Search results

  1. gplus

    Wanawake wanacheat zaidi ya wanaume......

    aiseee hawa watu hawana kanuni,,nilimulizaga huyu rafiki yangu ni nin kinapelekea hawa kufanya hiv?anasema alishamuulizaga akamwambia hamna sababu,,sasa najiuliza inakuwaje?kwa wanaume navyojua mim sis tumeumbwa na kutamani tukiona namba 8 sura nzuri basi hapo lazima tutamani lkn hawa watu...
  2. gplus

    Wanawake wanacheat zaidi ya wanaume......

    Katika kufuatilia kwangu naona wanawake wanacheat sana kuliko wanaume sema watu wengi wanajua kama wanaume ndio wanacheat sana,,haionekani kama wanawake ndio wanacheat sana kwa sababu wanawake ni wasiri sana,ninayo mfano,kuna rafiki yangu ni player sana,ametembea na mke wa mtu na hadi leo huyo...
  3. gplus

    Je Nimpigie au na mimi niuchune!?

    hiii stail nimeipenda ningekuwa mim ningefanya hivi,halafu kitu kingine ningempigia nikamsikiliza maelezo yake kwanza kabla ya yote,halafu ndio uyachuje then ushike decision,sasa hujamsikiliza anasema nin wewe umekasilika hapo umekosea mkuu
  4. gplus

    Nishaurini nifanye nini?

    dada cha msingi hapo cha kufanya ni kujifanya hata bado huamini kama una mimba jifanye unataka kwenda tena ukahakikishe kama unayo hiyo mimba ikiwezekana mchukue huyo boyfriend wako muende wote halafu mnaenda wote kupima na mkifika kule itaonekana hauna na yeye atashuhudia halafu unajifanya...
  5. gplus

    Msaada wajamenii

    tatizo nilijalibu kumueka chini na kumwambia mbona siku hiz amebadilika?yeye anachonijibu hajabadilika ni mim tu jinsi ninavyoona lkn matendo yake tofaut na anayoyasema,,sasa nakosa cha kufanya
  6. gplus

    Msaada wajamenii

    tatizo nilijalibu kumueka chini na kumwambia mbona siku hiz amebadilika?yeye anachonijibu hajabadilika ni mim tu jinsi ninavyoona lkn matendo yake tofaut na anayoyasema,,sasa nakosa cha kufanya
  7. gplus

    Msaada wajamenii

    kaka Asante kwa ushaur
  8. gplus

    Msaada wajamenii

    nilimuuliza lakin akaniambia eti mim ndivyo navyoona lakin yeye anajiona yuko sawa tu,wakati kuna ushaid wa kila namna kama amebadilika
  9. gplus

    Msaada wajamenii

    hamna bado hatujaanza hizo pilika za ndoa sema tushatambulishana kwa wazazi
  10. gplus

    Msaada wajamenii

    tatizo mzee kama je amegundua nilikuwa namfanyia UFBI si ndio atakuwa makin zaidi?
  11. gplus

    Msaada wajamenii

    una maanisha nin unaposema mnuno ni wa bao mzee?
  12. gplus

    Msaada wajamenii

    yeah yeye huchukua simu yangu,na nilishawahi kumwambia siku hizi mbona amebadilika akasema si kweli hivyo ni mim ninavyomuona lakina yeye anasema yuko sawa lakin kuna kila ushaid kuwa amebadilika mzee!!!!
  13. gplus

    Msaada wajamenii

    Mim ni mvulana wa 28 yrs,niko na girl friend wangu miaka 2 Sasa,mda wote huu tumekuwa tukipendana bila ya matatizo,lakin hivi miezi miwili iliyopita yaan amebadilka mno,sometime mpaka nashindwa kuamin ni yule nayemjua au mwengine,mpaka nimekuwa simwamini tena kutokana ta vitabia vya hapa na...
  14. gplus

    jamani mim mpya

    jamani eeh mim ndiokwanza mpya humu ndani ya jf,,ndio kwanza nimejiunga,natafuta marafik mbali mbali wenu,p
Back
Top Bottom