Search results

  1. Anna Nkya

    Kipi cha ajabu kwa mtoto wa Rais Samia kuwa na biashara binafsi?

    Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'. Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was...
  2. Anna Nkya

    Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  3. Anna Nkya

    Roma Mkatoliki, mpe Rais Samia maua yake kwanza

    Nimesikiliza wimbo wa Roma Mkatoliki, napenda ila Chorus hasa kwa kuwa ameimba ABIUD ambaye wengi wanapenda anavyoimba mitaani. Roma amefanya vyema kumopa nafasi kuimba Chorus japo kweli Chorus na anachoimba Roma havifanani. Katika wimbo huu Roma anaomba kupewa maua yake ayanuse kabla hajafa...
  4. Anna Nkya

    B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

    Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba B Dozen ameondoka EFM na kutaka kurudi Clouds. Hata hivyo hawajareach agreement na Clouds, at the same time Wasafi wanamnyatia. Oscar Oscar ameondoka EFM, Amejiunga na Wasafi kwa signing fee ya shilingi milioni 100. Mshahara wake kwa mwezi ni shilingi...
  5. Anna Nkya

    Unafiki wa CHADEMA: Wanampigania mtuhumiwa wa mauaji, wanapuuza haki ya aliyeuawa

    September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe. Katika uchunguzi, GEORGE SANGA ambaye hivi sasa members wa CHADEMA wanasema aachiwe, alikiri kuhusika...
  6. Anna Nkya

    Ripoti ya CAG: Ishara ya Uwazi wa Rais Samia

    Mijadala inaendelea kila mahali sasa hivi watu wakijadili yale yalioandikwa kwenye Ripoti ya CAG. Kwa sehemu kubwa yanayojadiliwa ni madudu yaliyoko kwenye taasisi za umma. Jambo la kufurahisha ni kwamba tayari kuna hatua zimeanza kuchukuliwa kuwawajijibisha waliotafuna pesa za Umma. Wizara...
  7. Anna Nkya

    Karibu Kamala Harris, Asante Rais Samia Suluhu

    Kuna kipindi Rais Samia alienda Marekani, halafu ikatokea kwamba hajafika Ikulu ya Marekani. Baasi humu mitandaoni akaanza kushambuliwa hasa na watu wa CHADEMA kwamba hajaonana na viongozi wakuu wa Marekani kisa Tanzania hakuna demokrasia. I dont think kama walisema kweli ila sawa hakwenda...
  8. Anna Nkya

    Mtanzania aliyeuawa vitani Urusi; kifo cha kishujaa?

    Nemes Tarimo alienda Urusi kusoma mnamo mwaka 2020. Akiwa huko Urusi, mwezi Machi 2022 alikamatwa kwa uhalifu akahukumiwa miaka 7 jela. Warusi wakatoa ofa kwa wafungwa kwamba ukienda vitani, baada ya vita utapewa fedha nyingi na utapata uhuru. Nemes Tarimo akajiunga na kundi la Wagner Group...
  9. Anna Nkya

    Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

    Nahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali. Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia. Is MBOWE OKAY?
  10. Anna Nkya

    Joseph Mbilinyi (Sugu) alikuwa sahihi, Rais Samia anaendesha nchi vizuri

    Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state. Mengine yote yanazungumzika,na tutakutana kwenye mikutano ya hadhara soon. Mungu aendelee kuwapa busara...
  11. Anna Nkya

    Mabovu yapo, ila Rais Samia Suluhu kajenga madarasa mengi

    Yes, kuna madarasa bado ni mabovu, yes kuna watoto wanakaa chini na matatizo mengine kama hayo. Lakini tusilitazame kwa mhemko na kushindwa kumpa Rais Samia Suluhu maua yake; - Katika kipindi kisichozidi miezi 20, Rais Samia kajenga madarasa 23,000. Ina maana ndio ujiulize kama asingejenga...
  12. Anna Nkya

