Search results

  1. N

    CHADEMA Tanga wamuunga mkono Slaa

    Kaka qa misimamo,inapendeza.japo mlipaswa kuufata uongozi wa juu kueleza.ya moyoni,kuliko kutuandikia hadharani,baweje nakukubali kati ya viongozi wa.tanga wenye misimamo wewe ni mmoja wao,
  2. N

    Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Mbona mnatuchanganya sasa,huku wameaimamishwa ktk magazeti wameamuq kujiuzuru,tuamini kipi sasa
  3. N

    Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

    Hahahahahq,teh teh teh,mmoja mmoja
  4. N

    Dr. Slaa Hujachelewa, njoo ACT-Wazalendo uwe mgombea wa urais achana na mafisadi

    Act wazalendo hatutaki short cut ila kwa babu,karibu sana
  5. N

    Dr. Slaa tafadhali sana baba, tumeyaona uliyoyafanya

    hahahahahahahahahahahahahahaja teteteteteteteh kwikwikwikwikwi
  6. N

    CHADEMA wahangaika kuuzima moto wa Zitto Mbeya

    Marwa ukweli wanaujua ila hawataki kukubali,Moto wa ACT hauzimiki,hii ni mpaka uchaguzi,hodi hodi Singidaaaaa
  7. N

    ACT Wazalendo kumuenzi Nyerere

    Kazi kweli kweli,
  8. N

    ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

    afisa habari wa ACT ndg yeti Abdallah atatujuzakaka Abdallah tuhakikishie hili
  9. N

    TANZIA: Sofia Yamola wa ACT-Wazalendo afariki dunia

    tangulia tupo nyuma yako mzalendo,
  10. N

    CHADEMA wawekeana mizengwe nafasi ya Ubunge Mwanga

    Hajakashifu chama chake,kaondoka kistaarabu na ametoa sababu,zaidi ya yote kasema ataendelea kuunga mkono mageuzi,anapaswa kupongezwa
  11. N

    Msikilizeni Zitto Star TV

    ZZK ni habari nyingine Ana umri mdogo ila Ana akili kubwa sana,hongera zake
  12. N

    CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

    haha haha kumekucha
  13. N

    Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    duuh,kazi kweli kweli me napita tu,haya
  14. N

    NCCR-Mageuzi yadaiwa kuwasilisha hoja ya kujitoa UKAWA; CUF watoa masharti magumu!

    Media zina mchango mkubwa ktk kupandisha ama kushusha jambo lolote,napingana na mchangia hoja aliyesema haamini ktk siasa za magazeti,haya mengine ya NCCR kujiondoa ukawa ngoja tumaini atakuja kutupa ukweli kama ni kukanusha habari iliyotoka ktk magazeti ama laaaa,ninachoamini ni kuwa CDM wana...
  15. N

    Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    ben anawazingua tu,hakuna kitu kama hicho bhana, naamini alitaka kupata mawazo ya watu na watapokeaje,duuuu me mwenyewe nimestuka sana
Back
Top Bottom