Search results

  1. B

    Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Ufahamu wako ungekua mkubwa ungejua pegylated inteferon inafanya nini. Na pia ungejua dawa nyingi ambazo zimeshawahi kutumika zenye clearance na seroconversion rates tofauti. Pia watu wengi wanaambukizwa kwa kujamiiana, ndio maana co-infection na HIV ni common, pia kupitia blood products na...
  2. B

    Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Mtoa mada unaupotosha umma wa watanzania. Si kweli kua watanzania wote wana virusi vya homa ya ini. Na hakuna duniani nchi ambayo wananchi wake wote wameathiriwa na hepatitis B virus.Hakuna survaillance iliyowahi kufanyika nchi nzimà, lakini kuna tafiti mbalimbali zimefanyika kuangalia ukubwa wa...
  3. B

    Kuna nini kati ya hazina na VODACOM?

    si kweli kua unatakiwa kulipia kwa mpesa pekee. utaratibu huo umeanza toka mwezi wa nane mwaka jana, na unaweza lipa kwa mpesa,tigopesa,airtelmoney na maxmalipo
  4. B

    Toyota allex inauzwa

    ndio nyie mnataka uraia wa nchi mbili wakati mna dharau mlikotoka kiasi hicho??? bara la giza???
  5. B

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha atoa tamko kali kuhusu Lowassa

    mzee alishindwa kuwashawishi wanachama wa jimboni kwake. leo anataka kuwashawishi watanzania wote!
  6. B

    Wadau Sicle Cell inaniangamizia mtoto wangu msaada wa haraka jaman

    upo mkoa gani? kama upo dar, mpeleke muhimbili. wana kitengo maalum cha kuhudumia matatizo hayo. kama upo mbali jaribu kutafuta hospitali yenye daktari bingwa wa watoto utaweza kupata msaada.pole sana.
  7. B

    Ushauri wa kisheria:nimeenda kuripoti wamenikataa wamenirudisha psrs

    wanatoa majibu rahisi hivyo? kweli huwa tunailaumu serikali kwa utendaji mbovu, lakini lawama hasa zilitakiwa ziende kwa wafanyakazi husika . baadhi ya wafanyakazi wa serikali (inaweza ikawa wengi wao) utendaji wao ni poor kabisa.utafikiri hawana qualification. wamejizoesha kufanya kazi bora...
  8. B

    Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    pole sana ndugu. kama mchangiaji alivyo comment hapo juu, ni vyema ungeongeza details kama gender ,age, elimu yako na ujuzi ulionao, why uko lonely? je huna ndugu au rafiki wa karibu? ushauri wangu kwa kuanzia unatakiwa ujitoe katika kifungo cha kisaikolojia . naona hata jina umejipa 'the need'...
  9. B

    Anaehitaji Nissan Xtail

    naomba urudie tena, sijakuelewa kabisa
  10. B

    Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    hujui unaloliongea, ungekaa kimya tu
  11. B

    Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    4. Eti sio vizuri kumuongelea mtu akiwa kafa - huyu aliyetoa hii nafkiri hata form 4 hakufika au kama alifika hakuelimika! Wewe kiongozi wako anakufa bila kuelezwa sababu unasema watu wasiulize. Hehehe. Kuna akili zingine hata pakuanzia kuform arguments nazo huoni. Kuna kitu tu hapa kwenye...
  12. B

    Re: Nyumba inapangishwa

    Tangazo lake liko very clear kua atakabidhiwa apartment yake, iliyopo ubungo nhc. kwa taarifa tu incase huna ufahamu huo, nhc waliuza apartment zao ambazo zilikua kwenye ujezi.kwa sasa ndio zinakamilika.Tujifunze kusoma vizuri tangazo kabla ya kuanza kushambulia mkifikiri mnaonesha ujuaji wenu...
  13. B

    Dr. Ulimboka is smart and good Now..

    Kadoda wewe umeshawahi kupigania haki yeyote? Ulifikia wapi katika mapambano yako? Usifikirie kua kudai haki ni kitu rahisi hivyo. Tusiwakatishe tamaa wapiganaji wakat wewe unakaa oficn unacomment tu watu wana risk maisha yao kwa ajili ya wengi. Hali ya afya Tz ni mbaya kuliko unavyoweza...
  14. B

    Hellen kijo bisimba...nakuheshimu lakini kwa hili nimekudharau.

    nafkiri ungechukua mda kufikiria vizuri kabla ya kuanza kulalamika. nini maana ya kwaya kwa jinsi unavyofahamu wewe? je kwaya hiyo inatangaza injili? si ajabu kwa taasisi yoyote kua na kwaya. ccm wanayo kwaya (TOT), vikosi vya jeshi navyo vina kwaya, shule za sekondari zina kwaya pia. zote hizo...
  15. B

    We Will Love & Protect Our Children From 2013 Until Eternity....

    Alafu najiuliza msafara wote wa walinzi wakati mtu mwenyewe kucha yuko misibani uchochoroni. Kweli ulinzi una kazi pale? afadhali angekua anajiachia tu mwenyewe. Kama watu wangekua na nia mbaya naye wangeshammaliza misibani, maana ameshajulikana type ipi ya misiba lazima atie timu so watu...
  16. B

    Haijapata kutokea: Idara ina mkurugenzi na mameneja bila wafanyakazi wengine

    hii inaweza ikawa part ya dissemination ya results
  17. B

    Ununuzi wa guitar- Naomba ushauri

    Naomba ushauri kwa wenye utaalam ni aina ipi ya acoustic guitar nzuri inapatikana madukani hapa dar na ni vitu gani vya muhimu kuangalia wakati wa kuchagua guitar.Mimi si mtaalam, just najifunza tu na ni kwa matumizi yangu binafsi ( sio kwa ajili ya public performance ) . thanks!
  18. B

    Ujenzi bora wa mabanda ya kufugia kuku wa kisasa na kienyeji

    Nilivyoelewa, hiyo ni standard ya kuku wote. lakini kwa wale wa kienyeji wana refer wale wanaofugiwa bandani tu, hawaachiwi wazurule
Back
Top Bottom