Search results

  1. Ufipa-Kinondoni

    Uchaguzi 2020 Ushauri - CHADEMA iongezee Timu ya kampeni na Lissu aende Majimboni

    Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana. Ni namna walivyojipanga katika Kampeni zao. Kila Mkoa na Wilaya unaona kuna mtu mwenye Ushawishi ndani ya Chama anasaidia kufanya kampeni za wagombea Ubunge au Udiwani. Nimeona Kinana, Kikwete, Ndugai, n.k...
  2. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    Nasema ingawa najua wengi hawapendi kusikia hasa kwa vile hawana maeneo ya kukimbilia. Anachofanya ZZK, Zitto ni sawa na kuhalalisha utoaji wa mimba katika chama chake. Wakongwe wameshindwa anachofanya kwa sasa. Chadema wamefanya wakagundua kuwa ina shida. Mwaka huu wameelewa nini maana ya...
  3. Ufipa-Kinondoni

    Uchambuzi: Naamini Tundu Lissu si Mwafaka Kugombea Urais 2020 (2)

    Siku zote wanapokuja wanakuta tunatoka, si kwa sababu wanajua ila kwa vile wanachelewa tu. Ninasema tena, inawezekana usiamini pia. Lissu si mwafaka kugombea Urais 2020. Kwa jicho la karibu unaona Lissu akiingia Ikulu na Magongo yake kama Abdelaziz Boutaflika wa Algeria anavyofanya kuingia...
  4. Ufipa-Kinondoni

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Naamini Tundu Lissu si Mwafaka Kugombea Urais 2020 (1)

    Nimetimiza mwaka tangu nimeandika katika jukwa hili. Sababu za kuachana na JF ni za kibafasi ila jukwaa si huru kwa wale wanaofanya maandiko wasiopenda wenyeJF. Kwa kuanzia tu, wengine tumekuwa wawazi juu ya nini na nani anafaa kusimama na kusimamia Chama chetu pendwa cha CHADEMA. Tulisema na...
  5. Ufipa-Kinondoni

    Utafiti: Tanzania yaorodheshwa miongoni mwa nchi uchumi utakua kwa kasi zaidi duniani

    Tanzania imeorodheshwa kuwa miongoni mwa mataifa ambayo uchumi wake utakua kwa kasi zaidi kufikia mwaka 2026. Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo cha Chuo Kikuu cha Havard cha Marekani kinakadiria kwamba uchumi wa Tanzania utakuwa unakua kwa asilimia 6.15 wakati huo. Tanzania itakuwa ya nne kwa...
  6. Ufipa-Kinondoni

    Ni 12% ya Wananchi wanaamini yanayosemwa na Vyama vya Upinzani

    Utafiti uliofanyika hivi karibuni umeonyesha kuwa Rais Magufuli anaaminika kwa zaidi ya asilimia 70 kwa anayosema ukilinganisha na 12% ya Wabunge wa Upinzani. Je, haya ya kweli? Only 12% of Tanzanians trust what opposition MPS say The findings were released this week by Twaweza in a research...
  7. Ufipa-Kinondoni

    Katika Siasa wanaokukimbia wanakujua zaidi ya wanaokushangilia

    Nimeona leo niandika hili kwa vile nimepata muda huu kamuda ka kuandika. Katika mchezo hatari sana duniani ni siasa. Siasa unaweza shangiliwa hata kama unatakiwa upigwe mawe hadi kufa. Nikichukulia uhalisia wa sasa wa maisha ya kisiasa hapa nchini, naweza kusema kuwa Rais Magufuli na na kwa...
  8. Ufipa-Kinondoni

    Chadema, ACT Wazalendo wahaha madiwani wao kuhamia CCM

    By Anthony Kayanda, Mwananchi. Wakati katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akianza ziara yake mkoani Kigoma, viongozi wa vyama vya ACT - Wazalendo na Chadema wamesema watakuwa tayari kuwalinda madiwani na viongozi wao wasitimkie CCM. Kwa sasa ACT ina madiwani 19, Chadema...
  9. Ufipa-Kinondoni

    Tahadhari: Duniani Hakuna Maandamano ya Wanasiasa yaliyoleta Matokeo Chanya

    Hapa duniani kinachotokea ni kuwa wanasiasa na wanaharakati ndo wanaokuwa wasemaji wa mambo mengi hasa yanayoonyesha kukosoa wanasiasa wanaokuwa katika madaraka. Hii si mara ya kwanza kwa wanasiasa kuwa hivyo. Kule Venezuela kuna wanasiasa wakubwa wanaopata nguvu za kukosoa serikali iliyopo...
  10. Ufipa-Kinondoni

    Unreported: CHADEMA Tulishinda Kata Ngapi za Udiwani

    Nimefuatilia sana na nikagundua kata zote zilizofanya uchaguzi CCM ilishinda na hazijatolewa matokeo. Kata hizo ni kama ifuatavyo, wilaya zinakopatikana katika mabano Mkoa wa Mwanza - Isamilo (Nyamagana), Kanyelele (Misungwi) Mkoa wa Dodoma- Manzese (Chawino) Kimagai (Mpwapwa) Mkoa wa Tanga-...
  11. Ufipa-Kinondoni

    CHADEMA Tuliwauliza, Je Kuna nini kimebadilika mpaka Mmeamua Kushiriki Chaguzi Ndogo?

