Search results

  1. Dolphin

    Songwe: Aliyehitimu Kidato cha nne anywa sumu kwa kupata ufaulu wa daraja la nne

    Acha kuandika utumbo..... Kwani ukimaliza form six na miaka 20 inachukua miaka mingapi kuanza chuo?! Si ni miezi michache tu..... Mimi nilianza chuo nikiwa na miaka 20 na form six nilimaliza nikiwa na miaka hiyo hiyo 20. Nilimaliza form six mwezi wa 5 kama sijakosea maana ni miaka mingi imepita...
  2. Dolphin

    Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

    Kudharau degree kisa wewe huna huo nao ni ujinga uliopitiliza..... huwezi kuwa na akili timamu af uulize eti "WHAT IS DEGREE"...... Ukitaka kujua what is degree nenda kasome Chuo Kikuu af ukikutana na test za kutosha kila weekend, UE, Sup, na kuona wanaodisco. ndo akili itakukaa sawa utajua what...
  3. Dolphin

    Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

    Yaani wanawake muda wote mnakuwa na akili za ajabu ajabu tu.... sasa mmeshindwa kusutana huko mnakuja hadi mitandaoni kusutana
  4. Dolphin

    Inauma sana: Mke wa jirani yangu anachepuka

    Hapana, UMELAANIWA WEWE na watetea dhambi wenzako. Na msipobadilika moto wa Jehanamu unawangoja.
  5. Dolphin

    Inauma sana: Mke wa jirani yangu anachepuka

    Ungekuwa umesoma kwa umakini ungeona kaandika something like.... "wakaanza maongezi......"
  6. Dolphin

    Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    haahahahaha......... hata mimi!!!
  7. Dolphin

    Namna ya ku'jailbreak na ku unlock' iphone 2g 8gb.

    ulishaipatia ufumbuzi au bado!? Kuna ths new modified ipsw ambayo itakupa access to new features ambazo zipo kwenye iOS 5.0+ ambazo ww kama unatumia 2G au 3G huwezi kuzipata ktk ipsw 3.1.3/4.3.3 like background wallpaper, multitasking, iBooks pamoja na installation ya application zinazohitaji...
Back
Top Bottom