Search results

  1. Delegate

    Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

    Ndugu wana diaspora, Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa? Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start. Kwa...
  2. Delegate

    Nazeeka, naogopa!

    Ndugu zangu, Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana, nazeeka na nimeingiwa na hofu, nimegundua nauingia utu uzima, nimechukia, naogopa nahisi maisha ndio basi, kila nikipita nasalimiwa shikamoo, sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana, naogopa sana uzee. Mvi zinabisha...
  3. Delegate

    Dharau za Zuku in mbaya sana

    Solution tufanye nini tukimbilie wapi
  4. Delegate

    Dharau za Zuku in mbaya sana

    Ndugu zangu nilijiunga zuku na kununua kingamuzi nikidhani wanafaa kama wanavyojitangaz,kwa kweli huduma zao ni mbovu na zimejaa madharau,wakenya wanaofanya kazi ya customer care hawajui kuongea na Wateja vizuri,Leo ni siku ya NNE tumelipia kila tukipiga ili watuunganihe tunaishia hewani...
  5. Delegate

    Katibu Mkuu CHADEMA unajua wajibu wako?

    Kamanda naona umeanza kutoka nje ya responsibilities. Jana umesema utapambana na matatizo yaliyo ndani ya chama, leo unasema utagombea Urais, hujui wajibu waki ndani ya chama? Nakushauri achana na tamaa, jitahidi kuendeleza chama alipoachia Dr Slaa. Hizo tamaa zenu ndio zinaturusha nyuma...
  6. Delegate

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Ni hayo tu speed zote zile?
  7. Delegate

    Uhusiano wa China na Vetnam ni mbaya sana

    The relationship between China and Vietnam has been complicated, and continues to be complicated. It makes sense to look at it from several different angles: Historical: China has occupied Vietnam for more than 1,000 years; the Chinese name for Vietnam was Annam (安南)。At times, the Vietnamese...
  8. Delegate

    Uhusiano wa China na Vetnam ni mbaya sana

    Najiuliza maswali mengi ni kwa nini serikali imeamua kualika uongozi wa Vietnam iliyo na uhusiano mbaya kabisa na rafiki wetu wa karibu China,,,,,,maswali ni mengi kuliko majibu na imani yetu ni kwamba serikali inajua inachokifanya.
  9. Delegate

    Hakika mwisho wa Makamba family umekaribia

    Ninajiuliza maswali mengi,hakika kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho,ngoma ikivuma sana mwisho hupasuka,maringo yote maneno na majivuno yote ya familiya ya Makamba inakaribia mwisho kabisa kwenye ulimwengu wa media,hakika hatutasikia tena jina hilo la Makamba,Mungu anasafisha uchafu wote...
  10. Delegate

    Josephine atoa picha ya nyumbu wa ngorongoro

    Kuna kitu alitaka kusema au tuseme hiyo picha imebeba Ujumbe maalum, Namshauri Josephine atulie azoee maisha mapya ya huko Canada,halafu pili namwomba Josephine ajaribu kukua kidogo,to be mature, Wameamua kukimbia siasa za Africa kwa sababu no politic in Africa Nawatakia kila la heri!
  11. Delegate

    Wakati tunafurahia usomaji wa namba na Majipu, nchi inakwenda huku...

    Bado kidogo tutamwona Magufuli ameharibu kuliko Kikwete
  12. Delegate

    Uthibitisho kua jehanamu ipo chini

    Luna mbingu ya kwanza mpaka ya saba,shetani anaishi mbingu ya kwanza na mungu mbingu ya saba,kwenda mbinguni lazima upite mbingu ya kwanza na utamwona shetani na mapepo yake
  13. Delegate

    Kaka utaiweza kasi ya Magufuli?

    unapenda sana starehe kwa kweli
  14. Delegate

    Je, Naweza kuendesha Suzuki carry kutoka Dar mpaka Tunduma kilometa 900?

    Naombeni ushauri wenu. Je, inawezekana? Na nitachukua siku ngapi?
  15. Delegate

    January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    maana ya ile picha ni kwamba wamemtandikia Magufuli kapeti ili akaishi maisha mazuri na kuinjoy lakini amegeuka na kuwa Nguruwe,huo ni udini achukuliwe hatau haraka sana
  16. Delegate

    Urusi kuweka defence missile nchini Syria

    Kumekucha tena,Urusi inasema itapiga marufuku anga ya Syria kutumika kwa taifa lolote mpaka waiombe ruhusa Urusi, Naona ile vita ya tatu imekaribia sana
  17. Delegate

    Je mwanamke ataweza kupata mimba?

    Hello Doctor Naomba kujua inawezekana mwanamke kama anapata hedhi kuanzia tarehe 16 mkakutana mwezi ujao tarehe tano anaweza kupata ujauzito?
  18. Delegate

    Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Ile video tuliyo share katika mitandao ya kijamii na kudownload ili tutumie mataifa mengine waone watoto wa viongozi wetu imefutwa kutoka Yotube.tumesha download na tumeshajua na kujionea kila kitu mnaofuta mnajusumbua, Imebaki hatua moja tu watoto was kikwete waige tabia za watoto was Gaddafi...
  19. Delegate

    Magufuli: First EA President with a doctoral degree

    kuna haja gani ya kuringia elimu na kuitumia hamuwezi?????pambafuuuuuuuuu
Back
Top Bottom