Search results

  1. mlokole halisi

    Uchawi na kilimo

    Mungu pekee ndio jibu la yote ndugu
  2. mlokole halisi

    Tazama Maisha na mali zinavyomuijilia kila mtu duniani kabla ya kufilisika

    mtoa mada salaaaM Nina wazo kuwa fursa kama fursa huwa ipo siku zote za maisha ya mtu endapo ataijua na kuitumia vyema......kumbuka kuna wanafanikiwa ujanani wengine huwatokea hata wakiwa wazee..... NB: NAHISI KWA MIFANO YAKO ULIAMUA KUWABANA WALE WAWILI KANA KWAMBA MAAMUZI YAO HAYAKUWA SAHIHI...
  3. mlokole halisi

    Zinaa katika uislamu....

    katika kujibu kwako nimeona una hekima Fulani na utulivu pia kujiamini.....nimeupenda huu Uzi sababu yako ndugu.......barikiwa zaidi
  4. mlokole halisi

    NINA TATIZO GANI ?? AU NI KAWAIDA?

    pole kwa tatizo ni vyema ukawaona wataalamu
  5. mlokole halisi

    Msaada, kwa nini napenda mwanamke anaelia kwenye 6*6

    humu yawezekana kuna watoto wengi miaka hii ya karibuni .......unisamehe mtoa mada yawezekana ukahisi nimekulenga wewe
  6. mlokole halisi

    Sipendi kuishi sehemu moja muda mrefu, je nina tatizo? Hata kazi kila baada ya miaka 4 inaniboa natamani nihame

    tatizo la ki-saikologia tafuta wataalamu.... Leo usingizi umenitupa hadi sa hizi nipo hapa ???????
  7. mlokole halisi

    Tulioacha kunywa pombe 2019 tukutane hapa

    mziache wakuu sio nzuri......zina piga sana mifuko
  8. mlokole halisi

    Hiyo ndio ilikuwa Mbuguni (Kwa sasa Mererani) enzi hizo

    mkuu endelea tu naona kuna mengi ya kujifunza humu
  9. mlokole halisi

    Vituko vya marehemu

    Write your reply... hahahaha
  10. mlokole halisi

    Vituko vya mochwari

    sijaelewa
  11. mlokole halisi

    Simulizi yenye funzo

    nimeukumbuka wimbo wa busy signal " THE GAMBLER" na ule wa Kenny rogers "" COWARD OF THE COUNTY""
  12. mlokole halisi

    Mshahara wa mwezi wa Desemba 2018 umekatwa Tshs 30,000/-

    ni vyema haya mambo tukayajua ki undani wadau kama mnafahafu chochote kuhusu hili mkatueleza hapa jukwaani ili nasi tuchangie mawazo yanayopasa kuliko kutupoteza tusijue chochote.........reality please
  13. mlokole halisi

    Je, umeshawahi kupata kipigo ambacho rekodi yake haijawahi kuvunjwa?

    NIMESOMA HICHI KISA NIKAENDA MAJUKWAA MENGINE HUKOOO ILA NIKIONA NISIPO COMENT HAPA NITAKUA SIJATENDA HAKI KABISA.....mkuu hiki kisa na Mimi kilinipata vyema kabisa isipokua in utofauti mdogo tu .... ....Mimi nilipewa hela za daftari 4 kipindi daftari ni tsh 50 si nikakuta wanacheza kamari...
  14. mlokole halisi

    Jinsi nilivyoanza maisha!!

    Nina miaka mitatu kwa kazi ila sikufuru kwa MUNGU WANGU KABISA amenipa viwanja viwili vikubwa kimoja ni karibu robo tatu hekari site nzuri mno na tena amenijalia majukumu ya familia na Nina mtoto mchanga sasa ( my baby boy) ,biashara kwa mke wangu na tena miradi kama wa mbuzi na kuku na...
Back
Top Bottom