Search results

  1. T

    Newala hakuna shughuli za kijamii siku ya leo.

    Soko limefumgwa na maduka yote na shughuli zote
  2. T

    Usomaji wa Hotuba ya Bajeti 2012/2013

    nadhani angejifunza kiswahili kwanza
  3. T

    Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

    Hivi hii tabia ya kulipana fadhila kwenye haka kanchi kataisha lini. Hawa washauri wa baba Riz1 wanamshauri nini wakisikia mtu anaitwa dokta tu wao wanakurupuka kumpatia nafasi kwa elimu ya kuungaunga tu.
  4. T

    Je chadema kuendelea kujifananisha na barcelona

    Torreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. T

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hivi kwani magoli yao yote yanakuwa kwenye dakika za nyongeza hawa Chelsea tarehe 18/04/2012-Drogba alifunga kwenye dakika ya 45+2 Leo tarehe 24/04/2012- Ramiries amefunga kwenye dakika ya 45+1,Torres dakika ya 90+2 kwanini wanapenda kuwafanya hivi hawa vijana waliozoea
  6. T

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea 2 Barcelona 2 Agg Chelsea 3 Barcelona 2 Chelsea wanaenda Munich kwenye fainali tarehe 19/05/2012
  7. T

    Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

    Jamani watanzania tuache kujadili umri wa mtu wakati wa matatizo kwa muda wote huu wa matukio mabaya ya LULU ikiwa pamoja na kupiga picha za uchi tulikuwa hatuambiwi kuwa huyu ni mtoto ila sasa anakabiliwa na kesi jamii inaona kuwa yeye ni mtoto tuiachie mahakama ifanye kazi yake ya kutenda...
  8. T

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Nini chanzo cha kifo cha kanumba,kama ni ugomvi alikuwa anagombana na nani?
Back
Top Bottom