Search results

  1. M

    Baada ya tendo la ndoa

    Pengine nikuulize una miaka mingapi? Inawezekana bado mtoto sana kwa upande wangu huwa najisikia raha kupita kiasi tena nataka tena na tena. Kama unajisikia aibu kwanini unaomba siku ingine basi usifanye.
  2. M

    Hivi ukitaka kufanya mapenzi na mke/mpenzi wako unamwambiaje?

    Hakuna haja ya kumwambia wewe mshikeshike yeye mwenywe ataachia
  3. M

    Niyaweke wapi maisha yangu jamani?

    Jiulize ndani ya moyo wako unampenda nani. Kwani mapenzi haya chagui mkubwa wala mtoto. Wana jamii wenzangu mbona binti kupedwa na babu wa miaka 60 hashangai iweje huu mshikaji. Wewe kama unapenda endelea nae hao mabinti wadogo nao vicheche akikutana na fataki anaruka nae. KAZI KWAKO.
  4. M

    Njia mahususi ya kuvunja penzi.

    Hakika unastahili tuzo ya ushauri nasaha. Watu wote wamechangia lkn wewe No 1
  5. M

    Njia mahususi ya kuvunja penzi.

    Huo ujumbe ni mkali sana anaweza kujihisi ni takataka katika dunia. Mm nakushauri sehemu yenye mapenzi inaonekana. Fanaya mambo asiyo yapenda yeye mwenyewe atakasilika ata amua kususa. Kumbuka malipo duniani ukimtenda mwenzio hata wewe utalipwa hapa hapa. MAPENZI NI ZAIDI YA MSIBA MAPENZI...
  6. M

    Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

    Bwana ameota na bwana ametwaa jina na Bwana lihimidiwe. Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.
  7. M

    Binti aliye seriouz

    Mbona hata wewe muonekano wa picha uliyo chagua unaonekana utulivu F. Vijana kazi kwenu Mshakaji anataka jiko mpeni ushirikiano.
  8. M

    Baada ya kumaliza tu mapenzi ameanza kuliaaaaaa!

    Huyo demu inawezekana inamuumiza maana baada ya starehe kwake ni kilio. Lakini kila machozi yote si ya huzuni pengene jamaa ni fundi sana wa mavitu.
  9. M

    “Mke Anajipodoa sana wakati wa kwenda kazini”

    Kujipodoa sio tatizo kwani hata wewe ulimpenda akiwa amejipodoa! sidhani kama angekuwa na matongotongo usoni unge mpenda. Kuhusu vimini ongea nae kama ana kupenda atakuelewa.
  10. M

    Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

    Usitupe chembachao kwa msala upitao. Fikiria mara mbili maamuzi yako usije kujilaumu wewe mtu umemuona siku moja umejuaje kama ni mwema kwako mimi sikushauri endelea na urafiki tu. Tena anaweza kuwa rafiki mwema kuliko mkiwa wapenzi.
  11. M

    Wasichana wanapenda kununa jaman!

    Jamani na nyie wanaume mnakosea unapokuwa busy unatakiwa umwambie mpenzi wako kwa upole kwa mahaba na kwa upendo sidhani kama mwanamke muelewa atakasilika.
  12. M

    Hivi mnajua au hamjui bado.

    Hongera TYPOID umeongea atakaye kataa yeye ni ameamua kubisha lakin ukweli ndio huo
  13. M

    Sitopenda tena

    Pole Mwaya najua fika adha ya kumpenda mpenzi asiyejua thamani ya kupedwa. Omba mungu akupe moyo wa uvumilivu uweze kumsahau japo siku za kwanza inauma sana. Jamani mapenzi yanauma bora upigwe kwa fimbo kuliko kwa mapenzi. Pole, mungu akupe uvumilivu.
  14. M

    Hivi mnajua au hamjui bado.

    Kaka umeongea point najua wanawake wenzangu wataibeza lakin huo ni ukweli mtupu. Mwanamke bila kusifiwa kupewa sifa za uongo bado hajakubali na masikio ndio yanasikia. Lakin mwanaume ameumbiwa kupende kwa kuangalia bila kuona hawezi kutamani then kupenda.
  15. M

    "Mimi Naogopa Sana Mume wa Mtu"...

    Huyo kesha kupenda isipo kuwa anaogopa kukukwambia inavyoonekana anataka Hati miliki, sasa tatizo hajapata mpenzi ambaye yupo serious na penzi lake. Amechoka maisha ya kurukaruka anataka aitwe Mrs fulani kwa nguvu. Msaidie apate kivuli cha muda
  16. M

    Naomba ushauri jamani nivumilie au nisepe?

    Mimi sikushauri umwache kama kweli umempenda kaa naye chini umwambie ukweli kuwa hakufikishi, Nendeni hospitali muongee na Doctor kwa uwazi bila kificho mtapata suluhishi.
  17. M

    Hivi mnajua au hamjui bado.

    Uliusemi Wanawake mwalimu wao kipofu unamaana sana.
  18. M

    Waziri ananitaka kimapenzi

    Kama anakutaka mpe wasubiri nini sasa au nataka ukamwambie na mkewe Kawa Waziri Sonyo achana nay njaa tupu kama waziri waziri mpe wa ukweee mpe akupe.
Back
Top Bottom