    Mvua kubwa kunyesha Tanzania

    Mamlaka ya Hali Tanzania, kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter imesema kuna mvua kubwa zitanyesha Tanzania hivi karibuni. Tujiandae.
  13. Anna Nkya

    Mama yuko Kazini kutupunguzia ugumu wa Maisha, acheni kutumia hoja ya kupanda mafuta, Haimhusu

    Picha nliyoweka hapo sio ya Arusha kwetu, ni Calfornia Marekani ambako bei zinapanda kinoma. Hapo Februari, #JPMorgan (taasisi kubwa ya fedha huko Marekani iliona kwamba vita ya Russia itafanya bei za mafuta zipande hadi $120 kwa pipa. Mwaka 2019 pipa lilikuwa $60 tu, 2020 likaenda hadi $80s...
  14. Anna Nkya

    Bei ya vyakula mbalimbali yapanda

    Tangu mwishoni mwa Novemba mwaka jana, baada ya gazeti hili kutoa taarifa za kupanda kwa bei ya bidhaa hizo na zile za ujenzi, bei za vyakula zimepanda tena katika mikoa mbalimbali, huku Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akisisitiza Taifa kutokuwa na uhaba wa chakula, na kwamba ongezeko la sasa la...
  15. Anna Nkya

    Serikali yatangaza kushuka kwa bei za mafuta

    Serikali kupitia Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta. Taarifa iliyotolewa leo na EWURA inaeleza kwamba, Ikilinganishwa na bei za mwezi Desema 2021, bei za Januari 2022 zitapungua kwa kati ya Shilingi 4 na 35 kwa lita ya petroli; na kati...
  16. Anna Nkya

    Rais Samia 'ampiga' Spika Ndugai

    Jana nilisambaa video ikimuonesha Spika Job Ndugai akitoa kauli zilizofanya watu wahoji nia yake dhidi ya Serikali iliyopo madarakani. Katijka hali ya kushangaza, Spika Ndugai ambaye alikuwa mmoja wa wapiga zumari wakubwa wa Serikali iliyopita, alionekana kukandia mikopo inayokopwa na Serikali...
  17. Anna Nkya

    'Ncha ya Ulimi wa Rais Samia' : CHADEMA hawataki, wataweza 'ncha ya upanga'?

    Soo jana, Rais Samia Suluhu alisema kwamba zamani muafaka katika siasa ulikuwa unafikiwa kwa kutumia ncha ya upanga lakni hivi sasa muafaka unatumiwa kwa ncha ya ULIMI. Alichokuwa anamaanisha ni kwamba zamani watu walitumia vitisho, mapigano na vita kupata walichokitaka, lakini hivi sasa watu...
  18. Anna Nkya

    Rais Samia anarudisha mikutano ya hadhara ya vyama siasa

    Ni kilio cha muda mrefu cha wanasiasa wa Tanzania hususan vyama vya upinzani. Wanataka kurudishwa kwa mikutani ya hadhara ambayo ni haki yao ya Kikatiba, lakini iliminywa wakati wa utawala wa awamu ya tano chini ya Hayati Rais John Pombe Magufuli. Leo kwenye mkutano wa wadau wa siasa nchini...
  19. Anna Nkya

    Mfumuko wa Bei Marekani na Ulaya: Nako Rais Samia alaumiwe Magufuli akumbukwe?

    Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza mnabebesha mizigo asiyostahili kiwa sababu yeye ni mwanamke na ninyi mmezoea viongozi wanaume au ndio hizo...
  20. Anna Nkya

    Nadhani Mbowe siyo gaidi

    So nimekuwa nikifollow up case ya Mbowe kupitia Twitter. Nasoma ushahidi uliotolewa hadi sasa. Ninaona kuna element za kwamba Mbowe alikuwa anapanga mipango kadhaa ya kisiasa. Mfano kuna witness mmoja aliyekuwa mpiga picha wa Sabaya, alieleza jinsi Mbowe alivyomtafuta ili ajue moves za Sabaya...
Back
Top Bottom