Search results

  1. D

    Natafuta binti wa kumuoa

    Elimu yangu ADA kaz nipo halmashaur ya wilaya hapa tz age 30 Dini muislam
  2. D

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Huyo bado naona ni mgeni katika ujenzi hiyo huwez sema inakaribia kuisha! alafu garama kuifikisha hapo mbona umeibiwa sana? ukizingatia nyumba yako inaonekana ndogo sana!
  3. D

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Hapo ulipofika mkuu ndo kama unaanza! nyumba nyingi zimeishia hapo miaka nenda rud wahusika wamezikimbia isitoshe hilo bado linaitwa boma sio nyumba!
  4. D

    Kagera: Kilichonifurahisha jana ni wagombea 3 wa CCM kujiuzulu asubuhi

    Safi sana Manispaa yetu inarud kwao sasa
  5. D

    Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

    Tuungane kupiga vita huu uchafu! ee mungu tusaidie wana wa Adam!
  6. D

    PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

    Tuition sio sababu la msingi ni bidii ya mwanafunz darasni we inaonekana hata shule ujaenda! wengine hata hizo tuition hatuzijui na madrasa tumesoma na hao waliokuwa wanasoma tuition walikuwa wanatuomba sisi wa madrasa majibu kwenye mitihani. fanya utafit kabla ya kuongea mkuu
  7. D

    PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

    Nssf imebalance 50 50 kila upande ila kwa nchi hii kutokana na mazoea ya watu kuwa waislam ni wachache na baadh ya mashirika hawaonekani kabisa, ikitokea idara ,shirika au wizara ikaajiri watumishi 50 50 waislam na wakristo moja kwa moja hiyo inaonekana waislam ni wengi! badiliken jamani achen...
  8. D

    Mhe. Kabwe, kwa nini Gavana wa BOT hayupo kwenye Watuhumiwa wa ESCROW?

    Wadau vp ya commissioner wa tra kuanbiwa na AG kuwa hizo hela hazikutakiwa kukatwa kodi na wao wakakaa kimya ni Sahihi? ina maana wao sheria za kodi hawazijui mpaka wapewe maelekezo? na katika maadili ya kaz mtu unaposhinikizwa kufanya isivyo unatakiwa uchukue hatua zipi? mi naona tra nao wamo...
  9. D

    Mazishi ya bilionea wa mapenzi garini bukoba historia!

    Pole wana familia! Kwan hiyo ndo njia kuu ya kila mwanadamu la msingi tuliobaki iwe ni funzo kwetu tusitawaliwe sana na dunia na kusahau kwamba ipo siku tutarudi kwa muumba wetu na tutaulizwa matendo tuliokuwa tukiyafanya!
  10. D

    Mazishi ya bilionea wa mapenzi garini bukoba historia!

    Pole wana familia! Kwan hiyo ndo njia kuu ya kila mwanadamu la msingi tuliobaki iwe ni funzo kwetu tusitawaliwe sana na dunia!
  11. D

    Safari ya Bukoba

    We ni mgeni mkuu? wenyeji tulishaacha kutumia huo usafir muda mrefu sana! hizo meli ni za kusafirisha mizigo sio abiria! nakushaur siku nyingine tumia usafir wa mabus ni mengi sana na ya kisasa na kila muda utakaojisikia kusafir utapata gar!
  12. D

    Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

    Kosa sio la HRO bali hao watumishi wa hapo wanawake ndo malaya! nawashauri wanaume msipoteze muda wenu kupambana na huyo jamaa ila pambaneni na hao wake zenu wasiojiheshimu! inawezekana hata kwingine wanagawa sana sasa sijui utapambana na wangapi!
  13. D

    Soma majina ya waliokula hela za akaunti ya ESCRO katika ripoti ya PAC iliyomwa leo bungeni!

    Pengo nae ndo walewale tu wanaochota pesa zetu na kuzihamishia makanisani!
  14. D

    Soma majina ya waliokula hela za akaunti ya ESCRO katika ripoti ya PAC iliyomwa leo bungeni!

    Mi nimemkubali mzee wa vijicent hachezi mbal na milo mitamtam!
  15. D

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    ndo maana yake hata hao wanaohusika asilimia kubwa wamesoma katika seminar zao!
  16. D

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Maskin professor wangu mchapakaz! ila mi ningependekeza uendelee kuongoza hiyo wizara maana ulionyesha uhai kuliko wale akina Ngeleja na Karamagi na kutoogopa matajir wanaotaka kijinufaisha kupitia rasilimali za umma! maana kiongoz ambae ni mla rushwa huwa hana msimamo kama uliokuwa nao!ila...
  17. D

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Hawa viongoz itapendeza wakifikishwa mahakaman ili iwe fundisho kwa viongoz wengine wa din wajanjawajanja ndo maana ikifika wakati wa uchaguz wanakuwa wapiga debe wa baadhi ya wanasiasa badala ya kuimiza wafuasi wao kuchagua viongoz waadilifu na wachapakazi! watz tuwe macho
  18. D

    Hatimae mwisho wa enzi wa Marekani umekaribia, taifa hilo litaanguka vibaya, ni kilio

    Alichokosea nn? Na hizi ndo topic tunazozitaka jf! la msingi na we toa hoja zako hapo mkuu!
Back
Top Bottom