Search results

  1. maona

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Jamani kuna simu inauzwa na sister wangu anaumwa Tecno boom J7 bei yake ni laki moja na sabini(170000) ipo katika hali nzuri ina miezi mitatu toka itoke duka na kava sake zote mbili wasiliana na mimi kwa 0655918616
  2. maona

    Wenye kujua bei ya Tecno D9

    mpya bei yake nauza 210000/= ipo used tecno D9 ina hali nzuri imetumika miezi 6 tu 180000/=
  3. maona

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mwanza idara msingi nije morogoro,shinyanga,dar,mkuranga,kibaha, mawasiliano zaidi 0655918616
  4. maona

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mwanza nije dodoma,morogoro,pwani, ila uwe unatoka manispaa
  5. maona

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    idara ya Elimu msingi wewe uko wapi?
  6. maona

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    tayari tamisemi wameishatoa majina ya watumishi wanaohama na wanakokwenda nimeyadownload ukihitaji nikuangalizie ni pm
  7. maona

    Uhamisho wa watumishi mwezi december 2014

    Tayari nimeyaona majina ya watumishi wanaohama kwenye tovuti ya tamisemi
  8. maona

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nitafute kwa namba 0769827572
  9. maona

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta wa kubadilishana nae aje ukerewe niende tabora manispaa,shinyanga,kahama,pwani,tarime
  10. maona

    Majibu kutoka kwa HR wa Viettel Global Investment (Viettel Tanzania)

    Jamani hawa jamaa ofisi zao sijawahi kuziona kwa wanaojua ofisi zao watusaidie popote pale ili tunaomba tuwe na uhakika nilishawahi kutapeliwa thats why nakua makini sana
  11. maona

    Majibu kutoka kwa HR wa Viettel Global Investment (Viettel Tanzania)

    Jamani hawa jamaa ofisi zao sijawahi kuziona kwa wanaojua ofisi zao watusaidie popote pale ili tunaoomba tuwe na uhakika nilishawahi kutapeliwa thats why nakua makini sana
  12. maona

    Nafasi za kazi migration

    Mhh!! hawa jamaa mpaka uwe na mtu humo au mtu kutoka taasisi inayohusiana na hao jamaa itakua rahisi kwako tofauti na hapo mh! Money talk au just try! (kwa ushauri uckate tamaa kabla haujajaribu) kuna wengine wana bahati ya kuzaliwa...
  13. maona

    Nafasi za kazi migration

    Mhh!! hawa jamaa mpaka uwe na mtu au taasisi inayohusiana na hao jamaa tofauti na hapo mh! just try! (ushauri uckate tamaa kabla haujajaribu) kuna wengine wana bahati ya kuzaliwa....
  14. maona

    Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

    Mh.SAMWEL SITTA,NAIBU WA SPIKA AWE MWANAMKE ATOKE ZANZIBAR
  15. maona

    Ajira kutoka Serikalini Wizara ya Kilimo na Elimu

    Nasikia ajira kwa walimu ni mwezi march na kwa wizara ya kilimo kuna mtu wizarani aliniambia majina yameandaliwa so wawe patient to any time kuanzia february
  16. maona

    Ajira kutoka Serikalini Wizara ya Kilimo na Elimu

    Nasikia ajira kwa walimu ni mwezi march na kwa kilimo kuna mtu wizarani aliniambia majina yameandalia so wawe patient to any time kuanzia february
  17. maona

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa mwalimu shule ya msingi anaetaka kubadilishana kutoka Ilemela kwenda Ukerewe mjini mwisho wa lami,umeme upo shule niliopo,kwa atakae hitaji tumia email hii (abasimaona@yahoo.com) au call me 0769827572
  18. maona

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa mwalimu shule ya msingi anaetaka kubadilisha kutoka Ilemela kwenda Ukerewe mjini mwisho wa lami,umeme upo shule niliopo,kwa atakae hitaji tumia email hii (abasimaona@yahoo.com) au call me 0687818616
  19. maona

    hard working!

    Maisha bora kwa Mtanzania? Maisha bora kwa Mbunge? MIMI NAHIC WAMETHUBUTU,WAMEWEZA NA WANASONGA MBELE MIAKA 50 YA UHURU
Back
Top Bottom