Search results

  1. B

    Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

    Kwa kuanzia unaweza kujenga mabanda ya uweani ya uhakika na ni modern 3 room kitchen one living room na ukipata pesa zaidi utaanza nyumba kubwa kwani bora uwe na kitu kidogo cha uhakika kuliko kuwa na kitu kikubwa ambacho hakijakamilika , wakati huohuo ukatumia kiwanja chako cha mbele...
  2. B

    Tanzania Tycoons List...

    Unapoanzisha mada uwe na data za ukweli hapa umechemsha sana fanya utafiti kabala hujaandika pumba
  3. B

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    sidhani kwanba hizo data zako ziko sawa , na kushangaza hiyo TIB unasema ni 5%, tanzania hakuna benki itakayokupa chini ya riba asilimia 10 na hii ukikopa kwa USD , kwa Tsh mkopo unakwenda kwa riba ya aslimia 14 , CRDB, NMB , EXIM , NBC
  4. B

    Nina mchongo wa hela...Ukifanywa vizuri pesa ni ya uhakika !!!!

    usujaribu biashara haramu yoyote kwenye maisha yako pingu na mtaji utakufa wote, chukuwa jembe ukalime mjomba
  5. B

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    huu ni ujinga mtupu na kweli nadhani kuna umuhimu tuandamane siku moja tuanzie mnara wa uhuru hadi ofiis wa bunge ya dar na tupeleke malalamiko yetu kwmab baada ya uchaguzi wa 2015 wasichaguliwe tena hawa wabunge wa viti vya upendeleo , hili jina la UPENDELEO tuu linajieleza ,
  6. B

    Makamu wa rais wa Tanzania ni mtaalamu wa nuclear

    sina pingamizi na elimu yake kuwa mwana sayansi wa nuklia , darasani watu husoma 1+1>2 lakini ukishatoka darasani unatakiwa uifanye 1+1 > 3 kama ulisoma kwa kupata cheti hii test ya nje ya darasa wala hutakuwa na umuhimu nao . hili ndiyo tatizo kubwa la wasomi wa Tanzania...
  7. B

    Punguzo kubwa la bei ya matrekta

    matrekta yamepunguzwa bei sio kama suma jkt watapata hasara ni serikali ndiyo imetowa amri hiyo na serikali itawapa pesa suma jkt za kuongezea kuna msamaha wa kodi zote kwenye matrekta haya , hii njia moja inayofanywa na serikali katika kumwezesha mkulima kulima zaidi , kama mbolea...
  8. B

    Budget Holding sJapan- hawataki kunirudishia hela yangu

    WASILIANA NA MIMI NIKUSAIDIE MIMI NILIZULUMIWA GARI YA USD 20,000 NILIKWENDA FOREIGN HAKUNA KITU WALINIAMBIA NIFUNGUE KESI KWENYE MAHAKAMA YA KIBIASHARA , NILIPANDA NDEGE NIKAENDA HADI NYUMBANI KWA OWNER NIKAMTEKA NYARA MKEWE HADI POLISI WALIPOKUJA , BOSI ALITITOWA GARI NA KULIPA HOTEL...
  9. B

    Nimrod Mkono: Atumia BILIONI 90 kujenga shule 7

    vijisenti aliweka pesa zake uk one million pound zikiendeleza uchumi wa wazungu wakati wamatumbi wanakoeshwa kwa riba yaaslimia 16 , alichofanya mkono ni uzalendo hata pesa iwe imetoka wapi , iliwasaidia wazalendo , VIJISENTI & CO , MAPESA YAO WAMEIBA NA WANHONGA KWENYE CHAGUZI TUU,
  10. B

