Sijajua kwa ishu nzito kama hii anaibuka MTU kutetea moja kati ya mafisadi. Siku zote fisadi ni mkwepaji na ndio maana hata huyu Singa Seth though alijua anafisadise lakini alitengeneza mfumo kuhakikisha analinda maslah na usalama wake kisheria!
EPA, RICHMOND, MEREMETA, CHENJI YA RADA, NDEGE YA RAIS, UUZWAJI NBC, etc. Etc. Na sasa ESCROW! Hawa jamaa ni sugu! CCM inanuka! Harufu ya UOZO, Uozo Usiosafishika!
Haihitaji kumung'unya maneno! CCM ni wezi.
1) EPA
2) RichMond
3) Rada na chenji yetu
4) Meremeta
5) Back then Uuzwaji wa NBC
6) Meno ya Tembo
7) Twiga wetu wale waliopanda ndege
8) Sasa Escrow!
9) Etc.
10) Etc
11) Etc
Hawawezi kuwa serious! Hili ni Pango la majangili wa nchi hii.....formula...
Kwa style hii ndio naelewa sasa ile statement maarufu ya "nyie mnataka kula tu bila kuliwa...... ""haiwezekani" 142,000-55,000=87,000! Inamaana wote hawa weshaliwa! duh
STATEMENT BY HON. HAMAD RASHID MOHAMED (M.P, FABRM) WAWI CONSTITUENCY, PEMBA AND HEAD OF DELEGATION OF THE UNITED REPUPLIC OF TANZANIA, 14 OCTOBER 2014, GENEVA, SWITZERLAND
THEME: DEMOCRACY AND GOOD GOVERNANCE: AS A TOOL FOR ACHIEVING GENDER EQUALITY AND ENDING VIOLENCE AGAINST WOMEN A CASE...
Inasikitisha kuona pamoja na ukubwa wako wa kuweza kupembua mambo lakini bado unaonyesha uko illiterate, akili fupi ndio zinasababisha ufikiri kwamba kila anayesapoti kilichotokea Dodoma ni CCM....huu ni ulimbukeni! Jaribu kufuatilia historia za nchi mbalimbali duniani kuhusu michakato ya Katiba...
Ni haki yake kama Mtanzania kujenga popote anapopenda na hii ndio faida ya Muungano wetu huu! Umimi wa wachache wa wanaojiaminisha kwamba wao ni wazanzibari kuliko wazanzibar wengine ndio unapelekea kuona kama ni dhambi kwa wenziwao kuwekeza Bara! Opportunity ya Waznz kwa bara ni kubwa mno! kuna...
Hapana! Usiishi kwa mazoea, In other way around this is Just the beginning of the end of the Sultanate regime in especially Pemba! Hatuwezi kuvumilia kuona 50years after Mapinduzi still kuna vibaraka wa Muarabu! This is Africa and that will never happen Punjab Singh
BMK lilihusisha vyama vya siasa, makundi ya wakulima, wafugaji, taasisi za dini etc! hvyo waliotoka ni uwehu wao ndio uliopelekewa watoke! huwezi kuacha fursa ukajikita kwny kutokutii sheria!
Nijuavyo wezi ni wale waliokula hela zitokanazo na kodi za wananchi na baada ya kushiba wakaamua wajitoe ktk mchakato husika! inasikitisha watu wametumwa na wananchi halafu wanakimbia jukumu lao then wanakuja mitaani kutupigia kelele na kushawishi kile ambacho wanakitaka lakini wakakimbia.
ccm ndio majority na chadomo na kile chama cha sultan ndio minority! sasa unataka kuniambia wangefanya mnachotaka ndio wangekua wamefuata hiyo sheria? basi nitawashauri wapeleke kibanda maiti hiyo katiba kama ninyi hamuitaki!
wasaliti ni wale waliopata fursa ya
'kisheria' kutengeneza katiba ya
watanzania halafu wakakimbilia kibanda
maiti, na mitaani matokeo yake wanaishia
segedance kama yule mama mwenye
matendo ya kiuanaume!
wasaliti ni wale waliopata fursa ya 'kisheria' kutengeneza katiba ya watanzania halafu wakakimbilia kibanda maiti, na mitaani matokeo yake wanaishia segedance kama yule mama mwenye matendo ya kiuanaume!
unatakiwa utambue kwamba wawakilishi wa wachache ndio waliotoka na wawakilishi wa walio wengi wakaendelea kutunga kile kilichowasilishwa kwa mhe. JK na Shein sasa katika zoezi la kupiga kura wale walio wengi maana yake watawashinda walio wachache haijalishi kelele za wachache ni kubwa kiasi...
Mkimbia kwao mtumwa, hakuna sababu HATA moja ya kumfanya asifike Pemba lakini pia nakushauri soma kwanza ujue fursa waliyopata wa zanzibar ndio uhukumu, Hii itakuwezesha kung'amua mengi yaliyopatikana kwa Wananchi wa Zanzibar ilhali MUUNGANO unaendelea KUDUMU na pia hasara waliyopata WALIOSUSA.
Asante kwa kunijulisha namna waswahili tulivyo KWANI kwa urefu wa HOTUBA na muda uliyotumia ku reply tangu ilivyo post dk. 1 tu iliyopita, nina hakika asilimia 100% hujasoma nilichopost. Hivyo nakusamehe bure.
HOTUBA YA MHE. HAMAD RASHID KATIKA SHEREHE ZA MAKABIDHIANO YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MJINI DODOMA AMBAYO IMEJIKITA KATIKA TAARIFA KUHUSU CHANGAMOTO ZA MAMBO YA MUUNGANO KWA UPANDE WA ZANZIBAR AMBAZO...
Hamad Rashid analia na Muungano! Maalim Seif analia na Zanzibar yake! Sasa akili kumkichwa kujua yupi ni mwenye uwezo na zaidi ya mwenzake! Note: Zama za Usultani Zanzibar zilimalizika Mara baada ya Mapinduzi kumn'goa Jemshid! Hivyo hakuna fursa tena ya Utawala wa Kisultani kwa Zanzibar. :hail:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.