Search results

  1. STRATON MZEE

    TRA Mwanza wapiga marufuku uzalishaji wa Power Banana hadi kiwanda kiwe na mashine ya kuweka stika za TRA

    Dunia ni jukwaa, sisi sote ni wasanii. Ninaweza nikajitekenya mwenyewe nikaanza kucheka, nikitarajia na wengine watacheka.
  2. STRATON MZEE

    Jinsi ya kuongeza shelf life ya bidhaa

    Nashukuru Mkuu kwa ushauri Sent using Jamii Forums mobile app
  3. STRATON MZEE

    Jinsi ya kuongeza shelf life ya bidhaa

    Wanabodi habarini za majukumu. Mimi ni mjasiriamali ambaye nataka nijikite kwenye kuboresha na kupaki bidhaa za vinywaji vya asili kama mbege, togwa, na vileo vya mananasi n.k. changamoto ninayoipata ni kuwa, bidhaa hizi huaribika ndani ya Muda mfupi kama siku moja au mbili. Naomba mwenye...
  4. STRATON MZEE

    Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

    Tanzania hata akiteuliwa mwehu anayeokota makopo, bado ataongoza maana Watz hawajui wanakotoka na hawataki kujua wanakoenda.
  5. STRATON MZEE

    Lissu kauli ya kuwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mawaziri na Manaibu Mawaziri kuwa sio watumishi

    Najiuliza RC na DC wanatakiwa kujua kusoma na kuandika, lkn wanasimamia wakurugenzi na wataalam wengine wanaotakiwa kutumia taaluma zao kuendesha mambo. Hii nchi itafika? Au ndo yale ya Waliofeli wanakuwa waganga wa kienyeji wanaokuja kuwaagua wasomi waliofaulu madarasani? Ni TZ tuu huu upuuzi...
  6. STRATON MZEE

    Tundu Lissu: Judge Candidates by their DEEDS not WORDS Alone

    s si kawaida yao hawa wazee wa kijani boss? siku zote kipimo chao ni uwezo wa mdomoni, sio matendo
  7. STRATON MZEE

    Mahakama Kuu Tanzania imekataa kusimamisha Uchaguzi TLS

    Mbona nasikia serikali iko kwenye mchakato wa kukamilisha muswada wa sheria ya KUIFUTA TLS na badala yake kuanzisha BODI YA WANATAALUMA WA SHERIA ambayo wanataaluma wataomba uanachama na itakuwa chini ya waziri wa katiba na sheria?
  8. STRATON MZEE

    Mtatiro: Umefanyika Wizi wa shilingi milioni 369, mali ya chama cha wananchi CUF

    Hata ubakaji una taratibu zake. Huu ni zaidi ya ubakaji. Ni vigumu kuamini kuwa huu uchuro unaweza kufanyika bila ya maelekezo ya kutoka serikalini. Na kama kuna maagizo kutoka JUU, niruhusuni niamini kuwa nchi ilikuwa imenyooka lakini sasa ndo inapindishwa. Tutaona mengi bado.
  9. STRATON MZEE

    Maamuzi ya Serikali ni Shaghala Baghala! No Coordination! Do We Need a System, or Hii ya 1-Man Show inatosha?

    Nimepitia kurasa zote sita za michango ya wadau, hadi kichwa kimeuma. Tukiacha siasa na mahaba ya itikadi pembeni, kama KOSA la DG ni mchakato wa upandishwaji wa bei, nakiri kuna shida ya kimaamuzi. Lkn kama behind the scene kuna jambo, siongei. Lkn niseme jambo moja. Kinacholitesa taifa, ni...
  10. STRATON MZEE

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    go to hell ssm. tumeumia na kudhalilika ndani ya nchi yetu vya kutosha
  11. STRATON MZEE

    Mkanganyiko kuhusu kashfa ya Richmond

    Ukweli kuhusu Richmond utaendelea kubaki kuwa siri ya Baraza la Mawaziri la kipindi hicho cha Lowasa. Hakuna mkataba wowote unaoingiwa bila kujadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri. Hivyo, sisi Raia wa kawaida (layman) tunaijadili RICHMOND kijuu juu tu, ukweli wanaujua mawaziri waliokuwepo. Kuhusu...
  12. STRATON MZEE

