Search results

  1. Ndenji five

    Mke wangu kasema kanichoka, hanitaki na anataka kurudi kwao

    Nadhani wakuu mlifuatilia uzi wangu, nilioomba ushauri baada kukubali kukiri mbele ya mshenga kosa kabumbu la kutembea na shemeji yangu nikijua naokoa ndoa Baada ya kusikiliza maoni ya Wadau hapa ya kuwa mi ni mpuuzi, nikajitafakari, nikajiona kweli ni mpumbavu, nakubali vipi kitu sijafanya...
  2. Ndenji five

    Hatimaye kaanza kazi rasmi?

    Baada ya kuishiwa mbinu, ikabidi kikao cha dharura kiitishwe nani ata play part hiyi nafasi hatimaye wakazama front page, wasomi nguli tuliliona hilo kabla na tokea anatangazwa kurejea nchi ya ahadi, hatimae kaanza kazi rasmi, fungeni mkanda maana huyu mwamba ana kila aina za udikteta, na ndio...
  3. Ndenji five

    Nichukue hatua gani kwa huyu shemeji yangu, kashakuwa mwiba kwenye ndoa yangu

    Ama kweli tenda wema nenda zako, na leo yamenikuta, ni miaka mitano sasa tokea nilipomchukua, mke wangu na mdogo wake, ambae ni wa kike, tukaishi kwa upendo na amani, huyu mdogo wake nilimchukulia kama mdogo wangu, wa tumbo moja na kila nilipopata nafasi ya kusafiri kikazi nilikuwa siachi...
  4. Ndenji five

    Kati ya Mungu na Shetani, nani ana masharti magumu?

    Naomba kujuzwa kwa wajuzi wa hizi mambo mimi mwenzenu nipo katikati si wa MUNGU wala wa SHETANI. Kwahiyo nataka nijue ni wapi kuna unafuu ili nichukue maamuzi wapi niende?
  5. Ndenji five

    Mke wangu kaning'ata usoni nimfanyeje?

    Mi ndio yule kijana wa hovyo Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza. Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we...
  6. Ndenji five

    Vitu vya ovyo vinavyofanywa na Serikali

    Ni pale wanapokataza matumizi ya mkaa na kuni, wakati hakuna mbadala walio ufanya, vuta picha mtungi mdogo wa gesi elfu 45, gesi ikiisha kujaza 25, kipindi hicho hicho, baadhi ya sehemu, mkaa kipeto kidogo elfu tano,unapikia wiki mbili alafu kuni tatu ndefu buku,unapikia siku mbili,unazani nafuu...
  7. Ndenji five

    Ni tabia gani ya ovyo huonesha pindi unapokuwa na pesa

    {Huwezi kumbadili mtu ikiwa yeye hajataka kubadilika} Pata hela tujue tabia yako, ni kamsemo ka waswahili ila kana maana, mwenzenu siku ninapo zifuma, siku hiyo najiona kwanza mimi nitajiri wengine wote maskini, basi siku moja nimepata kama ka laki tano hivi, kwenye dili za hapa na pale, basi...
  8. Ndenji five

    Natafuta mke wa pili alie tayari

    Mi nikijana wa miaka kati ya 27 had 34 nimeoa na nina watoto wawili, nimekuja kwenye jukwaa hili nikiitaji mke wa pili yaan bimdogo, na sababu za kutafuta mke, wa pili moja niko na miradi ambayo inaitaji usimamizi mke jambo la pili napenda sana watoto yaan angalau nataka niwe na watoto japo 8...
  9. Ndenji five

    Wizara ya Kilimo rekebisha haya kwenye mbolea zako za ruzuku

    Wizara ya Kilimo awamu ya kwanza mbolea zilikuwa vizuri sana nadhani wakulima wenzangu waliotia awamu ya kwanza watakubaliana na mimi, ila mbolea za awamu ya pili na kuendelea zinakuza nyasi kuliko zao, pia mbolea unapoweka kwenye mmea zinadumaza mmea kuliko kuufanya unawiri. Nakutuma...
  10. Ndenji five

    Njoi vs vega zinaisha sana maduka ya madawa shida nini vijana

    Juzi kati nilikutana na mfamasia mmoja katika kupiga story akaniambia, dukani kwake katika dawa hazikai na zinawateja wengi hasa vijana, ni njoi pamoja na vega, anavyodai akizileta hazichukui siku lazima ziwe zimeisha, je ni kweli zimeletwa kwaajili ya matumizi hayo, ni nini madhara ya haya...
  11. Ndenji five

    Ingekuwa wewe mwanaume mwenzangu ungefanyeje?

