Search results

  1. R

    kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    wazo zuli,nimehamasika kujiungana. lakin seriousness ktk hili iwe lazma. ni bora ikawa ya watu waliojidedicate wachache au hata wakizid hyo number lakn wawe makn na nia halisi yawazo
  2. R

    Nifanye nini asiniache?

    ni sahihi kusema hvyo bt ths was mistake. 6months b4 ndoa,
  3. R

    Nifanye nini asiniache?

    its ok unachosema lakin kilichotokea ni mistake na si mapenz, si rahis kama unvyosema nampenda mke she's evrythn kwa maisha yangu heri nife ndoa yangu ina mwaka mmoja na ni matatizo2 bt nampenda mke wangu
  4. R

    Je kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?

    nafikir sasa hv ndoa ni kuish pamoja na si muungano wa kiimanu. hvyo mke akihis anaweza kujitegemea hana muda wakupoteza na mahtaj yake yatimizwe bila kujadili, kama huwez ndio hakuna uvumilivu mapenz ni pesa kama haunisahau mapenz visa haviish
  5. R

    Nifanye nini asiniache?

    nampenda mke wangu japo haamin ktk penz. nimemkosea na kukir kymsalit kwa tukio la julai 2010 lakin sasa linamfanya asikubali msamah wangu. nampenda pamoj na mambo mengne yaliyotokea bado anasisitiza kuondoka nyumbanakipata kaz,nifanyaje wandugu
Back
Top Bottom