Search results

  1. Hemedy rashidy

    Natafuta kazi, nipo Mbeya

    Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali. Kwa jina naitwa hemedy umri. wangu 25years kwa sasa nipo mkoani mbeya ila home ni dar nimekuja mdogo wenu nna shida na kazi elimu yangu form 4 Mwenye connection yoyote ya kazii iwe hapa hapa mbeya au dar naomba...
  2. Hemedy rashidy

    TV4Sale Hisense Smart TV 4k nchi 75 inauzwa

    Hisense Smart TV 4k inch 75 bado mpya nyembamba imenyooka hizo picha tu ila ukiiona live ndo utakubali, imetumika miezii 3 inafaa kuoneshea mpira maana ni kubwa mwenyewe anashida na pesa haraka. Bei ni Milioni 2.7. Nicheki tumalizane chap, 0762407301.
  3. Hemedy rashidy

    Naomba kufahamishwa haya kuhusu mikopo ya bajaji

    Habarii, natumaini wote ni wazima, Naitwa Hemedy mkazii wa kinondonii B Mada yangu ni hivii mimi ni kijana tu ambaye nimemaliza chuo TIA tangu 2014 mpaka sasa siku fanikiwa kupata ajira nikawa nipo mtaanii tu nimekaa sana mtanii hivi sasa muda wote huo namsumbuwa mzee anikopee hata bajajii...
  4. Hemedy rashidy

    Huyu mwanamke amejisingizia ana mimba ili anipige pesa?

    Kuna mwanamke nilikutana nae kwenye garii nilikaa siti ya mwisho kabisa upande wa kushoto na yeye pia alikaa siti ya mbele yangu tulikuwa kikundi cha Street tulikuwa tunaenda Beach. Sasa tamaa za vijana sisi mtoto nilimuelewa kinoma yanii kweli nikachukua namba tukaenda Beach kila mtu alikuwa...
  5. Hemedy rashidy

    Msaada: Bei ya computer itakayofaa kwa matumizi ya library ya movies

    Msaada jamanii, Nataka kufungua library ila naitaji kujua mashine ipi nzuri kubwa, namaanisha full computer ambayo inauwezo mkubwa. Pia naitaji kujua bei za CD kwa jumla pia na bei za protector za simu na ma cover ya simu beii ya jumla. Shukranii
  6. Hemedy rashidy

    Naitaji kujua bei za jumla za simu ndogo na cover za simu kwa bei ya jumla

    Samahanii naitaji kujuwa beii za jumla za simu ndogo na cover za simu kwa beii ya jumla na redio speaker za bluetooth zile ndogo kwa beii ya jumla pia na headphones kwa beii ya jumla nasubirii msaada wenu
  7. Hemedy rashidy

    Hisense smart 4k inch 55

    Hisense smart 4k inch 55 iko creen inafaa kwa matumizii ya kuonesha banda la mpira au pia nyumbn beii million 1.1 ni check tumalizane location mbagara kijichi 0685 809 502
Back
Top Bottom