Search results

  1. Kibua

    JE HARRY KANE ATAMALIZA GUNDU LA MAKOMBE BAYERN?

    Atachukua tu just a matter of time..na uhakika msimu ujao Bayern atabeba taji la Bundesliga
  2. Kibua

    Mika Mwamba ndie Producer pekee alietengeneza biti kali za nyimbo ziliyowahi kusumbua nchi zote za Afrika Mashariki kwa mpigo

    Mtoto wa geti kali- Inspecta Haroun Mkiwa- K Soul ft Ferooz Julietha, Salome, Nyambizi - Dully Sykes Twenzetu- Chege Elimu Mtaani - D. Knob Album yote ya kwanza ya Mandojo na Domokaya (kutoa Wimbo wa Nikupe pekee) etc Huyu jamaa alikua hatari sana kushinda hata Master J na P Funk japo nao ni...
  3. Kibua

    Japhet Maganga wa CWT akamatwa kwa kufanya fujo

    Wajaluo wapo pia Uganda na South Sudan
  4. Kibua

    DOKEZO Afisa utumishi, PSSF wachezea mfumo na kumstaafisha mtumishi kabla ya muda, alilipwa Milioni 72, akapokea Milioni 2 tu

    Aisee pole zake sana mzee wetu.! Hii nchi imejaa watu wenye laana sana kila kona ni uozo wizi tu.! Hamna hata mwenye nafuu
  5. Kibua

    Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    Ni kweli huko utakutana na kina Eustences, Antelius, Prospectius, Germinius itakua wagiriki wana vinasaba vya kamachumu au kanyingo [emoji23][emoji23]
  6. Kibua

    Harufu ya utapeli, kuna watu watalia na kusaga meno soon

    Huu ni utapeli wa mchana kweupe kabisa huwezi kupata faida ya 30%-40% kwa ku-order vitu mtandaoni ambavyo hununui.! Swali la kujiuliza hio faida wanayokulipa wao wanapata wapi? Huu ni mtego, tupunguze tamaa za pesa za ku-download.! Vilio vingi vinakuja
  7. Kibua

    List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

    Poor mind.! Kila kabila lina watu wenye akili hao wakinga kuibuka na kujazana kariakoo basi mnazani mmemaliza.! Kila kabila lina mchango wake mkubwa tu kwny maendeleo ya nchi hii.! Tembea uone
  8. Kibua

    2023 haikuwa riziki yangu hata kidogo

    Mungu atujalie wote tuliokwama 2023 mwaka ujao 2024 ukawe wenye heri na baraka zote tuendelee kupambana tu.!
  9. Kibua

    Nilipokuwa Marekani nilimuona 50 cent

    Atakua msasani, butiama DC na wananzengo walimtimua
  10. Kibua

    Utata wa riba katika mikopo inayotolewa na Mabenki

    Na hio 18Mil hujaweka administration fee 1% na Insurance ya mkopo kwa miaka 5.! Kama ww ni mtumishi chukua mkopo wa muda mfupi kuanzia mwaka mmoja maximum mitatu tu.! Mikopo ya muda mrefu ni kama jela sometimes
  11. Kibua

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Big mtoto wa mjini kakutana na kitu kizito.!
  12. Kibua

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Aisee hizi Ajira sometimes ni utumwa mambo leo
  13. Kibua

    Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

    Tukubali tu Morocco wanatuzidi uwezo wa mpira hata wangeanza hao uliowataka wewe bado tungepigwa tu.!
  14. Kibua

    Utapeli gani uliwahi fanyiwa ukabaki unajicheka mwenyewe

    Mwaka 2017 tulienda na cousin yangu bar moja maarufu enzi hizo mitaa ya Goba inaitwa Lastanza kupiga chupa mbili tatu weekend. Baada ya maji kukolea ndugu yangu aliona mtoto mmoja matata sana akamsogeza mezani akamnunulia mvinyo huku akirusha ndoano ya kuondoka nae baadae.! Mida ya kuondoka...
Back
Top Bottom