Search results

  1. wazagamba nkoko

    Upinzani wa kuiondoa CCM madarakani upo ndani ya wanaccm wenyewe siku wakitaka kufanya hivyo

    Kauli hii ilitamkwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, siku wanaccm wazalendo wakichoka dhulma dhidi ya wanaccm maslahi ndipo nchi hii itapona, kwa sasa tuendelee kunywa mchuzi nyama tutazikuta chini. Kuna kundi halilidhiki na mwenendo wa CCM ya sasa, wanaona miiko...
  2. wazagamba nkoko

    Watanzania tuwe makini, watu wameajiriwa kututoa kwenye uhalisia. Tubaki kuwajadili wao badala ya hali ya nchi yetu kwa yanayoendelea kwa sasa

    Hawa wanaojiita wapinzani, si wapinzani kiuhalisia, ni wachumia matumbo, kuna fungu wamepokea toka kwa wana-CCM majizi kuleta taharuki. Badala ya sisi wananchi kujikita kufuatilia mwenendo wa serikali katika kutimiza wajibu wake na kuibua madudu, tumeletewa waliomegewa tonge, kazi yao ni...
  3. wazagamba nkoko

    Wana CHADEMA na upinzani kwa ujumla Magufuli alionesha uhalisia wenu, nyie ni wachumia tumbo

    Nakumbuka wananchi waliwaamini sana,lakini hayati Magufuli alituthibitishia watanzania ya kwamba nchi yetu ina wapinzani maslahi na si wanasiasa wenye lengo la kuwasaidia wananchi. Hayati alianza kwa kasi kubwa mkasema anaiga ilani yenu, tukasema kama ni hivyo basi sawa unganeni nae tuivushe...
  4. wazagamba nkoko

    Alivyotajwa Mama Janet Magufuli na mwakilishi wake kusimama, yamepigwa makofi mengi sana, kunani?

    Niko hapa kushuhudia hili tukio la kujaza maji bwawa la Nyerere, katika yaliyojiri mojawapo ni hili tukio Njooni tubadilishane uzoefu ya makofi haya mengi japo waliosimangwa kwenye mkutano mkuu wa CCM uliopita kutojumuika kwenye hili tukio.
  5. wazagamba nkoko

    Haya maneno yamesemwa na hawa viongozi wetu yana ukweli?

    Kwa wale wanaoamini jumbe zao karibuni tudadavue na tuangalie kile awamu ya sita inakifanya,utofauti wake
  6. wazagamba nkoko

    Tukubali tukatae hayati Magufuli alijua kudili vyema na ngozi nyeusi

    Lula ilinyoosha mstari barabara,wezi wa mali ya umma hawakuwa na amani hata kidogo,wazembe,wavivu habari waliipata sawasawa, viongozi wababaishaji walipigwa grill vya kutosha Kiongozi wa sasa anageuzwa geauzwa kama chapati na vipanga. Hapa nilipo tupo giza,umeme umekatika toka asubuhi na mpaka...
  7. wazagamba nkoko

    Rais Samia kaa karibu na wanaousema ukweli hadharani, wanaokuimbia mapambio wanakupotosha na kuiibia Serikali

    Rais Samia ogopa sifa za wanasiasa,zimejaa unafiki wa hali ya juu sana,wengi wao wanatarajia teuzi,wengine ni wasiadizi wako wanashindwa kutimiza majukumu yao, wanajificha kwenye kichaka cha kukupamba wakati uhalisia si kweli. Fanyia kazi maoni ya wanaozodolewa kupitia watu makini utajua nani...
  8. wazagamba nkoko

    Mpaka sasa Bashiru Ally ndio kiongozi mwenye uthubutu, na CCM inajua

    Bashiru Ali kasema hadharani bila kupepesa macho wala haya kusema kinachofanyika kwa wakulima wadogowadogo si sahihi na kuna haja ya watawala kufanyia kazi mtazamo wake,sio kutumia nguvu kuzima hoja yake,tena kwa kumkejeri. Ni wachache nchi hii wenye uthubutu wa kuzungumza kama alivyofanya...
  9. wazagamba nkoko

    Rais Samia wakati anapongeza mabadiliko ya uongozi Tanesco alimaanisha hii hali tunayopitia kwa sasa?