    CHADEMA ni kama mtoto yatima kwa sasa. Kwa asili watoto wote yatima ni watukutu na hawapendi kusikiliza maneno ambayo ni ya hekima. Kila mahali wanashika bisibisi au nondo hata kama wanaenda ni omba omba tu. Wanaweza kudhuru wakati wowote!! Lazima tuwaogope. Tuliuliza majuzi na tukatoa ushauri...
  12. Ufipa-Kinondoni

    Acacia Kuuza Mali zake za Tanzania

    Acacia Mining is Tanzania’s biggest gold producer and operates three major mines in the country — Bulyanhulu, Buzwagi and North Mara (pictured). (Image courtesy of Acacia Mining.) Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia inafanya mazungumzo na kampuni za Kichina za Shandong Gold Mining and Zijin...
  13. Ufipa-Kinondoni

    Mbowe ataka uchunguzi kifo cha kiongozi wa CHADEMA, Daniel John

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kiongozi wa chama hicho katika Kata ya Hananasif, Daniel John amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha. Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 13,2018 amesema John alitoweka siku moja iliyopita. Kamanda wa Polisi Kanda...
  14. Ufipa-Kinondoni

    Uchaguzi Kinondoni: Hisabati haidanganyi

    Toa mawazo yako juu ya mwonekano wa uchaguzi Kinondoni:
  15. Ufipa-Kinondoni

    CHADEMA na Uchaguzi na Lowassa wanachanganya Wanachama

    Si siri tena kuwa CHADEMA inajichanganya na imechanganyikiwa. Uchaguzi mdogo wa Songea, Longido na Singida umesusiwa na CHADEMA. Uchaguzi wa Kinondoni na Siha wanakaa vikao vya kusimamisha wagombea. Unaweza uliza nini kimebadilika mpaka sasa? Acha kuonekana ndumila kuwili. Ina maana viongozi...
  16. Ufipa-Kinondoni

    Lazaro Nyalandu Amepotea? Alitegemea nini kuwa mpinzani?

    Bila shaka tunaofuatilia siasa tunamjua vizuri Nyalandu. Nyalandu alipoamua kuachana na CCM, wengi waliona CCM imepoteza bonge la mwanasiasa. Hivyo hivyo, CHADEMA walimpokea kwa bashasha sana wakijua wamelamba dume. Sijajua nini ulikuwa msukumo wa Nyalandu kuachana na CCM. Ukimwangalia Nyalandu...
  17. Ufipa-Kinondoni

    Je, CHADEMA ikiamua kumfukuza Lowassa itabaki salama? Tujadili

    Haya ni maswali ya kujiuliza kwa sasa kama viongozi wa CHADEMA wataamua kufukuza Mh. Edward Lowassa. i) Kama chama kinachotetea demokrasia na uhuru wa kuongea kinaweza kweli kumfukuza Lowassa kwa kuopngea anayoona yeye binafsi yanafaa kusemwa? ii) Kama viongozi wetu wanaamua kumfukuza, chama...
  18. Ufipa-Kinondoni

    Mwisho wa CHADEMA ndo huu: Mbowe 2015 Ulifanya Wengi Tukukatae na CHADEMA yako

    Ukweli huwa hupingwa sana. Mbowe ameumiza sana watu na amefanikiwa kuua chama kabisa. Kinachotokea sahizi wengi wanajificha kwenye dhana na kununuliwa kwa wanachama wa CDM ila ni kuwa wanarudisha mioyo yao nyumbani. Ilipofikiia chadema ndo mwisho wa safari yake. Tusubiri kuja kwa chama kingine...
  19. Ufipa-Kinondoni

    Kama CHADEMA itasusia tena uchaguzi wa Siha na Kinondoni nini kitatokea?

    Uchaguzi wa Majimbo ya Singida na Longido, CHADEMA na vyama vingine vimesusia. Sahizi kuna majimbo tena ya Kinondoni na Siha. Achilia mbali kata zingine 4 zitakazofanya uchaguzi sahizi. Kwa hesabu CCM itakuwa imeongeza wabunge 4 na madiwa 43+4. Nini kitatokea baada ya hapa? NEC inaweza...
  20. Ufipa-Kinondoni

    Aliyekuwa mbunge wa Siha, Dk Godwin Mollel amewaomba msamaha wanachadema kwa uamuzi wa kujivua ubunge na kujiunga CCM

    Siha. Aliyekuwa mbunge wa Siha, Dk Godwin Mollel amewaomba msamaha wanachama wa Chadema kwa uamuzi wake wa kujivua ubunge na kujiunga na CCM. Dk Mollel aliyetangaza uamuzi wa kujivua ubunge Desemba 14,2017 na kukabidhiwa kadi ya CCM Desemba 15,2017 amesema upepo wa kisiasa umebadilika na safari...
Back
Top Bottom