    Hiyi si stori ya kusadikika ni stori ambayo imemtokea jamaa yangu, picha linaanza jamaa yangu kafungua duka la vifaa vya ujenzi katika kuuza uza, akafanikiwa kujenga, nyumba kubwa tu ya kuridhisha, alipomaliza ujenzi wa nyumba yake akawa amehamia kwake na mkewe na watoto. Basi kipindi...
  12. Ndenji five

    TANESCO hivi hili ni sahihi au napigwa?

    Jana baada ya fundi kumaliza wayalingi kwenye kajumba kangu nikaenda ofisi ya TANESCO, kabla sijaingia ndani nikakutana na jamaa ambae yupo na sare za TANESCO nje nikamtaka anijulishe ofisi au hatua za kufanya ili kupatiwa huduma, basi akawa amejitambulisha yeye ni saveya, na hizi ndio...
  13. Ndenji five

    Kwa suala hili la bandari ingekuwa nchi za wenzetu pangechafuka

    Kwa kuwa ni tanzania, acha tuendelee kupiga kelele mitandaoni, huku tukisema katiba mpya inaitajika! Sawa katiba mpya ila hata ikifika, kama sisi wananchi hatupo front page. Kwa hali hiyi sizani kama hiyo katiba mpya itabadili kitu ni sawa umevamiwa nyumbani kwako, unangoja polisi aje akutetee...
  14. Ndenji five

    Kwa upwiruu huu Shemeji sijui kama atapona

    Juzi kati kipindi nagombana na wife kuhusu mambo ya mbususu kiufupi nilikaziwa, kupewa sasa kumbe kipindi tunaongombana na wife, wife kwa mdomo wake mrefu akawa anaongea kwa sauti kiasi kwamba mdogo wake wa kike ambaye nakaa nae alitoka nakusikiliza kilichopo, au tunachogombania chumbani mimi...
  15. Ndenji five

    Hakuna anayeumizwa na suala la Bandari, ni unafiki mtupu

    Sio viongozi sio wananchi. Tumeshawazoea wanafiki nyie mtaishia kupiga kelele mitandaoni hakuna hatua mtayochukua mwisho wa siku litakuja lingine mtadakia na hilo mara mia kushabikia mpira au ngono kulikoni huu unafiki wa watu wanaoitwa watanzania wengi wetu tumejaa ufinyu wa akili ni waoga...
  16. Ndenji five

    Kuomba Barmaid ukupunguzie bei ili ulale nae ni halali?

    Jana nimeenda zangu bar moja hapa town, nikiwa pekee yangu nikamwita muhudumu, niletee bia akaleta. Hapo nikiwa kauzu, nikapiga cha tatu mara nakuta anatia huruma nikamwambia chukua unywe, akuchukua hapo no story, nikasema ngoja, nikaanza mchombeza. Oya mdada mi niko na ngara, naitaji toka na...
  17. Ndenji five

    Unatumia mbinu gani pale unapomwomba Penzi Mkeo halafu anakukazia bila sababu za Msingi?

    Mlio kwenye ndoa nadhani mnapitiaga kipindi kama hiki, unakuta upo na mkeo usiku ghafla nyege zimepanda, kirungu, kinatamani kupiga. Ile unamshikashika mpenzi wako unajibiwa baba naniii na wewe umezidi kila siku unataka, halafu ukichek imepita wiki hujamla, unamuuliza hivi kila siku na lini...
  18. Ndenji five

    Tukutane hapa wale ambao tunapigwa vizinga na Mbususu hatupewi

    Picha linaanza unamtongoza anakukubalia, zinapita siku mbili anakuomba hela kiroho safi unampatia, hujakaa sawa baada ya siku mbili mbele kipigo kingine. Unasema kwakuwa ni mtu wangu ngoja nijitoe, unampa tena pesa, ujakaa sawa unaomba mbususu anakwambia ninadharura ya mgonjwa, unasema sio...
  19. Ndenji five

    Milioni 20 gawa kwa Watu 35 wanagawana ngapi?

    Unaweza kuona watu wanafaidi baada ya kusikia wamepatiwa pesa hiyo.
  20. Ndenji five

    Je, ni sahihi shemeji yako kufanya usafi kwenye chumba unacholala wewe na mkeo

    Wakuu!! Hapa home ninaishi na mdogo wake mke wangu, huyu binti ana miaka kama 22, na ninapoishi kuna nyumba kubwa na mabanda, nazan mnaelewa. Huyu mdogo wa mkewangu ambae ni wakike yeye nimempa chumba chake, mabandani hiyi nyumba kubwa ninayolala mimi na dada yake, ina vyumba vitatu na...
Back
Top Bottom