Search results

  1. Mzalendo wa ukweli

    Kwao hawanitaki kisa mkurya.

    Ndugu yangu Molembe nadhani ungetafuta mkurya mwenzio tu uone na uachane na huyo mnyalukolo
  2. Mzalendo wa ukweli

    Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Hivi kofia ni kifaa au sehem ya vazi?? Kofia hapa inahusikaje na uvamizi au nayo ni silaha?????
  3. Mzalendo wa ukweli

    Inawezekana kweli mapacha wasiofanana wakazaliwa na baba wawili tofauti?

    Ngoja nikaitatute hiyo kitu mkuu watu8 ntarudi later on!!
  4. Mzalendo wa ukweli

    Inawezekana kweli mapacha wasiofanana wakazaliwa na baba wawili tofauti?

    Mapacha wako wa aina 2 ambazo ni Identical Twins/wanaofanana kwa kila kitu yaani jinsia,rangi,urefu/ufupi etc na wengine ni Fraternal Twins/wasiofanana kwa kila kitu mfano mmoja anaweza kuwa mvulana na mwenzake akawa msichana au jinsia moja wote lakini huwa hawafanani hata kidogo. Kupatikana kwa...
  5. Mzalendo wa ukweli

    Wanaume wenye sura hii kwa kupenda WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA hawajambo…!

    Mmhhh mbona sura kama ya kwangu hii??? Mtambuzi nitake radhi kwa kuweka rehani mahusiano yangu na mpenzi wangu coz amejua udhaifu wangu...
  6. Mzalendo wa ukweli

    Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

    Tafuta wanaume wachafu wachafu kama mimi uone shughuli yake
  7. Mzalendo wa ukweli

    waifu ananikaba...!!!!

    Inaonekana huaminiki kwa mkeo, jitahidi ufanye juu chini uaminike tu kijana. Mimi mwenzio nina miaka 25 sasa ktk ndoa na sijawahi pata tatizo kama hilo la kukabwa kiasi hicho!!!
  8. Mzalendo wa ukweli

    Wanawake wengi ni bandia...

    Ha ha haaaaa.....pole ndugu yangu nahisi umetendwa na hawa viumbe.. Let it go bhana,fanya mambo yako ya muhim maisha yanaendelea. Omba Mungu akujalie kumpata Super woman na sio hao bandia!!
  9. Mzalendo wa ukweli

    Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

    Mmmhhh, hivi hiyo nyama inayowekwa ktk PAPUCHI ya mwanamke kwa siku 7 haiaribiki/kuoza??? Naomba majibu tafadhali!!
  10. Mzalendo wa ukweli

    Wanawake wengi ni bandia...

    Kwani wamekufanyaje the choosen???? Hebu tiririka kwanza!!
  11. Mzalendo wa ukweli

    Ni sahihi ninachokifikiria??

    Wakora waitu Kokubanza, age is nothing bhana its just numbers. True love haitegemei na age. Binafsi sioni tatizo la nyie kulingana umri as long as mnapendana. What matters most ni do you really love him na yeye anakulove sameway???
  12. Mzalendo wa ukweli

    Utafiti: Women With Big Butts Are Smarter And Healthier

    Inshallah nashkuru Mola kwa kuwa mpenzi wangu kajazia ""neema za Allah'' za kutosha, she is smart and healty kwa kweli!! Theory Proved
  13. Mzalendo wa ukweli

    Kama ni wewe unafanyaje

    You just have to move with the rhythm beat!!
  14. Mzalendo wa ukweli

    Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    BRN ni politics at work, tunahangaika na kuwafaulisha kizembe wanafunzi bila kuboresha mitala ya elimu kwanza, mazingira ya kielimu bado mabovu, shule nyingi hazina nyenzo muhim kama maabara etc , shule hazina madawati, watoto wanakaa chini darasani, mazingira ya kazi kwa walimu ni mabovu...
  15. Mzalendo wa ukweli

    Utabiri wa England premier league jumamosi

    Utabiri haunaga au ndugu mtabiri
  16. Mzalendo wa ukweli

    Kwanini sintaruhusu kaka yangu ahudhurie harusi yangu?

    Mpeleke afanyiwe maombi si bure yawezekana ana mapepo kadhaa
  17. Mzalendo wa ukweli

    wanaume na mipira yaooo!!!

    Duh Deborita pole sana.....akiendelea kuzingua zingua mimi itabidi niwe spare tyre kuokoa jahazi ili maisha yaende
  18. Mzalendo wa ukweli

    wanaume na mipira yaooo!!!

    Yani kunyimwa siku moja ndo ulalamike hivyo Deborita's???
  19. Mzalendo wa ukweli

    Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Sidhani kama ulitakiwa ukasirike pamoja na ndugu zako eti kisa ndugu zenu wawili wamezuiwa mlangoni kwa sababu walizidi idadi mliyopangiwa na upande wa mwenzako.Hii inaonyesha nyinyi mlikosa ustaarabu kwa kuja wengi kuliko budget ya wakwe zenu.Ndoa yahitaji uvumilivu wa hali ya juu dada...
Back
Top Bottom