzuia madudu mengi zaidi yasiibuliwe hasa kuelekea msimu huu wa korosho..
Fedha zinamwagwa kwa waandishi...
Mtwara Municipal.
The Principle of Mtawanya FDC Development College known as Halfan Mshana has so far been accused of embezzling Government funds for the Mtawanya Project For Capacity Building to the students.
He has prepared a letter which he, himself has signed to approve Tsh. 20, 350,000...
Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20.
OCD asubuhi ya leo...
Katika Hali ya kushangaza Chama Cha ACT Wazalendo kupitia Makamo wa Rais Zanzibar kimefichua kupata mwaliko wa kuonana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri Samia Suluhu Hassan.Hayo yamefanyika huku Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi na wakuu wa Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.