Search results

  1. C

    LUKUVI:Watanzania wajilaumu wenyewe kwa kutupeleka CCM wengi Bungeni!

    Lukuvi amewatolea uvuvi watanzania kwa kuwaambia wajilaumu wenyewe kwa kuipa CCM uwakilishi mkubwa bungeni, kwahiyo wakubaliane na matokeo ya maamuzi yao! Asante Lukuvi kwakuwa mkweli!
  2. C

    Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

    Mtuhumiwa Mashuhuri wa Richmond ataongea muda si mrefu bungeni, kumbukeni hii itakuwa ni Mara ya pili kuongea bungeni toka achaguliwe 2010!
  3. C

    Mbatia: CCM ndo wanataka nchi isitawalike.. Ataelewa tu ubaya wa CCM hatimaye.

    Kuhusu sakata la jana Bungeni Mbatia akiwa kwenye press conference ya kambi ya Upinzani amesema CCM ndo wataokaofanya nchi isitawalike, CCM siyo ALPHA and OMEGA wa watanzania.. Mbatia ulipaswa kujua hili siku nyingi, msiendelee kuipamCCM kiburi, nyie ndo mnafanya siasa za nchi ziharibiwe na...
  4. C

    Salamu kwa Juma Nkamia: Uchaguzi wa Serikali ya Kijiji CCM yapigwa mweleka na CHADEMA

    Salamu kwa JUMA NKAMIA: Uchaguzi wa serikali ya Kijiji Cha MLONGIA Kata ya JANGALO, jimbo la Kondoa kusini wilaya moya Chemba umemalizika jana na matokeo yake kutangazwa leo ambapo CHADEMA imeibuka na Ushindi wa Kishindo kama ifuatavyo CHADEMA 184, CCM 96 na CUF 9. Hii iwe ni somo kwa Juma...
  5. C

    Hii Kamati ya Vijana wapenda Amani inafadhiliwa na nani?

    Nimewasikia kwenye ITV na Wamepewa promo kubwa na Gazeti la Jambo Leo! Mtazamo wangu ni kuwa watanzania tuwe makini na makundi mbalimbali yanayojitokeza kwasasa na kutoa matamko ya kuwaunga mkono watu flani au kuwapinga wengine, tunapoelekea 2015 tutaona mengi na kusikia mengi ila tuwe makini...
  6. C

    Tumejiandaa na uchimbaji wa madini ya Uranium au tunadandia treni kwa mbele?

    Health hazards posed by uranium mining All Uranium mined end up as either nuclear weapons or highly radioactive waste from nuclear reactors. Uranium is a naturally occurring radioactive toxic element, found in the ground worldwide, including Tanzania, soon to be mined! Countries with active...
  7. C

    PICHA: Kada wa CHADEMA, Amos ajeruhiwa vibaya kwa Shoka na GREENGUARD wa CCM Arusha

    Ni siasa chafu na zisizovumilika, na ni dalili za CCM kushindwa kufanya kampeni majukwaani kwa sera sasa wanawashambulia wafuasi wa CHADEMA na kuwajeruhi kwa lengo la kuwapotezea uhai wao. Tumetoka hosital i ya Mount Meru kumuona tukiwa na Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema.
  8. C

    Bungeni: Obama na Serikali yake anajua safari yake Tanzania inatumiwa Kisiasa na Viongozi wa CCM?

    Mbunge wa CCM amajitapa Kabisa kuwa ujio wa Obama ni kutoka na kukubalika kwa CCM, na hivyo wapinzani wanadhani mwaka 2015 watachukua dola wasahau. My Take: Hivi Obama naye ni mpiga kura wa Tanzania? Ataisaidiaje CCM ambayo wananchi wataikataa?
  9. C

    Natafuta Printers wa Vitabu

    Wenye Makampuni ya Kuprint vitabu nitafuteni kupitia e-mail: mathew_p_2002@yahoo.com. Nina vitabu vingi vya kuprint lakini natafute mtu mwenye bei nzuri na quality, atakayetuma competitive proforma huyo nitam-consider. Haya Kazi kwenu.
  10. C

    Nataka Kuanzisha Radioinayoshika angalao mkoa mmoja naomba mnisaidie Gharama na Mahitaji mengine!

    Habari wana JF Jukwaa la Biashara, Nina maona ya kumiliki radio yangu na vyombo vingine vya habari ili niwapatie watanzania habari zisizochunjwa hadi kupitiliza, kwa kuanza nahitaji kuwa na Local radio Mjini Dodoma, nahitaji kujua nitahitaji mtaji kiasi ghani na mahitaji mengine hadi radion iwe...
  11. C

    J Makamba, DC Lushoto wamlazimisha Mwenyekiti Mteule CHADEMA Kwakitui Kujiuzulu!

