Search results

  1. Action and Reaction

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Hao ni walewale kina ant-sukuma gang
  2. Action and Reaction

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Angekuwa mwehu angekabidhiwa mkoa?
  3. Action and Reaction

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Mwenzako yuko tayar kuongoza mkoa hata kwa siku moja! Ili mladi watz wajue jamaa kapita halafu wewe unamuwazia 2030, umechemsha!
  4. Action and Reaction

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Hata alipokuchafyachafya wewe ni mafanikio, mana mlikuwa mnawaza leo Konda atakuja na jambo gani!
  5. Action and Reaction

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Mzee na kijana wapi na wapi? Kwanza Nchimbi alikuw haonekani, wananchi walikuwa wanaitaka sautiya Makonda!
  6. Action and Reaction

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Asikudanganye nyuma kuna mtu na watu wenyewe ni waume za watu, wasijefanye wapo peke yao
  7. Action and Reaction

    Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

    We jamaa kama shetani mwenyewe aliasi mbinguni achukue madaraka, sembuse mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke asiwe na tamaa? Samia vita iz thea!
  8. Action and Reaction

    Bado tu Makonda hajasimamishwa kazi kupisha uchunguzi?

    Mnaweza kuona kama kakosea ila nawaambia Makonda kasema kweli... Na hatatolewa!
  9. Action and Reaction

    Bado tu Makonda hajasimamishwa kazi kupisha uchunguzi?

    Watu mnahila mbaya moyoni, Makonda kuwa mkuu wa mkoa kumewauma sana?
  10. Action and Reaction

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Kwahiyo ndoa sio lazima ila kudinywa bila ndoa ni lazima?
  11. Action and Reaction

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Ndo ujue alijibu mbele ya watanzania ambao baadhi yao ni wakristo. So laxima wakristo tuhoji alichojibu mana sio sahihi kama ex-mama mchungaji
  12. Action and Reaction

    Makonda: Hakuna nilichojifunza, nitawanyoosha. Wasiopaka rangi nyumba zao katikati ya Mji TUTABOMOA

    Mwambie mama amwachisheee... Halafu wewe umepata cheo gani? Wivu tyu umekujaa
  13. Action and Reaction

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Kuna mutu sikuhizi anaitwa madme Flora
  14. Action and Reaction

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Kwahiyo alikuwa anatafuta kiki kwenye midia?
  15. Action and Reaction

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Kwahiyo hao wanawake hawastihili kutubebea Mimba?...
  16. Action and Reaction

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Kwahiyo nawewe umetawaliwa na pepo la kataa ndoa
  17. Action and Reaction

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Kumbe wanaimba tu ila wenyewe hawayatendi!
Back
Top Bottom