Search results

  1. Immortan joe

    Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

    Hahaha ebu nitafutie maroda na mkenya
  2. Immortan joe

    Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

    Hahaha aice yule urafiki nae we uende tu shamba naskia major cku hizi...hapo maroda pemben
  3. Immortan joe

    Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

    Hahaha 824kj enz hzo mkuu op kikwete
  4. Immortan joe

    Rais Samia: Nitasimama na wananchi

    Tz kuna maajabu mengi sana, sasa kama baba/mama mwenye mji anaogopa kupambana na nyoka mdogo aliyeingia ndani mwake kwa kutishia kulala nje, sisi watoto wadogo tutafanyaje
  5. Immortan joe

    Humphrey Polepole na USEMI wa 'Mfalme mzee mjinga'

    Hii tabia ya wanasiasa kutokuwa na misimamo thabiti ndo inafanya kuaminiwa inakuwa ngumu, anaongea hiki Leo then hujui kesho kama ataamka na msimamo ule ule,sasa kuwashikia mapanga na marungu cc hatuwez kilichobaki tunapeleka kilio chetu kwa karma tu basi.
  6. Immortan joe

    Maajabu haya: Shaka asema Ajira zaidi ya milioni 35 zimezaliwa miezi sita ya Rais Samia

    Pengine najalibu kuwaza hapa huyu jamaa amepewa data za nchini Congo au Nigeria kwa ile population yao hesabu zake zinaweza kukaa Sawa ila kwa Tanzania pia mwalimu wake wa hisabati atakuwa anajisikia vibaya huko aliko, basi amsamehe tu hapa alizalisha kiazi
  7. Immortan joe

    Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika 1961: John Rupia na Julius Nyerere

    Historia ni mwalimu mzuri sana maana tunapata kuwafahamu waasisi wa taifa hili kiundani zaidi. Ubarikiwe sana mkuu.
  8. Immortan joe

    Historia ya mtandao wa YouTube

    Shukrani, sikuwa naijua hii kitu kwakweli.
  9. Immortan joe

    Kuna jamaa amesema yeye ni Kaka wa marehemu wakati yupo harusini

    Haha unategemea upige hii kitu, then uitwe mbele upewe mic utakuwa sawa kweli!!
  10. Immortan joe

    Rais Samia jitahidi ukiwa na 'Jazba' Kauli hii usiwe unaisema

    Genta, umeongea kwa busara sana natamani huu ushauri japo ausome au watu wake wamfikishie bila kuongeza au kupunguza kitu.
  11. Immortan joe

    Waziri Mchengelwa, watu wanakuchukulia poa! Hebu onesheni makucha

    Pengine tumpe mda bado anajiuliza atoke vipi kama Bwana misosi,au pengine ni kama Tigo live it love it, au kama voda yajayo yanafurahisha.
  12. Immortan joe

    Dk Slaa: Bado naweza kurudi kuwa Padre

    Hahaha!! Aice hata mi nmeshangaa watz wengi hawana taarifa kuwa yupo TBC huko
  13. Immortan joe

    Bashiru Ally Kakulwa mwanataaluma ya sayansi ya siasa asiyejua siasa

    Siku hizi kila msomi anajiona yeye anajua kuliko mwenzake, ama kweli elimu ndogo ni ugonjwa.
  14. Immortan joe

    Polepole Nakupa Onyo

    Onyo lako kashalipokea ila unahisi una huo upepo wa kumfunga paka kengere kama unapiga mkwara bila kuonyesha sura!
  15. Immortan joe

    Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

    Mwamposa atakuwa na jibu sahihi angeitwa ajibu sisi wengine tunaonewa tu mkuu, majibu yetu yatakuwa ni hisi tu.
  16. Immortan joe

    RC Makalla: Diamond amekataa kuwa Balozi wa usafi Dar

    Ana sababu zake za msingi, sasa raisi utampatia vipi tena ubarozi? Ahh sio poa nadhani
  17. Immortan joe

    Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

    Siasa bila unafiki kidogo na kujifanya hamnazo hata kama una phd haitonoga.
Back
Top Bottom