    Katika hali ya kustaajabisha, taarifa za Bumbuli jioni hii zinathibitisha kuwa Mbunge wa Bumbuli January Makamba amekimbia Bungeni na kwenda Jimboni kwake kumshurutisha Mwenyekiti wa CHADEMA kijiji cha Kwakitui ambae amechaguliwa hivi karibuni ajiuzulu nafasi hiyo kilazima bila ridhaa yake...
  12. C

    Madiwani wateule wa CHADEMA ARUSHA waanza kurudisha fomu huyu ni Kata ya Kimandolu!

    Tunarudisha fomu kwa pamoja kila kata, tumeshamaliza kimandolu tunaenda kata ya temi!
  13. C

    CHADEMA ARUSHA: Mkutano Mkubwa wa Hadhara Kesho Tarehe 2 viwanja vya Ngarenaro

    Wananchi wa Arusha na Viunga vyake mnakaribishwa kwenye mkutano wa Hadhara utakaofanyika viwanja vya Ngarenaro Shule ya Msingi kesho tarehe 2 kuanzia saa nane mchana. Mambo mbalimbali yatajadiliwa likiwa la UJANGILI wa CHAMA CHA MAJANGILI-CCM! Mh. Godbless Lema atakuwepo kuelezea Hujuma za Mkuu...
  14. C

    Uchaguzi wa Madiwani Arusha mjini kata ya Kaloleni: Makada wa CCM watimuliwa

    Kukiwa bado tume haijatangaza kuanza kwa kampeni za uchaguzi wa madiwani, Makada wa CCM ambao ni wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wakisindikizwa na Meya wamejikuta kwenye wakati mgumu walipowekwa kati na wananchi wa Kata ya Kaloleni kwa kuwataka waondoke...
  15. C

    Dr. Kigwangalla: Serikali ina mambo ya Kipuuzi, viongozi wapuuzi!

    Huku akiwa anajaribu kuisema vibaya CHADEMA, na akiwa haeleweki hata na wabunge wa CCM, amejikuta akiituhumu serikali ya CCM kuwa ya kipuuzi kwakuwa hawaishughulikii CHADEMA ipasavyo, yeye ameahidi ataishughulikia CHADEMA jimboni kwake kwa kuhamasisha wananchi wawafanyie vurugu viongozi wa...
  16. C

    Mwigulu Nchemba arudishiwa kadi za CCM mgogoro wa LOLIONDO!

    Habari nilizozipata toka Loliondo alikoenda Mwingulu Nchemba Kusuluhisha mgogoro wa ardhi umefikia pabaya baada ya kurudishiwa kadi za CCM baada ya wananchi hao kukataa kukubaliana nae katika usuluhishi anaoufanya. Chanzo cha habari hii ambacho kilikuwepo eneo la tukio kimesema tufuatilie vyomba...
  17. C

    Baada ya Kinana kushindwa kudhibiti kasi ya CHADEMA, Kikwete aliangukia Jeshi la Polisi tena!

    Rais Kikwete amelirudia na kuliangukia Jeshi la polisi na kuomba msaada katika kuithibiti jeshi la police, tofauti na kauli aliyoitoa miezi michache iliyopita kwa viongozi na wafuasi wa CCM! Soma habari kamili HARAKATI za kuwaunganisha Watanzania kupitia kampeni ya Vuguvugu la Mabadiliko...
  18. C

    Mbunge wa Arusha Mjini Lema-CHADEMA amekabidhiwa Kiwanja cha kujenga hospitali ya Mama na Mtoto

    CHADEMA ikiongozwa na kamanda Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa wamekabidhiwa kiwanja cha ekari 3 cha kujenga hospitali ya Mama na Mtoto. Hii ni utekelezaji wa ahadi aliyowa kuwaahidi wananchi wa Arusha katika uchaguzi wa 2010. Kiwanja hicho chenye thamani ya...
  19. C

    Chadema yajipanga kimajimbo kuchukua dola!

    Chadema imezidi kudhihirisha kuwa ni chama makini chenye sera mujarabu kwa maendeleo ya nchi yetu! Sasa yaazimia kujipanga kimajimbo kuchukua dola! Yaazimia kupeleka nguvu ya kujenga chama kwenye majimbo kumi ya nchi yetu! Watanzania tulipofikia CHADEMA tunaihitaji kama maji ya kunywa!
  20. C

    Joshua Nassari awasha moto Arumeru Magharibi M4C!

    Mh. Joshua Nassari alihutubia mkutano wa M4C jimbo la Arumeru Magharibi siku ya jumamosi akishirikiana na viongozi wa chama wa Arumeru Magharibi, Mh. Gibson na makamanda wengine kutoka Arusha mjini.
Back
Top Bottom