Aliyesema clouds radio ya burudani ni muongo..ilikuwa radio ya burudani zamani enzi za kina jide, masoud, rayc na marehemu amina chifuta siku hizi ni redio ya majungu fitna na watu wenye akili finyu wanaojifanya kuchambua mambo wasiyoyajua wala kuwa na ufahamu nao ...mfano kipindi kama jahazi...
Ninasoma hapa gazeti la mwananchi nimechanganyikiwa kila siku walikuwa wanariport kuwa mke wa kigogo katapeli akishirikiana na bwana anayeitwa Baraka nashangaa leo wamebadilisha na kuandika kwamba eti huyo mke wa kigogo ni miongoni wa waliotapeliwa!! najiuliza kama mwanzo walisema nafasi...
Kama mbowe ameweza kuendesha club kwa mafanikio .....ameongoza chama ambachomekua chama makini kiasi cha kuogopesha na kuitesa cc na serikali....ameweza kuongoza ndugu zake kutunza na kuendeleza mali za marehemu mzee wake.....anaongoza kambi ya upinzani bungeni kwa mafanikio, anamuongoza mke...
Hivi rasilimali zinaviziwa na wafadhili ya CHADEMA? Rasilimali gani maana nijuavyo mimi rasilimali zinachukuliwa waziwazi chini ya utawala wa CCM...au CCM imeona kuwa chadema wameingilia dili lao la ukuwadi wa rasilimali zetu...mwaka huu tutaona mengi....mbona mwenyekiti wa CCM ndiye mara kwa...
Mnapingana na chadema au mnapingana na wachaga? Miaka yote wachaga wamepigwa vita wasiendeshe hii nji na kuwapunguza makali kwa maneno mengi kuwa ni wezi nk....lakini kwa ushujaa walio nao wameweza kuwa muhimili wa uchumi wa nchi na kabila lenye maendeleo katika nyanja zote ikiwemo kiuchumi...
Mnapingana na chadema au mnapingana na wachaga? Miaka yote wachaga wamepigwa vita wasiendeshe hii nji na kuwapunguza makali kwa maneno mengi kuwa ni wezi nk....lakini kwa ushujaa walio nao wameweza kuwa muhimili wa uchumi wa nchi na kabila lenye maendeleo katika nyanja zote ikiwemo kiuchumi...
Wadau naomba msaada jana nimeweka vocha kwenye number yangu ya tigo mara mbili na ikawa inaisha bila mimi kupiga simu ....hawa tigo ni wezi au ni mauzauza yalinitokea?
kwa mtu yeyote asiyejua tabia za wanyeramba Mwiguli anaweza kumpa shida sana.....wengi wao akili zao siyo kwa sababu wamekulia kwenye tembe na wameathiriwa na upepo mkali na vumbi.....hivi huwa hamumuonagi akitaka kutoa mchango wake bungeni anavyopata shida? Mwenzake tundu lisu ni mnyaturu ndo...
akaondoe kwanza picha zake za kipuuzi puuzi fb, atubu na kuungama ndo aweze kudraw attention za wanafunzi wa primary wenye kupenda kuangalia siasa za maji taka....muda huo nitakuwa naangalia taarabu...
nyantella ...ni lazima ujue slaa akiwa raisi hao polisi na TISS hawana jinsi ni lazima wampigie saluti na kumlinda ...si kwa sababu wao ni polisi tu la bali kwa sababu ni taasisi zilizoanzishwa kikatiba kufanya kazi hiyo...na mamlaka ya urahisi yanakuwa derived from citizen ambao ndo waanzilishi...
Wana JF nimefurahia sana majibu ya Dr. Slaa kwa polisi
1. Chadema hawana imani na jeshi ya police
2. Polisi waseme kwa nini mara zote wapinzani wanapolalamika polisi hawapatiwi majibu i.ekupigwa kwa polisi mwanza, mauaji ya raia arusha, mauaji ya igunga, mauaji arumeru nk.
3. viko wapi vinasa...
alitaka nani auze gari lake ndo akawawekee pump kwao? tatizo ni serikali yake haiwajali wananchi...mi ninaamini angesema amerudisha gamba ameamua kujiunga na makamanda wa cdm ili adai maji mpaka kieleweke angeeleweka zaidi...lakini kuuza gari lake hilo ni shauri yake na magamba. Hapo hastahili...
Ujumbe amenitumia Daktari yupo pale MOI
Kaka Zitto,hali ya Dr.Ulimboka yuko unconscious,multiple ribs fracture na kwenye mikono pia amevunjika pamoja na taya,yuko icu wanamstabilise kwanza kwasababu hapumui vizuri,the situation here is really bad,I agree with you this is outright...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.