    Nakumbuka Rais Samia alipongeza mabadiliko ya uongozi Tanesco kwa kuondolewa wana taaluma na kuingiza kundi la wafanyabiashara na watu wasio wajuzi wa kitengo,matokeo ndio haya,yanayoendelea ni aibu kubwa sana, Imekwisha fahamika lengo la kuondoa management ya wabobezi wa fani ilikuwa ni...
  10. wazagamba nkoko

    Natafuta usukuni wa gari ndogo muundo wa Airbag

    Kwa yoyote yule anejua sehemu naweza pata usukani wa gari ndogo muundo wa Airbag uwe mpya au used, kuna chuma nimenunua wakora walipora usukani.
  11. wazagamba nkoko

    Wale tuliosema mama anaupiga mwingi , uzi wenu huu jitokezeni

    Uongozi si lelemama,hasa kwa yule anaetaka kupendwa na kila mtu. poleni,wamachinga,mama ntilie,wafanyakazi wa umma,mambo bado,rais anategemea baadhi ya washauri wahuni kutatua kelo za wananchi
  12. wazagamba nkoko

    Rais Samia unatafuta pesa nje ya nchi sawa, jaribu kutulia kidogo nyumbani ufuatilie kwa umakini matumizi ya hizo pesa

    Sina shaka na dhamira yako njema ya kutafuta pesa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Lakini ndugu Rais hebu punguza safari za nje kidogo ukae ofisini kufuatilia matumizi ya hizo fedha ,umekopa pesa nyingi sana ndani ya muda mfupi ,sasa tulia ufuatilie matumizi yake kama zinatumika kwa...
  13. wazagamba nkoko

    TISS lindeni nchi yetu, kama mnalinda viongozi basi Taifa linaangamia

    Hii taasisi ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi na usalama wake kwa ujumla Taasisi hii ikiwekwa mfukoni na watawala wanaokiuka viapo vyao, wakishirikiana na wafanyabiashara wasio waaminifu, raia wa chini ndio wanaoangamia, na raia itafikia muda watachoka, wakichoka ni machafuko tu. Nchi...
  14. wazagamba nkoko

    Rais Samia, tuambie Watanzania ni nani waliokushinikiza kuwaweka ndani ya Baraza la Mawaziri - Nape, January na Ridhiwan?

    Nikwambie tu, hautafanikisha lolote katika utendaji wa hawa vijana ,uwezo wao kiuongozi na kiutawala ni too low sana ,wanatembelea nyota za wazazi wao, Kitendo cha kumtoa Palamagamba,Lukuvi ,na msomi makini Kitila Mkumbo ni uoga wa kupandikiziwa . Angalia wizara ya nishati inavyochezewa kwa...
  15. wazagamba nkoko

    CCM ni chama cha ukoo wa watu fulani, kama si mwanaukoo usijichanganye

    Ile dhana ya ccm ni chama cha wakulima na wafanyakazi ,na ya kwamba ni taasisi ruksa kwa mtanzania yoyote kujiunga na kugombea nafasi ya uongozi imetoweka na Nyerere. Ili taka kurudi kwa hayati Magufuli kwa sasa imeshindikana. Lazima ufahamike na huo ukoo ,kadhalika nguvu zako kiuchumi ndio...
  16. wazagamba nkoko

    Rais Samia uwe mkweli, badiliko hili la mawaziri lililenga kuondoa wanaojipanga kwa Urais 2025?

    Hivi ni kweli badiliko hili la Mawaziri lililenga kuondoa wanaojipanga kwa urais 2025? Unawaonyesha Watanzania ya kwamba Kitila Mkumbo na Waitara ndio waliokuwa wanautaka urais? Ukweli ni kwamba ulilenga kuwaingiza watoto wa wanaccm waandamizi ambao wana influences kwenye utawala wako . Huko...
  17. wazagamba nkoko

    Kwa huu mfumuko wa bei ya bidhaa karibu zote nchini Serikali inapaswa kujiuzulu haraka sana

    Kila kitu holela, bidhaa aina zote bei juu na ni ndani ya muda mchache sana, serikali imeshindwa kazi, ijiuzulu. Mwaka jana pamoja na kovidi kutisha kwa kiwango cha hali ya juu hatukuwa na mfumuko wa bei kiwango cha sasa. Inaonekana Serikali tayari mikononi mwa walanguzi
  18. wazagamba nkoko

    #COVID19 Ugumu wa zoezi la kuchanja unatokana na unafiki wa viongozi wenyewe na halitafanikiwa

    Zoezi la chanjo limekosa mwitikio kutokana na viongozi wanaolisimamia na kulipigia kampeni zoezi hilo kuonekana ni wanafiki wasio kuwa na misimamo,na hii ni kuanzia kwa Rais Samia mwenyewe. Kauli walzozitoa kabla ya hayati Magufuli kufariki na walizozitoa baada ya hayati Magufuli kufariki ni...
  19. wazagamba nkoko

    Bandari ya Bagamoyo ikijengwa itahujumu bandari ya Dar na Tanga

    Kama ilivyo ada ,mchina haaminiki kabisa ,mfano ni nchi jirani ya Zambia yaliyotokea wote mnafahamu. Hisia zangu zinaniambia kwa kuwa mradi huo ni mkubwa sana eneo hilo, na unagharimu pesa nyingi sana, katika namna ya kulipa hilo deni kuna hatari ya kuhakikisha bandari zetu za Dar na ya Tanga...
Back
Top Bottom