Search results

  1. Nkanaga

    Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

    Umeongea taratibu na vema sana mkuu Petro E. Mselewa sidhani kama kuna mahali utakuta mjadala "serious" juu ya nani ni nani kati ya hawa. Sikumbuki hata wao kuleta hoja ili kumtweza mwingine, mara zote hushindana na kurekebishana kwa vifungu katika kada yao. Asante
  2. Nkanaga

    Tabora: Jeshi la polisi linawashikilia askari wake 10 kwa kusababisha kifo cha Selemani Jumapili

    Hii habari sijui kwa nini imefunikwa kiasi hiki. Naamini nguvu ya kutosha imetumika kuminya wana habari wasiiweke wazi. Huyu marehemu amepigwa na kuuwawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Nkanaga

    Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

    Hapana, me nimefundishwa na kuzingatia kutokupuuza kila kitu, huwezi jua[emoji1]
  4. Nkanaga

    Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

    Kwenye vi-message private
  5. Nkanaga

    Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

    Asante Jolie, usiache kunisoma kule chobingo [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. Nkanaga

    Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

    Lengo kuu likiwa mazoezi, ukishapita kwingi huko hupati shida na kuja kuuliza such questions Kama mleta Mada.
  7. Nkanaga

    Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

    Yes! Faida yake ni pale kazi nayo ilikuelewa, baadaye utatumia rasilimali kidogo mno, time, fiscal, physical etc Me huamini this is an art [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Nkanaga

    Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

    Hapana, hutokea tu nikikutana na vigezo vyangu, nitaweka juhudi na mara nyingi huwa ni hazina yangu, huwezi jua lini utahitaji hiyo kazi.
  9. Nkanaga

    Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

    Samahani, una umri gani? Hebu fanya mazoezi ya kutongoza mkuu, unaulizaje maswali haya JF? tongoza kila unapopata fursa, hata Kama hutopiga kazi, itakupa experience Sana. Sidhani Kama namaliza mwezi sijatongoza kazi mpya aisee, siku nikiamua hasa kupiga kazi, mara chache mno nahangaika
  10. Nkanaga

    Tuhuma za Musiba: Nchi wahisani sitisheni misaada kulazimisha uchunguzi wa tuhuma zilizotolewa dhidi yenu

    Musiba mwingine, CHADEMA inaingiaje hapa? Mbona mmeongezeka sana kipindi hiki?
  11. Nkanaga

    Mtwara: Mwalimu afariki ghafla baada ya kupewa barua ya kuhamishiwa shule ya msingi

    Mkuu upo sahihi, Nilitegemea hapa upendekeze au uje na suluhu! Lakini nawe umeendeleza "malalamiko tu" kupitia mlango mwingine.
  12. Nkanaga

    Rais na Mwenyekiti wangu Dr. Magufuli,Mungu anakuona!

    Mkuu Sexless bahati (mbaya au nzuri) muhula huu tuna mwenyekiti anayeongozwa na hisia zake zinamwambia nini, weather zinakera ama la! Akiambiwa (na hisia zake) nunua ndege, kesho anaagiza ndege kuulizana kutafuata Baadaye, akiambiwa (na hisia zake) mamichango yanakera wapiga kura, kesho anapiga...
  13. Nkanaga

    Rais na Mwenyekiti wangu Dr. Magufuli,Mungu anakuona!

    Kuna miaka hapo nyuma kidogo, kanda ya ziwa ilionekana kutengwa sana katika mgawanyo wa keki ya taifa. Kanda ya Ziwa ilioneka na ilikuwa nyuma sana katika nyanja zote, huduma za jamii zilikuwa ovyo sana! Afya, Elimu, huduma za maji, umeme, miundombinu pia ilikuwa ovyo mno! Nakumbuka mara...
  14. Nkanaga

    Serikali Mlichofanya kwa Walimu wa Sekondari si sahihi...

    Hapa mada sio ya Upadri, Uparoko, ni suala la Elimu, tena Elimu katika Taifa. Kuleta mifano ya Parokia ya Visiga ni kujichanganya sana mkuu!
  15. Nkanaga

    Serikali Mlichofanya kwa Walimu wa Sekondari si sahihi...

    Umeongea vema sana mkuu, kwa masikio yangu nikamsikia mkuu wa shule akisema, "afadhali, muda umefika sasa, siwezi kukaa na yule........., lazima aende zake!"
  16. Nkanaga

    Msaada:Nimekosa choo kwa muda siku tano nitumie dawa gani?

    Haya ni mafuta ya samaki eeh? Kweli kuna ndugu yangu aliandikiwa na daktari ametumia kwa wiki kadhaa matokeo ni mazuri sana.
  17. Nkanaga

    Serikali Mlichofanya kwa Walimu wa Sekondari si sahihi...

    Sad ni kwamba akili kama hizi ndizo tumekabidhi nchi, yaani watu wanaowaza kama wewe ndio wanaoongoza nchi. Typical! Mh mbunge wa Kigoma mjini aliwahi kusema tumekabidhi nchi kwa washamba! Yaani watu kama wewe! Hakuna mipango, watu wanalala, wanaamka, wanatoa matamko, wanafoka, wanakebehi...
  18. Nkanaga

    Wanaume mliooa tulieni na wake zenu

    Mkuu we unadhani hasira zote za nini?
  19. Nkanaga

    Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

    Kwenye kuaga mwili wa marehemu binti yetu juzi (apumzike salama) kuna kundi la vijana waliovalia Kaunda suti nyeusi waliojichanganya katika waombolezaji, walienda mbali zaidi na kuchukua jukumu la kunyang'anya mabango yaliyokuwa yamebebwa na baadhi ya wanafunzi! Kwa haraka kila mtu wa "kawaida"...
  20. Nkanaga

    DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

    Mkuu famicho ulete mrejesho hapa ili na mimi nichek reaction ya my wife wangu, tena uni-tag kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom