Search results

  1. wazagamba nkoko

    Kikwete alikuja Baraka Obama, Mama Samia kaja Kamala, Magufuli?

    Sasa mimi mambo ya TZ ya nini?
  2. wazagamba nkoko

    Kwanini Rais Samia asiitake Wizara za Mambo ya Nje na Ndani zihakikishe zinamrejesha aliyekopa Mabilioni?

    Hii nchi dawa yake ni mapinduzi baridi tu,kisha tufyeke kimyakimya hiki kizazi cha mafisadi pengine taifa litapona
  3. wazagamba nkoko

    Kikwete alikuja Baraka Obama, Mama Samia kaja Kamala, Magufuli?

    Naishi Russia misaada ya nini toka USA?
  4. wazagamba nkoko

    Ujio wa Makamu wa Rais wa Warekani sio bahati mbaya

    Nini nchi ilifanikiwa ujio wa hao washenzi?,vyandarua? Tumieni akili kidogo mungu aliyowazawadia kupambanua mambo, Ndani ya muda mchache rais hayati Magufuli amefanya Makubwa bila ziara za hao LBGTQ
  5. wazagamba nkoko

    Rais, Fukuza Washauri Wanaofanya Vetting

    Sasa ndio mtajua kwanini hayati Magufuli mnasema alikuwa katiri, Ngoja nchi irudi zile zama za unanijua mimi ni nani?
  6. wazagamba nkoko

    Kikwete alikuja Baraka Obama, Mama Samia kaja Kamala, Magufuli?

    Ugeni wa Bush na Obama ni vyandarua tu
  7. wazagamba nkoko

    Kikwete alikuja Baraka Obama, Mama Samia kaja Kamala, Magufuli?

    Hao kina Obama na Kamala ni mashetani ya hii dunia,subiri misaada ya mashariti ya kupanduana Tigo
  8. wazagamba nkoko

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Leo umeonyesha kuchukizwa na watendaji wako,lakini bila hatua madhubuti za kuchukua utaishia kulalama na kuvuna mabua tu. Watanzania ukiwabembeleza ndio umeharibu kabisaa. Ngoja tuone mwisho wa hii segere
  9. wazagamba nkoko

    DRC: Mama Janeth Magufuli atunukiwa tuzo ya heshima ya M.T. Kasalu

    Haters wa Magufuli waina kiniga che hatari!!
Back
Top Bottom