    Makamu wa rais wa Tanzania ni mtaalamu wa nuclear

    ninauhakika na utaalamu wake amesome na kufuzu kwenye sekta hii ya nuklia zaidi miaka 15 iliyopita , LAKINI WATAALAMU KAMA HAWA TUNAO WENGI KWENYE NCHI YETU AMBAO HAWANA MANUFAA YOYOTE ZAIDI YA KUTUNDIKA VYETI VYAO UKUTANI NA KUONESHA PICHA ZAO ZA GRADUATION !!!!! tangu alipomaliza...
  11. B

    Punguzo kubwa la bei ya matrekta

    Hizi tractor ni nzuri n a bei ni powa sana , mimi huzikodi kutoka kwa watu , hivi sasa 2 ziko kazini kwamiezi 2 na nitamlipa kila mwezi sh 3million diezel kwangu chakula kwangu , service na dereva kwako lakini iwe ya 4 wheel drive , kwa bei hii nitakwenda kununua 2,.
  12. B

    Nimrod Mkono: Atumia BILIONI 90 kujenga shule 7

    wabongo muache madongo huyu ni mzalendo halisi anayehitajia kutunukiwa nishani ya kujitolea kwa taifa letu huyu ni mbunge pekee Tanzania aliyweza kuchangia maendeleo ya jimbo lake kwa pesa zake , WABONGO MTU AKITOWA KWENYE JAMII LAZIMA MHOJI NA KUMBANDIKA VYEO VICHAFU ,JIULIZENI...
  13. B

    Huyu ndiye Maalim Seif ninayemjua

    nimefanya kazi karibu sana na maalim seif hamadi rashid nadhani hamad rashid hajisikii vizuri ndani ya chama kwa vile hajawekwa mbele kama jusa ismail na , hakutafakari pale aliposimama mbele ya jukwa na kumkashifu maali seif , kama maalim seif alikuwa anazorotesha chama hamadi...
  14. B

    Wachina 150 katika mradi wa barabara ya km 65 je wote hawa ni wataalamu au ni siasa?

    TUWAFUNGE DADA ZETU GAVANA ??? wacha wabongo wachanganye damu labda tutapata wabunge wenye akili ya maendeleo kama china
  15. B

    Wachina 150 katika mradi wa barabara ya km 65 je wote hawa ni wataalamu au ni siasa?

    AMKENI WA BONGO NA MUANZE KUFANYA KAZI SIO BLA BLA , NI HAKI YAO WACHINA KULETA HAO WATU ,engineer wa kichina analala ndani ya container camp mshahara wake ni usd 500 mbongo anataka million plus GARI na weekend hayupo porini , wameshaajiri wabongo wamechoka ukiona hivyo , hivi kwanini...
  16. B

    Natafuta Used Stone crusher yenye uwezo wa tani 5 mpaka 10

    bajeti yako kiasi gani tuma specification zako na size ya out put product . nataka uelewe hizi sio machine za chini ya sh 50 million kama huna hiyo pesa usijisumbue kuwekeza kwenye sector hii
  17. B

    Re: Light duty construction equipments - Kutoka Japan

    nipe list ya vifaa vyote na brand gani nitakupatia detail na bei
  18. B

    Wanaofaa kuwania urais 2015 kwa ticket ya CCM hawa hapa

    Karume anakuja kuwa rais
  19. B

    Nisaidie ukiweza

    jielezee kwanini ukopeshwe ??? nahiyo pesa unaitaka kufanyia shughuli gani , na itakupa faida gani hizi ni procedure za kipesa unapotaka pesa popote lazima uzujibu LABDA KUNA MTU ANAWEZA KUKUSAIDIA , WASWAHILI WASEMA UKIFICHA U... HUZAI
  20. B

    Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

    samahani kama ni tawakwaza ndugu zangu , chonde chonde .> BIASHARA MSILIHARIBU bongo kila mtu ni mfanyabiashara hata muuza mchicha ukimuuliza anakuambia ni mfanya biashara , mchuuzi ni nani ?? ninachotaka kufahamisha biashara ni malezi huwezi kukurupuka na ukaaza biashara , na...
Back
Top Bottom