Search results

  1. C

    Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

    Ameamua kuwa kibaka wa kisiasa! Utauwawa kwa kuchomwa na tairi la kisiasa!
  2. C

    CHADEMA yakodi vijana kumshangilia Dr Slaa

    Lete Ushahidi wa Malori yaliyokodiwa..
  3. C

    Dkt. Slaa ziarani: Mikutano ya Desemba 5, Kakonko, Kigoma

    Viongozi wa CCM ndo huwa wanaogopa mabango ya wanaowapinga...
  4. C

    Dkt. Slaa ziarani: Mikutano ya Desemba 5, Kakonko, Kigoma

    Hao vijana wamekubwa na aibu ya kufunga mwaka.. hahahahaaa
  5. C

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Acha unafiki, Mbona nchi imeyumba na CCM iko Madarakani!
  6. C

    Zitto Kabwe ndani ya Makutano Show: Adai Urais, mabilioni ya Uswisi vinammaliza

    ZZK hawezi kwenda CCM utakuwa ndo mwisho wake kisiasa kama Walid Kaburu! Akienda pale atakuwa anapewa Amri na Mwigulu Nchemba! hahahahaaaaaa
  7. C

    Zitto Kabwe ndani ya Makutano Show: Adai Urais, mabilioni ya Uswisi vinammaliza

    Zitto ajiepushe na vyombo vya habari kwa kipindi hiki na ajiepushe na kujadili maamuzi ya CC ya Chadema.. Otherwise tutatilia shaka kabisa dhamira yake aliyotangaza kuwa atafuata itifaki za chama zote kulimaliza jambo lake! Aache kutafuta huruma kwa wananchi atafute huruma CC maana ndo...
  8. C

    CHASO,Tanga wakana Uasi: Waunga mkono Zitto kutimuliwa CHADEMA

    Kwahiyo ulitaka Ratiba iarishwe kwasababu Kavuliwa Uongozi wake! Ratiba lazima zienelee kama kawaida!
  9. C

    CHASO,Tanga wakana Uasi: Waunga mkono Zitto kutimuliwa CHADEMA

    Lini mtateuliwa Mwenyekiti wenu wa CCM? Maana huwa hachagui kabisa!
  10. C

    Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Watanzania bado mna safari ndefu kufikia uhuru wa kisiasa, wengi fikra zenu ni mateka wa CCM! Mtatawaliwa sana na akina Majangili, Mafisadi na Mauza unga.. Grow up Rutashubanyuma
  11. C

    Katibu wa CHASO UDOM na wenzake 92 warudisha kadi za CHADEMA, wajiunga CCM

    CCM if wishes were horses begers coould ride.... keep on dreaming... Hakuna vijana wajinga labda ndugu zake Zitto wa kule Mwandiga Kigoma!
  12. C

    CCM yaupoteza upinzani Tunduma

    Ni Green Gaurd Viroba ndo nguvu yao!
  13. C

    CCM yaupoteza upinzani Tunduma

    Umeme wa Mgao mnauza Tshs 860 kwa unit hiyo hadhi imerejea wapi? Kufanya matamasha ya Muzic wa Kizazi Kipya ndo kurejesha hadhi ya CCM! Aibu aibu aibu!
  14. C

    CCM yaupoteza upinzani Tunduma

    malory+ubwbwa+muzic wa kizazi/bongoflava/platnums=ccm ccm-malory-ubwabwa-muzic wa kizazi kipy/bongoflava/platinums=0/aibu
  15. C

    Katiba ya CCM hairuhusu Mwanachama kugombea uenyejiti wa Taifa

    @VUTANIKUVUTE mzee tupa tupa wa Lumumba njoo usaidie wezako wamekuwa kimya wamevuliwa nguo hadharani.. hahahaaaa
  16. C

    Katiba ya CCM hairuhusu Mwanachama kugombea uenyejiti wa Taifa

    Wanalumumba wafuatao njoni mtueleze kwanini hamtakaa muone form ya kugombea uenyekiti wa CCM Mwigulu Nchemba, Ritz, Simiyu Yetu, ZeMarcopolo, HAMY-D njooni mtueleze kwanini huwa mnapiga kura za ndio na hapana za uenyekiti wa taifa? CCM nyie ndo madictator wa kutupwa na wanafiki wa kutupwa.
  17. C

    Katiba ya CCM hairuhusu Mwanachama kugombea uenyejiti wa Taifa

    Wameukimbia huu uzi.. miCCM huwa inakurupuka na chadema tu haitaki kujua hata katiba yao ikoje!
Back
Top Bottom