Tanzania na India zimetia saini hati za makubaliano 14 na mkataba mmoja, ambapo hati 10 zimehusisha taasisi za serikali na tano za sekta binafsi.Katika mkutano wa pamoja na waadhishi wa habari, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na Waziri Mkuu wa India, Mhe...
Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was...
Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri.
Lema alipochangia...
Nimesikiliza wimbo wa Roma Mkatoliki, napenda ila Chorus hasa kwa kuwa ameimba ABIUD ambaye wengi wanapenda anavyoimba mitaani. Roma amefanya vyema kumopa nafasi kuimba Chorus japo kweli Chorus na anachoimba Roma havifanani.
Katika wimbo huu Roma anaomba kupewa maua yake ayanuse kabla hajafa...
Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba B Dozen ameondoka EFM na kutaka kurudi Clouds. Hata hivyo hawajareach agreement na Clouds, at the same time Wasafi wanamnyatia.
Oscar Oscar ameondoka EFM, Amejiunga na Wasafi kwa signing fee ya shilingi milioni 100. Mshahara wake kwa mwezi ni shilingi...
September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe.
Katika uchunguzi, GEORGE SANGA ambaye hivi sasa members wa CHADEMA wanasema aachiwe, alikiri kuhusika...
Mijadala inaendelea kila mahali sasa hivi watu wakijadili yale yalioandikwa kwenye Ripoti ya CAG.
Kwa sehemu kubwa yanayojadiliwa ni madudu yaliyoko kwenye taasisi za umma.
Jambo la kufurahisha ni kwamba tayari kuna hatua zimeanza kuchukuliwa kuwawajijibisha waliotafuna pesa za Umma.
Wizara...
Kuna kipindi Rais Samia alienda Marekani, halafu ikatokea kwamba hajafika Ikulu ya Marekani. Baasi humu mitandaoni akaanza kushambuliwa hasa na watu wa CHADEMA kwamba hajaonana na viongozi wakuu wa Marekani kisa Tanzania hakuna demokrasia.
I dont think kama walisema kweli ila sawa hakwenda...
Nilipokuwa Africa ya Kusini, stories kuhusu LGBT zilikuwa kawaida.
Nilichokuwa najua kuhusu huku nyumbani ni kwamba hata kuongelea hicho kitu ni tabboo.
Sasa hivi watu wanaongelea sana, kwa bahati mbaya kuna watu wanaongelea sana wakidhani ndio wanaupinga, kumbe kwa kuupa airtime tu inafanyika...
Kilichomkuta Mwele ndio majibu sasa kwa nini hatukusikia mambo hayo wakatia wa Magufuli. Sayansi haikuwa na nafasi kwa Magufuli, ukweli haukuwa rafiki kwake. Rais Samia Suluhu anaruhusu ukweli usemwe kwenye mambo mengi.
Muhimu sana hapa ni kwamba kama mtoa mada anavyosema kwamba Kipindupindu ni...
Uti wa Mgongo wa Taifa letu umeimarishwa vyema chini Daktari ni Rais Samia Suluhu aliyeamua kufanya mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo.
Wakulima mashambani wamejawa na tumaini baada kuona kilimo kimetengewa bajeti ya kihistoria ya shilingi bilioni 954. Hili ni ongezeko la asilimia 317...
Nemes Tarimo alienda Urusi kusoma mnamo mwaka 2020. Akiwa huko Urusi, mwezi Machi 2022 alikamatwa kwa uhalifu akahukumiwa miaka 7 jela.
Warusi wakatoa ofa kwa wafungwa kwamba ukienda vitani, baada ya vita utapewa fedha nyingi na utapata uhuru. Nemes Tarimo akajiunga na kundi la Wagner Group...
Nahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali.
Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia.
Is MBOWE OKAY?
Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state.
Mengine yote yanazungumzika,na tutakutana kwenye mikutano ya hadhara soon. Mungu aendelee kuwapa busara...
Yes, kuna madarasa bado ni mabovu, yes kuna watoto wanakaa chini na matatizo mengine kama hayo.
Lakini tusilitazame kwa mhemko na kushindwa kumpa Rais Samia Suluhu maua yake;
- Katika kipindi kisichozidi miezi 20, Rais Samia kajenga madarasa 23,000. Ina maana ndio ujiulize kama asingejenga...
Dkt Sophia Mjema amechukua nafasi ya Shaka Hamdu Shaka, yeye ndiye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi.
Sophia anakuwa mwanamke wa kwanza kushika nafsi hiyo.
Wanaomfahamu wanaelewa kwamba Sophia ni mtu wa kazi, mtu wa siasa. Mwaka 2020 alionesha vizuri uwezo wake kwenye siasa...
Picha nliyoweka hapo sio ya Arusha kwetu, ni Calfornia Marekani ambako bei zinapanda kinoma.
Hapo Februari, #JPMorgan (taasisi kubwa ya fedha huko Marekani iliona kwamba vita ya Russia itafanya bei za mafuta zipande hadi $120 kwa pipa. Mwaka 2019 pipa lilikuwa $60 tu, 2020 likaenda hadi $80s...
Dodoma.
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumpatia Sh150 bilioni ili aziweke katika benki za biashara kama dhamana (security), hatua itakayowezesha wakulima nchini kuanza kupata ruzuku ya mbolea katika msimu wa kilimo ujayo.
Bashe ameomba fedha hizo leo...
Serikali Ofisi gani? Serikali ikose hela ya kufanya sherehe kama inataka kufanya?
Reason kwa akili ya kawaida tu, HILO HALIWEZEKANI.
Kama Serikali inataka kufanya sherehe itatumia fedha zake, haiwezi kuomba watu wachangie Laki 2
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.