    More donors pull out of Tanzania budget support deal

    Natamani wote wajitoe, ili Watanzania tuanze kufikiria kwa kitumia vichwa vyetu. Haiwezekani madini tunayo ardhini, mbuga, misitu, rasilimali maji, rasilimali watu, ardhi nzuri ya kulima pamba, karafuu, kahawa n.k., tuache kutumia vyote hivi, tuishie kutembeza bakuli ulaya. Huu ni upumbavu, na...
  13. STRATON MZEE

    Revealing: Hawa ni baadhi ya wanufaika wa Escrow kupitia kwa Rugemalira (Clue 2)

    Nchi shamba la Bibi, kila mtu anachuma Hatujasahau maumivu ya Richmond, iliyotuzalia Dowans (Bil 91), iliyotuzalia IPTL (Bil 306). What next?
  14. STRATON MZEE

    Pres. Obama to Visit South Africa, Tanzania, Rwanda, Considers Stopover in Nigeria

    Kenya hawezi kwenda. Kule ni kwa wajanja, si kwa wazembe wasiojali hata rasilimali zao kama ilivyo Tanzania. Ikitokea akienda kenya, ujue anakwenda kumsalimia nyanya yake tu, na si kuwapiga saundi kama atakavyofanya kwetu. Tanzania si shamba la bibi Bwana?
  15. STRATON MZEE

    Mhariri Mtanzania: Kwa siasa za shari, CHADEMA kinajifuta; marehemu alikuwa akiifanyia kazi CHADEMA

    Ndugu wana JF. Mimi binafsi nimemwelewa huyu Mwandishi wa Mtanzania. Nimeuelewa muktadha wa makala yake. Maadam yeye amejikita katika kuonesha mabaya ya CHADEMA, ingekuwa busara na ukomavu wa akili kama tutamkosoa kwa kuonesha pale alipokosea, na kumwelimisha kuhusu chanzo cha vurugu hizo...
  16. STRATON MZEE

    Mbowe atajwa sakata la TANESCO

    Hao unaowafahamu waliosoma mpaka kuitwa Maprofesa wamelisaidia nini Taifa? si ndo hao hao wachakachuaji? Bora hata huyu aliyesomea Udj, amewasaidia watanzania kutambua haki zao, na ndo maana Watanzania wanamwamini. Pili, Katiba ya Nchi inasemaje kuhusu elimu ya Viongozi?. Inataka mtu awe anajua...
  17. STRATON MZEE

    Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

    Siwadanganyi ndugu zangu wana JF. Mi mwenyewe sina imani na Jeshi la Polisi, Serikali, Usalama wa Taifa (Kama siyo Uhasama wa Taifa) na CCM. Dr. ana haki ya kutokuwa na imani na hawa watu maana ni matukio kibao ambayo amewapelekea lakini hawajafanyia kazi. Dr. Mwakyembe ambaye ni mwenzao...
  18. STRATON MZEE

    Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

    Ndugu wana JF. Naungana na alichokisema Ndugu yangu Fred. Mzee Warioba alitulpiga changa la macho. Kama tutakuwa na kumbukumbu vizuri, Baba Ridhiwan alikataza watu kuujadili muungano. Baada ya kuona watu wamelalamika sana pamoja na kuonesha nia ya kutaka kususia mchakato wa utoaji maoni, Ndipo...
  19. STRATON MZEE

    Chama kipya chasajiliwa Tanzania

    Kweli Umasikini wetu ndo kifo chetu. Marekani, Uingereza na utajiri wao wote, hawatagi vyama vingi kama ilivyo Tanzania. Hivi, Msajili wa Vyama vya Siasa kazi yake ndo hiyo ya kutia saini usajili wa vyama, au kuna kazi nyingine anaifanya?. Kazi kweli kweli.
Back
Top Bottom